To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Sijui nlikuwa wapi siku zotw hizi sijakuona

Shangaa sasa wengi wao wanajiona wakamilifu wengu wao ujuaji mwingi,wanamwita kichaa lakini wanabishana na kichaa huyohuyo..
Mhhhh hapa napata shida na halmashauri za vichwa zao. lara 1 upo juu mama ndo maana wanakuongelea wanaweweseka,neno lako si sheria au Quran.


Nipo sana humu jamvini huwa nachungulia na kuangalia mambo yanakwendaje ila mimi wa kitambo kidogo humu
 
Last edited by a moderator:
Thread imenifunza mengi aisee.. @gourgeousmimi asante sana kwa hizi reminders mi kuja jambo i was about to do.. ila thread hii kwa namna moja ama nyingine inanifanya niendelee ku buy time..... Nitakwambia kwa kirefu baadae.

Keep it up
Bado unabuy time or are u selling the time?
 
Back
Top Bottom