Wamemcharua
lara 1 watashaa...me nipo naangalia mtanange kwa hisani ya watu wa Marekani!
Wamejicharua wenyweeeee! Mi si bado nipo MMU, TRENDING KAMA ZAMANI, na sumu zao zoote ukipitia comments zangu MI LIKES KIBAO KAMA KAWAIDA YANGU! :lol:
Mishikamano kama hii ya kizandiki, uchonganishi, ugomvi, uonevu, shari, matusi HAIDUMUGI HATA SIKU MOJA NI SELF DESTRUCTORY! Leo mtamchambua mtu weeeeeeee, mwisho wa siku mko pale pale, kesho mtachambuana wenyewe afu baadha watakurudia ulie chambuliwa kukiri walibugi men. Hakuna muungano unaofomiwa kwa grounds hizo ukadumu hata siku moja, wala huhitaji kufanya lolote kuutokomeza, just seat and watch! Kama issue ya Alcohol rehab wenyewe kwa wenyewe wanauziana CD. NDO MAANA I WILL NEVER EVER ENTERTAIN THEM, MAKE PEACE SIJUI, NIISHI NAO VIZURI! SITAKIIIIIIIIIII! Mtu mshari ni kukorofishana nae kabisaaa, kabisaaa na kukaa nae mbali tena kumuepuka kama ukomaaa. TO ME THESE KIND OF PEOPLE I WILL NEVER EVER MINGLE WITH NDO MAANA THEIR OPINION WILL NEVER MATTER. As far as i am concerned the deserve each other. :lol:
Mimi naweza kuishi na watu vizuri tena sanaa, lakini hao watu wawe wazuri wa kueleweka. Humu JF tuna background tofauti kuna watu wanavitabia vya ajabu ajabu, usipokuwa mwangalifu utamkaribisha shetani maishani mwako, mwishowe unajikuta mtumwa sasa. Ndo maana nakuwa EXTRA careful who i fight, and who i make peace with. Kuna wanawake humu kazi yao kunisimulia mambo ya watu tu kila sikuuuu. Ubuyu naupenda ila najua sio mzuri. Nikishakujua wa hivo baas, sikwambi jambo langu lolote. Na kuna watu nimekutana nao humu humu and we are very friends, happy, tunaheshimiana, tunasaidiana, tuna aminiana. Its like tumejuana forever kumbe umu. THESE ARE THE KIND OF PEOPLE I NTEND TO BE MEETING IN JF. Wanajua mambo yangu kibaoo ila wananistiri coz wanajua thamani ya uungwana. Na most all we trust each other for better for worse ndo maisha. And i am very CAREFUL to select my cycle. Kama Latoya we go way back since 2012, alikuwa hajaajiriwa bado, watu walituchonganisha humuuu ni balaa, ila ni mtu asie na vi attitude, akaach u member urafiki ukaendelea, karudi, we still friends here n outside here. Namjua yeye, ofisini kwake, mtu wake, hivo yani tunajuanaaaa. Nikashaona mtu ana vitabiatabia naweka mbali na watoto kabisaaa.
Wamejicharua wenyweeeee. Mimi nipo, nitaendelea ku TREND kama kawaida, maisha yataendelea kama zamani. Nashukuru kuna watu nilikuwa nawaona wazungu kumbe DANGER, i will do the needful! :lol: Mtakalia hivo hivo watu wa JF sijui nini nini, watu ni wale wale haijalishi umekutana nao wapi, ni jinsi tu ya kumjua mtu na kuishi nae jinsi alivo. Kokote JF au hata nje ya JF ukijua kuishi na mtu jinsi alivo hatokupa shida hata siku moja! Mtu ukijua mshari una muignore na ku focus kwa wenye kupenda upendo na furaha! Ukihangaika nae ATAKUSAIDIA NINI? UNAWAACHA TU WAFU WAZIKE WAFU WAO.