To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Lara hio ishu ya ngedere ni kweli niliisikia leo tupo hapa pub live kwa wakongwe maarufu humu. Sio msichana mmoja. Wengi walitajwa baadhi. Dem akileta nyodo anamtokea na new id anampiga pumbu kisawasawa analeta mrejesho. dada anakuwa mpole. Nashangaa anakulealea Lara kwa unavomletea jeuri angekukula 0713 atupe mrejesho na ushahidi. Labda kweli kaota K maana anahangaika siku 4 na kademu kamoja.

Unaonaje ungeibuka na ID yako ya siku zote?? Na kwanini umwite ngedere wakati yeye ni Nyani Ngabu??
 
Last edited by a moderator:
Komredi hizo ni dalili za uzushi na ufisi (uoga).

Mpaka hivi sasa hakuna hata jina moja lililotajwa!

Wengine wakitongoza michuchu wakinyimwa wanazusha mambo tu. Wanakuwa hawana tofauti na michuchu iliyokosa dudu kwa muda mrefu.
 
Afu tatizo lako jingine miss marrykate hujui hata nani anayetaka misifa,nakusikitikia!!Maana uzi wenyewe umeukutuia mwishoni!
 
Last edited by a moderator:
Hujambo Marrykate?

Mbona uko kishari shari leo?

Jana usiku hukupata dudu?

hahhaha wanaboa wanaotafuta sifa hapa, hili jukwaa huru, mtu anachangia anachokiamini sio wote tunaamini wanavyoviwaza wenyewe, sasa mtu anataka asifiwe tuuuuu mtu akitofautiana nae kosa, waanze kumuita majina ya ajabu ajabu tu, mafi yao wakatafute sifa huko mitaani kwao, maofisini kwo, makanisani ndo wanakojulikana huko, hapa tunajua keyboard tu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Afu tatizo lako jingine miss marrykate hujui hata nani anayetaka misifa,nakusikitikia!!Maana uzi wenyewe umeukutuia mwishoni!

sijaukutia mwishoni nipo tangu mwanzo ulivyoanza, sikuona sababu ya kucomment kwenye huu uzi, ila ulivyoanza kubagua watu niakona kumbe unatafuta tu sifa ,mtu akiwa tofauti na mawazo yako, unatafuta genge mnaanza kumsemasema
 
hahhaha wanaboa wanaotafuta sifa hapa, hili jukwaa huru, mtu anachangia anachokiamini sio wote tunaamini wanavyoviwaza wenyewe, sasa mtu anataka asifiwe tuuuuu mtu akitofautiana nae kosa, waanze kumuita majina ya ajabu ajabu tu, mafi yao wakatafute sifa huko mitaani kwao, maofisini kwo, makanisani ndo wanakojulikana huko, hapa tunajua keyboard tu

Kama mtu unachangia unachoamini we kimekushinda nn kuchangia kile unachoamini na kusepa kuliko kuanza kutembelea nyota za watu??
 
Mamaa wanyamazie kimya tu uone kitabadilika Nini? Achana nao dawa ya mjinga ni kumpigia kimya tu

Mambo farkina? mekumisi mimi.

gorgeousmimi, umegoma kufuata ushauri wangu basi angalau basi msome mwanamke mwenzio hapa....

ushauri murua.
 
Last edited by a moderator:
mh. pata hela tujue tabia yako....kuchuma na mwanaume sitaki....i have seen enough in my life to hold on to that.
 
Huyu haumwezi nadhini ni mwenyekiti wa mahayawani na wanazi wasiopenda kueleweshwa wakaelewa
Baada ya kuthibitisha mwenyewe hapa kua ana tatizo la akili mimi nitasema nini tena?
Wamemshindwa Milembe nitamuweza wapi mimi?
Nampuuza tu kujibishana na mjinga atahisi mnafanana.
Anatia huruma.
 
Lini hiyo? Weka specifics basi i.e. siku, mwezi, mwaka na kadhalika.

Okay....

Huyo dada hana jina? Na sizungumzii jina lake la ukweli bali la humu JF tu.

Mtajeni basi ili umma uweze kujua mchele ni upi na pumba ni zipi.

Kuna kitu nakisoma, yani kabisaa!
 
Back
Top Bottom