TOA TAARIFA ZA NCHI YA Chit-Chat UELEWEKE!!

TOA TAARIFA ZA NCHI YA Chit-Chat UELEWEKE!!

wa2 wanabadilia ID then anaonekana mgeni anaomba kukaribishwa na kupewa hazi zote ambazo alishapata mwanzoni siyo fair
 
Imagine watu kama Mr Rocky Preta Asprin Madame B Vin Diesel Mamndenyi Bishanga Blaki Womani Nyani Ngabu Erickb52 Filipo et al. Miaka yote hawajibadili kwanini wengine wajibadili? WHY??

Hilo la multiple IDs nakusihi wala usijichoshe nalo. Humu ni usanii kwa kwenda mbele. Si wadada si wakaka na hata mahuntha nao wamo.

Just join the club. Tengeneza IDs zako halafu jichanganye kama kawa kama dawa.

Ukijishughulisha sana na IDs za watu waweza kupatwa na vidonda vya tumbo bure.

Hint: ukiona mtu desh desh kapotea usidhani labda kapotea kweli. Ni huenda yupo kama hayupo vile.
 
Nyani Ngabu hilo la ukweli aise
Ukiona hata mtu anaaga ujue kapotezea ID moja nyingine inazaliwa
Na kuna watu wanaanzisha thread wanajijibu wenyewe mwanzo mwisho
Na kuna wale ambao wanaanzisha ugomvi wanapigwa ban anakuja na ID yake au anaendelea na ID yake halali
 
Last edited by a moderator:
Ukibadili ID toa taarifa tukujue tafadhali. . .


Usituchanganye bhana. . . Wapi manoah, Erotica, Ciello et al??

Hata kama umebadili dini tupe taarifa kwani tulishakuzoea kwa ID ile..!

Mfano wa kuigwa ni Mtoto Six- @C6.

Toa taarifa za nchi . .

Charminggirl ------> charminglady Haaaaahahaaaaa..... Mifano ya kuigwa ila basi tu ndo Ishakuwa hivyo ilivyo sasa.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom