Tobaaaa

Nimeota ucku nyoka mdogo anammeza nyoka mkubwa!wataalam wa ndoto nisaidien maana yake!
Mkuu Daffi, kuna ndoto za aina mbili, direct na opposite. Direct ni zile ndoto za kweli, zinaitwa "dream come true", ukiota fulani kafa, asubuhi unaambiwa kafa!, ukiota ajali, inatokea, ukiota umeibiwa, unaibiwa, ukiota una pee, asubuhi umelowesha kitanda, ukiota una do, asubihi umechafua pyjamas kama unalala na birthday suti yako asubuhi unachafua mashuka!.

Kuna ndoto ni opposite, ukita harusi, unasikio msiba, ukiota umeokota hela, unapoteza, ukiota unapaa, unaanguka, ukiota unaanguka unapaa. Ukimuota mtu una mdoo, humpati tena, etc etc. Hizi ni ndoto za warnings mbalimbali.

Nyoka ni symbol of evil, kadri anavyokuwa mkubwa, ndivyo ulivyo ukumbwa wa evil, hiyo nyoka ni angalizo kwako kuwa wewe ndio huyo nyoka mdogo, inamaanisha wewe pia una evil ndogo ndogo, ila hapo unapoishi, kuna mtu mnaishi nae, atakufanyia mabaya makubwa, ili akuangamize, ila mwisho wa siku, wewe ndio utamshinda na yeye ndie ataangamia!.

NB. Wana jf wenzangu, msodhani najifanya ni shehe yahya, hizi ni dreams interpretation zimejaa za kumwaga kwenye net!.
P.
 
imenikumbusha ile story isemaye adam na eva wangekuwa wachina yule nyoka aliye wadanganya wale tunda la katikati wasinge kula ila wange mla yule nyoka hivyo mpaka leo tungekuwa bustani ya adeni
 
kwisha habari yangu!:confused2:

avatar90879_1.gif

Mbona habari yako ilishakwisha kitambo mkuu
 
Mkuu Daffi, kuna ndoto za aina mbili, direct na opposite. Direct ni zile ndoto za kweli, zinaitwa "dream come true", ukiota fulani kafa, asubuhi unaambiwa kafa!, ukiota ajali, inatokea, ukiota umeibiwa, unaibiwa, ukiota una pee, asubuhi umelowesha kitanda, ukiota una do, asubihi umechafua pyjamas kama unalala na birthday suti yako asubuhi unachafua mashuka!.

Kuna ndoto ni opposite, ukita harusi, unasikio msiba, ukiota umeokota hela, unapoteza, ukiota unapaa, unaanguka, ukiota unaanguka unapaa. Ukimuota mtu una mdoo, humpati tena, etc etc. Hizi ni ndoto za warnings mbalimbali.

Nyoka ni symbol of evil, kadri anavyokuwa mkubwa, ndivyo ulivyo ukumbwa wa evil, hiyo nyoka ni angalizo kwako kuwa wewe ndio huyo nyoka mdogo, inamaanisha wewe pia una evil ndogo ndogo, ila hapo unapoishi, kuna mtu mnaishi nae, atakufanyia mabaya makubwa, ili akuangamize, ila mwisho wa siku, wewe ndio utamshinda na yeye ndie ataangamia!.

NB. Wana jf wenzangu, msodhani najifanya ni shehe yahya, hizi ni dreams interpretation zimejaa za kumwaga kwenye net!.
P.

Pasco huwezi kufa nja hapa mjini.Kila idara upo kamili.
2012 Duni yako chaguo ni lako
 
Last edited by a moderator:
nyoka ktk ndoto ni adui....hao nyoka walikuwa ni wa rangi gani ili nikusaidie vizuri.
Mkubwa aliyemezwa ni mweusi,mdogo ni rangi ya kijivu!ni km alikuwa sehemu yenye maji na matope mengi,maana ni km tulimkuta anammeza yule nyoka mwingine,baada ya kummeza akijizamisha kwenye maji,ila kichwa chake kilikuwa nje ya maji!
 
Mkuu Pasco!nimekupata vizuri!mara nyingi ndo zangu nyingi ni opposite,au km itatokea inakuwa very late kiasi kwamba nimeshasahau km niliota kitu km kile,but huwa najiwa na kumbukumbu km nilishawah kukiona hicho kitu kabla,but in real sense ndoto zangu nyingi huwa ni opposite au vicevesa!Thanxs indeed!ntakuwa makini na marafiki zangu!
 
Huyu nyoka anaangalia watu wa kuwatisha...hawezi jipeleka kihasara hivyo kwa WACHINA...
 
Kwenye picha tu nahisi kuchanganyikiwa, je nikikutana nae? Nadhani ntakufa kabisa! Majitu siipendi hii! Awe mkubwa au mdogo wote siwapendi na nawaogopa kupita kiasi!
 
Back
Top Bottom