To revive 'intimancy' in your marriage


haa jamani umenitia huruma hapo...khaa kweli maisha.... wakati mie nasema bora nasafiri hv karibuni hata nikija tuanze mapenzi 1 wengine ndio wanackitika...pole kabuche.
 
hapo mie ni mpaka aniambie kama amepungukiwa/ishiwa...otherwic hiyo hela nitaenda hapo nakumat kumfanyia shopping.

nyamayao unaweza pia ukamkatia chenji afurahie matunda ya mkewe kuwa na extra money! hata kumfanyia shopping ni bomba sana nafikiri, lazima atakuwa anafurahia

(nadhani mimi naona bora nimpe pesa kwa kuwa naona usumbufu kumfanyia shopping ................(men department is sooo boring) lol
 
lakini hii aidia ya kusafiri hii jamani....!
mi naweza kwenda mapinga kumchukua mary nikaenda nae bagamoyo najifungia nae wiki mbili/tatu kwa kisingizio 'nimesafiri'...
mi nadhani hii kitu ni state of mind zaidi
 

matunda yangu anayafurahia kwa yeye kupendeza pamoja na wanae.....hela ni mpaka aseme cfanyagi surprise na hela mie.....(nikifikira labda itaenda kuishia bar ndio kabisa)
 
HOW TO REVIVE INTIMACY

Teamo,

Kama kawaida yako mkuu - Nadhani siku hizi pale Zero na Viola wanaku-miss sana!

Kujibu swali lako hapo juu:

There is nothing (yes I repeat nothing) can be done to revive the marriage's intimancy!

You have got to learn to get along with it - and That is it

The more you stay in marriage's ties the more you tend to learn to agree to disagree - and as the result none of the problem(s) that you face between two of you which is permanently resolved! You simply learn to live with it, and of course that is what we were told from day one "..Katika SHIDA na RAHA.."
 
naona 'mawazo mabaya' yameshakuingia mtafute baba Askofu akakupe upako ASAP:doh:

Akchale... anahitaji sala...ray:

Hehehehehe! Askofu yuko bize kwenye maungamo. Yanini malumbano?

Kuna mtu alilala kwenye hiki chumba cha Maungamo nikadhani ni wewe (si unajua shida ya sigara kubwa)

Ngoja nimtafute baba askofu aje achape injili hapo....:doh:

:amen:

Nadhani TEAMO anahitaji maungamo yake aisee

Njooni mnieleze yale yanayofanya ndoa zenu ziishe uhai mpaka mtake kuzi rivaivu... Mmemdiliti Mungu katika maisha yenu...
 
Nyamayao kumbe mna shinda Mr wenu wanaokunywa pombe mpaka vitu vyengine muwakisie! lol
 
Nyamayao kumbe mna shinda Mr wenu wanaokunywa pombe mpaka vitu vyengine muwakisie! lol

ndio hivyo G....ni wkend tupo home kila kitu kipo ndani, atataka hela ya nini kama sio ya kukata kiu ya beer?...lol
 
kweli mkuu!
 

Mh... we mchagga nini?
 
kwani mama Brian, vipi state ya huko kwako ikoje.......inahitaji revival?

Kaizer siye bado tunaishi kama paradiso ndogo, tunapendana sana na my husband tena sana.No need of revive nasemea kwa wengine ambao ndoa zimekuwa ndoano wabadilike wakumbuke enzi hizoo.
 
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?

( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)

G,

Ni bomba sana kupewa pesa na sweetie. Ila hizo pesa nadhani huwa zina laana. Kwani ukizipata ndo unaanza kuwakumbuka wengine badala yake aliyekupatia. Shopping ni bomba zaidi kwani my wife anajua tastes zangu zooote na hafanyi kosa katika kuchagua vitu vinavyonifaa. Ila huwa anasikitika sana kwamba naweza kutoka mchicha halafu nikawa nimebeba mzigo! Haya maisha ni bangi tupu. Ukipewa hiki unataka kile. Naona binadamu wote ni vichaa tu!
 

- Kuacha au kupoteza ubunifu.
 
Kaizer siye bado tunaishi kama paradiso ndogo, tunapendana sana na my husband tena sana.No need of revive nasemea kwa wengine ambao ndoa zimekuwa ndoano wabadilike wakumbuke enzi hizoo.
Hongera Mama Brian!!
Na kama hutajali, hebu sema ndoa yenu ina umri gani na je all along mambo ni superrrr?
Kuna kitu kinaitwa "7 year itch"...... how have you dealt with it?
 
Ni heri ujue kuliko uhisi. Ni mateso makali sana kuhisihisi!

...Quote of the day!..lakini ukiwa ni dereva wa mawazo yako, jitahidi ukivuke kizingiti hicho. Sio maisha hayo kuishi na wasiwasi wa kuibiwa.

Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?

( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)

...mbaya sana hii. Nitakuwa offended na disappointed sana tu. Mnh, can't even imagine...

Kaizer siye bado tunaishi kama paradiso ndogo, tunapendana sana na my husband tena sana.No need of revive nasemea kwa wengine ambao ndoa zimekuwa ndoano wabadilike wakumbuke enzi hizoo.

...natamani niamini lakini akili inakataa kwa jinsi ulivyojitahidi kuchagua na kuandika hayo maneno.
Aah, haya bana...hongera zenu.
 
Thats human nature...we never get satisfied with what we have but rather what we don't have!Infidelity is there to stay no matter what...ata ukiwa unapenda kula chakula flani sana, ukikipata kila mara lazima utapunguza mapenzi yako kwa huo msosi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…