Leo twende na confessions ya yale unahisi bila Mungu au Allah usingekuwa hapo ulipo.
Leo sianzi mimi
Twenden kazi watoto wa Mungu/Allah uwanja ni wenu hebu shuhudia matendo makuu ya Mungu/Mola
Zaburi 71:16 BHN
Nitataja matendo yako makuu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu; nitatangaza kuwa ndiwe mwadilifu peke yako.
Zaburi 23:1-6 SRUV
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Pale ambapo nilikosa visa ya kwanza nakujaribu nchi nyingine huku nikiwa nimekata tamaa kabisa. Lakin mungu aliniinua tena nikapata nakunifuta machozi bila yeye mim nisinge Toboa

Nilitofautiana na Boss wangu akinipeleka ofisi ndogo ya Mkoani ambayo ilikuwa kavu sana kiuchumi, nikapmbana kurudi mjn, ile narudi nikakuta boss yule kaniharibia na
sitakiwi ofisi za mjini lakini kwa ukuu wa Mungu nikikutana na Boss ambaye nilimueleza kisa kizima, kwa kuwa alikuwa mcha Mungu alinisaidia nikabaki mjn
Pale ambapo nilikosa visa ya kwanza nakujaribu nchi nyingine huku nikiwa nimekata tamaa kabisa. Lakin mungu aliniinua tena nikapata nakunifuta machozi bila yeye mim nisinge Toboa
Mungu yupi sasa tumtolee ushuuda?????? Maana kila dini hapa duniani ina mungu wake...Kuna mungu wa kiarabu anaitwa Allah,Kuna mungu wa kiyahudi anaitwa Adonai,kuna mungu wa makabila ya kibantu kama Pandoke na kuna mungu mungu wa makabila ya watu wa americas ña asia ya kati na mashariki mbalí na ocenia.Lakini naona wewe umewataja mungu wa kiarabu na kiyahudi tu......Na kuna Gaotu wafuasi wa dini ya satanic wanamuita mungu
Nimezana chumbani, ile nimeingiza tu mlango unasukumwa.
Uzuri mlango ni mgumu hivyo nikanyata nyuma ya mlango
Aliyeingia akaingia bahati akapata alichokuwa anatafuta
Angekikosa angekuja nyuma ya mlango anikute na boxer tu
Watakupinga na kukubeza but i think I UNDERSTAND this feeling you express here...
Sisemi nakuunga mkono ila NIMEKUELEWA SITUATION YAKO and i dont judge you at all.
Wengi ni wanafik wakikuponda hapa au pengine Mungu KAWAPENDELEA SANAA but guys kuna watu wana mateso sana na kuna wakat tunateseka sana..Anyway Mungu sijui huwa anakua wapi.
Namuamini Mungu ila kuna wakat NAPATA MASHAKA MAKUBWA SANA
Nafikiri..anatenda kwa watu wake..na hao ndio wanashuhudia hapa na bahati mbaya wao wanataka sisi tumshuhudie na kumuamini kupitia kile walichotendewa wao..
Sisi tukieleza kile tunapitia na imani tumejenga kupitia kile tunapitia wanatuona sisi tunakufuru..kumbe sisi tunaeleza uhalisia wetu
ni vema kila mtu aamini kile anachokiona..sio mtu anamuambia Mtu Mungu ni mwema..HAPANA,mtu ashuhudie mwenyewe..
Kwenye maisha haya watu wanahangaika sana..imani zao zimekufa
Kwa kweli ukimtegemea Mungu 100% nakuhakikishia utatoboa,Mimi nilikuwa na biashara ilikuwa inachechemea sana kwa muda ,Ila nilipoamua kuikabidhi kwa Mungu nimeona mabadiliko makubwa sana.
Kikubwa uwe mwaminifu, utoe sadaka pamoja na kikumi ,usali na uwe unasoma neno la Mungu na kuomba ( kufunga), nakuhakikishia utatoboa.Sasa hivi mauzo yameongezeka zaidi ya marambili ya Yale ya zamani.
Glory to God.
Mungu yupi sasa tumtolee ushuuda?????? Maana kila dini hapa duniani ina mungu wake...Kuna mungu wa kiarabu anaitwa Allah,Kuna mungu wa kiyahudi anaitwa Adonai,kuna mungu wa makabila ya kibantu kama Pandoke na kuna mungu mungu wa makabila ya watu wa americas ña asia ya kati na mashariki mbalí na ocenia.Lakini naona wewe umewataja mungu wa kiarabu na kiyahudi tu......Na kuna Gaotu wafuasi wa dini ya satanic wanamuita mungu
#Adonai ni neno la kiebrania,, kwenye Biblia tunayoyotumia huwez pata ila kwenye biblia ya Kiebrania
Ni maneno
(majina ya kumuinua au kumsifu Mungu)
yako Machache kwenye Biblia
Mfano wa majina hayo 👇
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania Mara nyingi tumekuwa tukiyataja pasipo kujua maana zake,fuatilia ili ujifunze
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8
2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1
3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9
4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9
5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7
6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18
7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1
8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3
9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6
10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26
11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13
12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1
13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14
14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6
15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15
#Adonai ni neno la kiebrania,, kwenye Biblia tunayoyotumia huwez pata ila kwenye biblia ya Kiebrania
Ni maneno
(majina ya kumuinua au kumsifu Mungu)
yako Machache kwenye Biblia
Mfano wa majina hayo 👇
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania Mara nyingi tumekuwa tukiyataja pasipo kujua maana zake,fuatilia ili ujifunze
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8
2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1
3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9
4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9
5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7
6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18
7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1
8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3
9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6
10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26
11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13
12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1
13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14
14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6
15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15
Kwa kweli ukimtegemea Mungu 100% nakuhakikishia utatoboa,Mimi nilikuwa na biashara ilikuwa inachechemea sana kwa muda ,Ila nilipoamua kuikabidhi kwa Mungu nimeona mabadiliko makubwa sana.
Kikubwa uwe mwaminifu, utoe sadaka pamoja na kikumi ,usali na uwe unasoma neno la Mungu na kuomba ( kufunga), nakuhakikishia utatoboa.Sasa hivi mauzo yameongezeka zaidi ya marambili ya Yale ya zamani.
Glory to God.
Kumbe boss wangu kanitengenezea kesi ya wizi... Ameshaenda kuripoti polisi... Kamwaga hela huko mi sina taarifa...
Akamtafuta afisa flani wa polisi kwamba nikiripoti kituoni yeye awe ndiye mwenye faili.. Kiufupi huyo awe mpelelezi wa kesi...
Sasa imefika jioni kuna mama mmoja mtu mzima akawa anakagua mahabusu... Akanikuta nimepiga magoti nasali..
Nafikiri mama huyo alishangaa kidogo.. Nikasikia officer flan flan mlete huyu ofisini kwangu.. Naomba file lake nilipitie....
Hapo ndipo nilipo pona... Nilimweleza kila kitu na kumwambia makosa ninayotuhumiwa sijawahi kufanya...
Akabadili mpelelezi.. Akafanya upelelezi nikiwa nimepewa dhamana nikakutwa sina hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.