Embu nsogezee maswali mezani....
Try me...
+891 223 568!
+891 223 568!
Hofu lazima uwe nayo kwakuwa ninataka mahusiano na wewe
Mimi muonekano kwangu sio ishu ki vile kwani najua ubora wa mtu ahupo kwenye muonekano bali kile anachokifanya au kusema!
Tayari ameshaweka baraka zake paroko!
Ngoja aje!!!!!
Sijasema kukupenda kutakupa hofu bana bali nimesema kitendo changu cha kutaka kujenga mahusiano na we kinaweza kukuletea hofuKunipenda haiwez kunijengea hofu Bali itanijengea heshima na kuweza kujiamin kwa maamuz Yang
Kama ni kwako sawaYawezekana muonekano usiupe nafasi Bali ukaangalia hekima,upendo, tabia nk ila hat hilo lina nafasi yake kwangu kukuona.....
Hili ndilo jukumu la mume kwa asili hivyo halina tatizo kwanguMimi mama wa home Sina/ ctaki kazi je utaweza kuwajibika na kutunza familia na matumizi Yang yakupenda maisha ya standard .... je utaweza kuhudumia as father/?
Kazi yangu utaijua muda utakavyokuwa unakwendaKazi yako?? Balance sheet yko itaweza hayo