Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
There are so many reasons my dear..wengine wanataka kutengeneza walipoharibu..wengine wanajipanga upya ( to find themselves),Wengine wanatengeneza ndoa au mahusiano yao, wengine ni kubanwa na majukumu n.k... Give them space they will surely come back wakiwa tayari
Oukei. Kumbe? Kuanza upya sio dhambi. Si ndio wanachofanya?