Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

umeelewa nilichokiandika?
Nimelewaaa....sijaelewaaaa
It's Long time sijakutana na watu wa sampuli yako,
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Mungu hakuna alilowahi kunisaidia, kikubwa anakula pesa zangu kila siku,

Mimi ndo namsaidia maana nampa pesa.

Nilikuwa na shida akanitupa halafu saivi eti nimtolee, kweli?

Kila nilichonacho nimekipata kwa jasho langu.

Kwanza hayupo na kama yupo hana nguvu yoyote, kiufupi mimi namzidi uwezo.
Usiwe Mpumbavu kwa kuwaza hayo' na uliyo yaandika'
Bila shaka unajua magari haya...Toyota.. Nissan...yanatoka wapi? Bila shaka unajua Japan.
Benz..bila shaka Ni ujeruman...
Rage Rover...Ni Uk.. okay ukiangali kila gari Lina chanzo chana limetengenezwa na watu'
Juulize kwann kitu' kina chanzo Je mwanadamu mwenye Akili aliunda hayo magari atakosa aliye muunda yeye?
Upepo hauonekani Ila kazi zake tunaziona ' kwa hiyo Kuna nguvu nyuma ya upepo'
Nguvu inayo fanya vitu kuzaliana na kuongeka Ni nguvu ya Nan?
Siku zote Mungu Habishani au kujitetea alikuona ukiwa unajinyea ukiwa mtoto mdogo Leo hii' Abishane na ww' Angali anajua na mwisho wako.
Reason kabla ya kujilipua.
 
kama mwenyezi mungu humchagua amtakaye hizo juhudi zako za kumtafuta kwa kumsikiliza huyo gwajima, na maombi yako kwake na sadaka zako ni kazi bure na upumbavu mtupu. Umeshasema yeye huchagua unamuomba wa nini wakati ana kusudi lake tayari?

imagine esau kakataliwa akiwa tumboni hajui chochote, hana kosa lolote, kuna haki hapo?
Unajua kua YUDA ISKARIOTE yupo PEPONI?!
Pamoja na kumsaliti YESU KRISTO WA NAZARETH

Wengi wetu tunaifahamu historia ya Mwanamke anayeitwa Rahabu.....
ni mwanamke aliyekuwa kahaba katika nchi ile ya Yeriko
lakini Mungu alimchagua na ameunganishwa kwenye uzao wa Yesu kristo....

Ili kusudi la MUNGU litimie humpa kipigo amtakae, humpa roho ngumu amtakae....

Humwokoa amtakaye, hum neemesha ampendae....hum tajirisha amtakae....wakat mwingine unaweza ukawa unasali sana lakini MUNGU HAJA KUCHAGUA....

KUSUDI LA MUNGU KUCHAGUA LITASIMAMA
 
Usiwe Mpumbavu kwa kuwaza hayo' na uliyo yaandika'
Bila shaka unajua magari haya...Toyota.. Nissan...yanatoka wapi? Bila shaka unajua Japan.
Benz..bila shaka Ni ujeruman...
Rage Rover...Ni Uk.. okay ukiangali kila gari Lina chanzo chana limetengenezwa na watu'
Juulize kwann kitu' kina chanzo Je mwanadamu mwenye Akili aliunda hayo magari atakosa aliye muunda yeye?
Upepo hauonekani Ila kazi zake tunaziona ' kwa hiyo Kuna nguvu nyuma ya upepo'
Nguvu inayo fanya vitu kuzaliana na kuongeka Ni nguvu ya Nan?
Siku zote Mungu Habishani au kujitetea alikuona ukiwa unajinyea ukiwa mtoto mdogo Leo hii' Abishane na ww' Angali anajua na mwisho wako.
Reason kabla ya kujilipua.
Nikisema yupo na ana nguvu ndo sitakufa,?
 
Unajua kua YUDA ISKARIOTE yupo PEPONI?!
Pamoja na kumsaliti YESU KRISTO WA NAZARETH

Wengi wetu tunaifahamu historia ya Mwanamke anayeitwa Rahabu.....
ni mwanamke aliyekuwa kahaba katika nchi ile ya Yeriko
lakini Mungu alimchagua na ameunganishwa kwenye uzao wa Yesu kristo....

Ili kusudi la MUNGU litimie humpa kipigo amtakae, humpa rohaye, hum ne mwingine unaweza ukawa unasali sana lakini MUNGU HAJA KUCHAGUA....

KUSUDI LA MUNGU KUCHAGUA LITASIMAMA

aliyesema yuda iskarioti yupo peponi ni nani? Na kama yupo peponi basi na wasaliti wengine waachiwe huru kwa sababu wanatimiza kusudi la mungu ambalo hakuna awezaye pinga, lazima litimie.

pia muwahubirie watu waache kuomba, kwenda makanisani na kutoa sadaka zao kwa mungu kwa sababu ana kusudi lake tayari juu ya maisha yao na juhudi zao katika kumtafuta hazitasaidia chochote. Ameshapanga atakayempa kwa kusudi lake. Hivyo juhudi zetu kumtafuta ni kupoteza muda tu.
 
Mungu hakuna alilowahi kunisaidia, kikubwa anakula pesa zangu kila siku,

Mimi ndo namsaidia maana nampa pesa.

Nilikuwa na shida akanitupa halafu saivi eti nimtolee, kweli?

Kila nilichonacho nimekipata kwa jasho langu.

Kwanza hayupo na kama yupo hana nguvu yoyote, kiufupi mimi namzidi uwezo.
Duuh
 
Ilikua mwaka jana kwa mambo haya ya ulevi cku hiyo nilizima watu wakaja niokota nilikaa ICU wiki moja nilikuwa sitambui chochote.Mama mkwe na wife walikua bega kwa bega nami mpaka nikapata nafuu namshukuru Allah maana ningeweza poteza maisha mwenyez mungu naomba umpe maisha marefu mama mkwe nampenda sana alinipigania mpaka nikawa sawa
You got a second chance to change your ways
 
Tulipata ajali mbaya mimi na familia yangu (watoto watatu na mke wangu) kule Iringa. Tulitumbukia korongoni sehemu za milima ya Iringa. Watu walishangaa kuona tumetoka salama wakasema hapo mahali watu wakipata ajali hawaponi. Ni sehemu hiyo hiyo miaka ya nyuma nilikuta mabasi mawili yaligongana na kuungua moto an watu wengi walikufa. Kwa neema ya Munugu mimi mke wangu na watoto wangu watatu tulitoka salama. Gari yangu D/Cab iliharibika vibaya sana. Mungu ni mwema. Nina mengi ambayo Mungu amenitendea siwezi kuyaandika yote hapa.
Mungu akubariki sana na kukutunza πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

Flp 4:7 SUV​

Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
 
Dah! Binadamu tuwe na mipaka jamani,Mungu yupo na anafanya atakalo....Pengine hakupenda kukupa Kwa Wakati ule ,Kwa sababu maalumu.
Namuelewa kuna Wakati unahisi Mungu hayupo. Kama alivyolaumu Yona

πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

Yona:4
natenda vema kukasirika hata kufa.
10 Bwana akamwambia, Wewe umeuhurumia mtango, ambao hukuufanyia kazi, wala kuuotesha; uliomea katika usiku mmoja, na kuangamia katika usiku mmoja;
11 na mimi, je! Haikunipasa kuuhurumia Ninawi, mji ule mkubwa; ambao ndani yake wamo watu zaidi ya mia na ishirini elfu, wasioweza kupambanua katika mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto; tena wamo wanyama wa kufugwa wengi sana?
 
Hata wewe hutaishi milele, muda wako ukifika utaondoka kama mitume na manabii wengine

hilo la kutoishi milele natambua. Ina maana huyu mungu anapenda masifa sana mpaka mnamsifia mambo ambayo ni illogical kabisa? Yani unasifia ni mwema kwa kukuokoa wewe wakati 17 wamekufa? Wema uko wapi hapo? Kama ilikuwa siku yao basi tuache kuchukua hatua za kupunguza ajali kwa sababu ni mungu anatimiza mipango yake ambayo haizuiliki.
 
Ina maana huyu mungu anapenda masifa sana mpaka mnamsifia mambo ambayo ni illogical kabisa?

Zaburi 150:1-6 BHN​

Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu wake mkuu. Msifuni kwa mlio wa tarumbeta; msifuni kwa zeze na kinubi! Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo! Msifuni kwa kupiga matoazi. Msifuni kwa matoazi ya sauti kubwa. Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom