PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
[emoji106]Yani umtenge mwanao kisa ndoa? mwanaume anaenipenda mimi ila hampendi mwanangu siwez kuolewa nae.. mwanangu nitaenda nae popote. Nilipo atakuwepo. Kumtenga mtoto kisa ndoa ni kiwa desperate.
Sawa lakini kama anakupenda kweli mtoto hawezi kuwa kikwazo. Tatizo wanawake wengi wanakuwa wepesi sana linapokuja suala la ndoa. Hivi ni sahihi kweli kumtelekeza mtoto kwa ajili ya mwanaume ambaye wala hana hata chembe ya DNA yako? Ikumbukwe kuwa katka ndoa wote wawili mnahitajiana hakuna aliye bora zaidi ya mwingine.
wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini
Ndugu!Hapo unakuwa unawakosea...usingo maza unahusiana vipi na ukilaza wa mtu...vilaza wapo tu awe bikra, single mother au ameolewa kote vilaza wapo. Na wanaokumbuka misri ni wanawake tu? Mbona ninyi mnakuwa mmeoa ila bado na ma- baby mama wenu hamuachi kupasha kiporo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuu but let us hear the messages from these children, hakuna motto anaependa kulelewa na baba wa kambo wala mama wa kambo, lakini kwanini tukiwa kama binadamu tusijifunze kusuluhisha hizi hisia zetu za kibinadamu?Inategemea mkuu... kuna wanawake hawajui kuacha kuna mwengine akiacha ameacha, single moms wanaorudi kwa baba watoto wao baada ya kuachana ni kwa sababu wanaogopa kulea watoto peke yao hivyo wako tayari hata kuwa kwenye relationship wasioifurahia basi tu aonekane na yeye anaishi na baba wa mtoto, pili kukata tamaa. Wanahisi ukishakua single mom maisha yako yameishia hapo bora urudi kwa baba mtoto mkasongeshe hata kama akiwa na mtu mwingine anakua hamuamini anaona bora shetani anaemjua kuliko malaika mgeni. Mwanamke imara tu ndo anaweza kujitoa kwenye mikono ya mwanaume waliezaa nae zikabaki story za malezi tu na sio kukumbushia yaliyopita.
Hakuna na sidhani kama kuna mzazi anapenda kuona mtoto wake anakosa malezi ya mzazi mwingine ila ni maisha tu yanapelekea haya.Nimekuelewa sana mkuu but let us hear the message from these children, hakuna motto anaependa kulelewa na baba wa kambo wala mama wa kambo, lakini kwanini tukiwa kama binadamu tusijifunze kusuluhisha hizi hisia zetu za kibinadamu?
Wee aliyekwambia mume haumi nani? Kwa hiyo ninyi mna haki ya kupasha kiporo ila wanawake hapana. Na kama unajua mke anauma unajisikiaje unapokuwa unapasha kiporo na mke wa mwenzio?Ndugu!
Ukisikia huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume tofauti siyo tu viuongo vya uzazi tu!
Kuna mambo mengi sana mfano tangu kuumbwa kwa dunia mwanamke hajawahi kuolewa na wanaume wawili, uwezo wa reproduction (biological factor) zinampendelea mwanaume mume anao uwezo wa kuwapa mimba wanawake wengi kwa mara moja, ila ujue pia ata hiyo mimba iko imbadedi na mwanamke kuliko mwanaume.
Cha msingi ukiaachana na mtu unarudia kufanya nini amua usiolewe ijulikane na ujue uamini au ubishe mke anauma kuibiwa kuliko mume..!
mkuu ni bora wanaume waelewe kuwa na sisi pia tungependa kwa wake wa watu lakini kwasababu ya watoto tunaopata nje ya ndoa inakua vigumu kwetu kwahiyo na wao kabla ya kuleta maamuzi kuwa hawataki kushirikishwa kwenye malezi walielewe hili.Wee aliyekwambia mume haumi nani? Kwa hiyo ninyi mna haki ya kupasha kiporo ila wanawake hapana. Na kama unajua mke anauma unajisikiaje unapokuwa unapasha kiporo na mke wa mwenzio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu, haya ndiyo mambo ambayo inabidi tuelimishane hapa, hakuna anaeenda kwenye ndoa kwasababu anamhitahitaji mwenzake zaidi ni mapenzi tu. Lakini hizi jamii zetu zimeshajenga desturi ya kuwa kigori ni lazima alipiwe mahari na kuolewa harusi.
Pale kigori anapoleta mtoto bila mahari wala ndoa anaonekana na dosari, na hii inamfanya awe vulnerable kwenye society.
tatizo mnapashaga viporoNa nyinyi wanaume muangalie ni hali gani unayompa mwenzako unapomwambia achague ndoa au mtoto wake, nani asiyetaka kuolewa?
na ya nn mm kijana 27 yrs nihangaike na single maza?Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
kakudanganya naniUnaachaje mwanao sababu ya dudu,mwanaume akikupenda kweli hata uwe na watoto sita atakaa nao na kuishi nao kama wakwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi wanaogopa kujihusisha na single mothers kwasababu ya history of the baby father. Hii kitu leo tujaribu kuiweka wazi.
Matatizo makubwa mnajitengenezea kutaka kotekote unakuta unahitaji baba mtoto sababu ya maslahi ya mtoto na mume hicho kitendo kinamkera sana.Mkuu you are trying to go out of tangent here plz don't the main issue is I'm I involved or not, if not let me make my rules which will be easy if the child will look for you as a grown up man but for now I need to be loved and cared. On top of that there is someone who is ready do so and love my son as well.
Tatizo wanaume mmejenga hali tunawaogopaUnajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
Napenda point zakoSawa lakini kama anakupenda kweli mtoto hawezi kuwa kikwazo. Tatizo wanawake wengi wanakuwa wepesi sana linapokuja suala la ndoa. Hivi ni sahihi kweli kumtelekeza mtoto kwa ajili ya mwanaume ambaye wala hana hata chembe ya DNA yako? Ikumbukwe kuwa katka ndoa wote wawili mnahitajiana hakuna aliye bora zaidi ya mwingine.