Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,902
- 3,096
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄
Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana walimfelisha kwasababu ya ujuaji wake) baada ya hapo akarudi mtaani kuzurura kutafuta shule na Tuition za kufundisha.
Alirudi chuo Tena UDSM kusoma petroleum engineering mwaka 2013 na kuhitimu 2017.
Huyu jamaa alikuwa anapenda kuwaita wenzake nyumbu😄
Moja ya misemo yake alikuwa akisema. "Huwezi kupata Division 1 Kama unasoma Dar"😄
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe