Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Watakupinga na kukubeza but i think I UNDERSTAND this feeling you express here...
Sisemi nakuunga mkono ila NIMEKUELEWA SITUATION YAKO and i dont judge you at all.

Wengi ni wanafik wakikuponda hapa au pengine Mungu KAWAPENDELEA SANAA but guys kuna watu wana mateso sana na kuna wakat tunateseka sana..Anyway Mungu sijui huwa anakua wapi.

Namuamini Mungu ila kuna wakat NAPATA MASHAKA MAKUBWA SANA
Subira yavuta heri

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

Ayu 1:22 SUV​

Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
ShirikishaSoma Sura Nzima
Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi. Apu ya BibliaPakua Apu ya Biblia ya Watoto Apu ya Biblia ya Watoto
linganisha matoleo yote: Ayu 1:22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 1:22​

Huzuni Ayu 1:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Huzuni
BibleProject | Kumwamini Mungu katika Mateso Ayu 1:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
BibleProject | Kumwamini Mungu katika Mateso

Inakutia moyo na kukupa changamoto ya kutafuta ukaribu na Mungu kila siku.​

HUDUMA
Kuhusu
Kazi
Kujitolea
Blogu
Bonyeza
VIUNGO MUHIMU
Msaada
Changia zawadi
Matoleo ya Biblia
Lugha za biblia
Mshahiri wa Bibilia ya siku
Siku kama ya leo mwakani nitakuwepo tena ofisini kwangu kama ilivyo leo; ni ushuhuda ulio mbele kwa sababu nina agano na Mungu
Tunza hilo AGANO
 
Tunza hilo AGANO
Analo yeye Mungu analitunza kwa niaba yangu; agano ni kati yake na mimi lakini sasa mimi sina hata ule uwezo wa kutunza sehemu ile iliyo yangu na hivyo nilishamkabidhi yeye anatunza vyote vilivyo vyangu.

Nikivitunza mimi nitanyang'anywa, wenye nguvu wanaonizidi ni wengi mno! Kila kitu kilicho changu anacho Mungu na hivyo yeyote mwenye ubavu anayehitaji chochote kutoka kwangu, atakichukua kwake; rukhusa!
 
Analo yeye Mungu analitunza kwa niaba yangu; agano ni kati yake na mimi lakini sasa mimi sina hata ule uwezo wa kutunza sehemu ile iliyo yangu na hivyo nilishamkabidhi yeye anatunza vyote vilivyo vyangu.

Nikivitunza mimi nitanyang'anywa, wenye nguvu wanaonizidi ni wengi mno! Kila kitu kilicho changu anacho Mungu na hivyo mwenye ubavu anayehitaji chochote kilicho changu, atakichukua kwake
Nakubali
 
Nje ya Mungu; Shetani is a powerful as anything you cannot imagine. Nje ya Mungu kulinganisha binadamu na shetani ni kama kulinganisha ukubwa wa punje ya mchanga ndani ya bahari na bahari, huku Bahari akiwa ndiyo shetani, na punje ya mchanga ndiyo binadamu
Kwa upande mwingine, Ndani ya Yesu/ Mungu, kulinganisha binadamu na shetani ni kama kulinganisha ukubwa kati ya punje ya mchanga na UNIVERSE; huku punje ya mchanga safari hii akiwa ndiyo shetani na UNIVERSE akiwa ndiyo binadamu
 
Pale nilipogombana na mkewangu, mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakamani nikabeba elfu lakimbili ya kitanzania kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi, fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu msikiliza kesi alininanga, kumbe hela nimeangusha home na wife akachukua kaenda kumhonga yule yule jamaa/wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana kwa uchungu wa wakili kukosa hela yangu nilikaa ndani miez sita,na alitaka nikae ndan bila kikomo mmh ngoja kwa hivi wakuu mungu mwenyewe yupo kweli??

Hizo n efforts zako asinge kuingiza ndan huko
 
Mungu hakuna alilowahi kunisaidia, kikubwa anakula pesa zangu kila siku,

Mimi ndo namsaidia maana nampa pesa.

Nilikuwa na shida akanitupa halafu saivi eti nimtolee, kweli?

Kila nilichonacho nimekipata kwa jasho langu.

Kwanza hayupo na kama yupo hana nguvu yoyote, kiufupi mimi namzidi uwezo.

[emoji91][emoji91]
 
Tulipata ajali mbaya mimi na familia yangu (watoto watatu na mke wangu) kule Iringa. Tulitumbukia korongoni sehemu za milima ya Iringa. Watu walishangaa kuona tumetoka salama wakasema hapo mahali watu wakipata ajali hawaponi. Ni sehemu hiyo hiyo miaka ya nyuma nilikuta mabasi mawili yaligongana na kuungua moto an watu wengi walikufa. Kwa neema ya Munugu mimi mke wangu na watoto wangu watatu tulitoka salama. Gari yangu D/Cab iliharibika vibaya sana. Mungu ni mwema. Nina mengi ambayo Mungu amenitendea siwezi kuyaandika yote hapa.
 
Dah! Binadamu tuwe na mipaka jamani,Mungu yupo na anafanya atakalo....Pengine hakupenda kukupa Kwa Wakati ule ,Kwa sababu maalumu.
 
Nikinusulika na ajali mbaya ikiyoua watu 17, Aliyeniokoa ni mtu amabae simjui sikuwahi kimuona na sinawahi kimuona baada ya siku Ile. Mungu ni mwema

ina maana hao 17 waliokufa mungu ni mwema pia kwao na ndugu zao ? Au ni mwema kwako tu?
 
Tulipata ajali mbaya mimi na familia yangu (watoto watatu na mke wangu) kule Iringa. Tulitumbukia korongoni sehemu za milima ya Iringa. Watu walishangaa kuona tumetoka salama wakasema hapo mahali watu wakipata ajali hawaponi. Ni sehemu hiyo hiyo miaka ya nyuma nilikuta mabasi mawili yaligongana na kuungua moto an watu wengi walikufa. Kwa neema ya Munugu mimi mke wangu na watoto wangu watatu tulitoka salama. Gari yangu D/Cab iliharibika vibaya sana. Mungu ni mwema. Nina mengi ambayo Mungu amenitendea siwezi kuyaandika yote hapa.

uko wapi wema wa mungu kwa hao ambao hufa hapo??
 
Askofu GWAJI...
Mwenyez MUNGU hum hurumia amtakaye Kwa sabab amemchagua.....
Kuna watu Mungu amewabarik na hawajawai kupiga goti hata hawaja mwomba chochote.....

Watoto Esau na yakobo walishindana tumboni.....
Na MUNGU alimpenda Yakobo........
Kabla hata hawajazaliwa....Mungu alimchagua Yakobo tangu tumboni hajazaliwa... kusema Mungu alimchukia Esau...ina maana Mungu ana upendeleo...Hasha......
Sio Kwa mazuri au mabaya Mwenyezi MUNGU humchagua amtakae Ili kusudi la MUNGU litimie...

Unaweza kusoma mpk PhD na usiweze kta bajaj
kama mwenyezi mungu humchagua amtakaye hizo juhudi zako za kumtafuta kwa kumsikiliza huyo gwajima, na maombi yako kwake na sadaka zako ni kazi bure na upumbavu mtupu. Umeshasema yeye huchagua unamuomba wa nini wakati ana kusudi lake tayari?

imagine esau kakataliwa akiwa tumboni hajui chochote, hana kosa lolote, kuna haki hapo?
 
Haahaa,
Asante Kwa kuingia YouTube kutazama......
Ni somo linalo fikirisha sana tena sanaa..

Haijarishi umetenda mazuri au mabaya Mwenyezi MUNGU humchagua amtakae na umuhurumia amuhurumiaye.....

KUSUDI LA KUCHAGUA LITASIMAMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom