To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Nilichosikia ni kuwa bwana Ngabu alitoka Us kuja bongo likizo.

Lini hiyo? Weka specifics basi i.e. siku, mwezi, mwaka na kadhalika.

Sababu watu wengi walivutiwa kwa kweli na yule binti sio ajabu Ngabu kuvutiwa. Nasikia na dada nae alimkubali Ngabu.

Okay....

Nisichokielewa mpaka leo hii ni ilikuwaje hayo mambo yakajadiliwa kwa mapana PM. Na majadiliano yalikuwa ya kumuonea huyo dada. Kusema kweli ilisikitisha. Huyo dada sijui aliachana na jf au amehama ID. Binafsi hio habari niliisikia lakini ni kitambo na tunaoijua ni watu wachache wa siku nyingiii. Sasa nachojiuliza Lara1 umejuaje? Yawezekana yule mrembo karudi tena JF? Kama ni yeye tafadhali mpe hii ID yangu ani PM. Na kama anasoma hapa ani PM.

Huyo dada hana jina? Na sizungumzii jina lake la ukweli bali la humu JF tu.

Mtajeni basi ili umma uweze kujua mchele ni upi na pumba ni zipi.
 
sitaki malumbano na mtu mlisema alieskia jambo aseme hadharani.

Naam, sawa umesema lakini ulichosema ni sawa na hujasema chochote.

Taja majina hapa ili watu waumbuke.

La sivyo utakuwa unaendeleza umbea wa kipumbavu tu.

Kama nilimlala Kongosho, Afrodenzi, au Firstlady1 wewe wamwagie visuku mchele.
 
Habari za saa hizi wapendwa wangu,

Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.

Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.Lakini wanaume mjiamini please dont let any woman put you down.If you are insecure na hujiamini hakuna mwanamke atakayekutaka.

Speaking from a woman´s perspective we women need men who provides security to us,who will guide us and protect us.We need men who will be there for us and stand out there for us.And when i say guidance,sio maguvu wala madharau na kejeli,"Mind your words they can make and break anything"

You might not have it now but if you stand to achieve your goals you will reach them.Its not about the money or other materialistic stuff its about you and how you place yourself out there.Hakuna mwanamke anayetaka mwanaume kigeugeu asojielewa.Kuwa na msimamo,jua nini unataka na pigania kukipata.Dont expect to grow roses while you are busy planting lillies.

Wanawake tuwe wavumilivu na wenye subira.Kama jamaa hajafikia standard guide him through it na najua wanaume zetu hawarekebishiki mpaka watake but usikate tamaa, ua lako kama unataka listawi lipalilie.Its your man walk with him through it. Only the strongest will survive.

At last if you are a good guy learn to appreciate,respect and cherish good people who are there for you.
Not all days are Rainy neither Sunny days.

Wasalaam, gorgeousmimi

hongera natamani wanawake wengi wangeiona hii ingekuwa msaada kwa familia
 
Naam, sawa umesema lakini ulichosema ni sawa na hujasema chochote.

Taja majina hapa ili watu waumbuke.

La sivyo utakuwa unaendeleza umbea wa kipumbavu tu.

Kama nilimlala Kongosho, Afrodenzi, au Firstlady1 wewe wamwagie visuku mchele.

Hahahahah komredi usinambie ushamlala mchuchu humu?

BTW hata ukimlala watu inawauma nini?? Au wanataka uwalale wao? Kama wanakutaka na wewe huwataki, sisi hatujafahamiana barabarani, nipigie pasi.

Ni haki ya mwanamke kulalwa na mwanaume kwa hiari.
 
Ishu iliyopo hapa Komredi ni uzushi tu na ndo maana unaona hakuna anayethubutu kulitaja jina la huyo mchucu aliyelalwa kwa kuhadaiwa na mimi.

Ila nachohisi ni kuna wachuchu wenye hamu ya kulalwa na mimi na hawajui gia ya kutumia kufanikisha lengo lao.
 
lara1 mimi sijawahi kukubaliana na wewe hata siku moja lakini hio habari ya huyo dada ni kweli kabisaa. Alikuwepo humu, alikuwa mzuri, mrembo na anavutia sanaaa. Id yake siikumbuki vizuri alikuwa anaitwa african sikumbuki nini. Na alikuwa anatumia avatar ya picha yake halisia kama Elizabeth Dominic. Alikuwa mstaarabu hana tabia mbaya za kiburi na madharau kama wewe Lara, na kinchonifanya nionge hapa ni sababu hio tu, yule dada hakuwahi kuwa na tabu na mtu humu ndani, nikikaa kimya kikondoo nitamkosea itakuwa sijamtendea haki kwa ustarabu alio kuwa nao.
Nilichosikia ni kuwa bwana Ngabu alitoka Us kuja bongo likizo. Sababu watu wengi walivutiwa kwa kweli na yule binti sio ajabu Ngabu kuvutiwa. Nasikia na dada nae alimkubali Ngabu. Nisichokielewa mpaka leo hii ni ilikuwaje hayo mambo yakajadiliwa kwa mapana PM. Na majadiliano yalikuwa ya kumuonea huyo dada. Kusema kweli ilisikitisha. Huyo dada sijui aliachana na jf au amehama ID. Binafsi hio habari niliisikia lakini ni kitambo na tunaoijua ni watu wachache wa siku nyingiii. Sasa nachojiuliza Lara1 umejuaje? Yawezekana yule mrembo karudi tena JF? Kama ni yeye tafadhali mpe hii ID yangu ani PM. Na kama anasoma hapa ani PM.

Sasa mbona sioni sexual harassment si mmeamua kumwaga mambo hadharani sasa mbona nusu nusu? Sasa mambo yaliyoishia pm si umbeya na uzandiki kama majungu mengine tu au?
 
Last edited by a moderator:
Ishu iliyopo hapa Komredi ni uzushi tu na ndo maana unaona hakuna anayethubutu kulitaja jina la huyo mchucu aliyelalwa kwa kuhadaiwa na mimi.

Ila nachohisi ni kuna wachuchu wenye hamu ya kulalwa na mimi na hawajui gia ya kutumia kufanikisha lengo lao.
Hahahahaha..... kudadadeki wafanyie mlalo wa ahueni...
 
what about when I said "either you help or you do nothing" and you said I was instructing you? Didnt you know that "you" can be and was for JF Members as a whole and not you as ISO?...THOUGHT WE OUGHT TO HAVE THE SAME MINIFIED RULES!!!

Man the context totally differs...and remember that you quoted me....so it followed that you were talking to me captain.....

By the way you dont have anyting better than twisting and comparing words and throwing them back at me?

Whats your point exactly?
 
Sasa mbona sioni sexual harassment si mmeamua kumwaga mambo hadharani sasa mbona nusu nusu? Sasa mambo yaliyoishia pm si umbeya na uzandiki kama majungu mengine tu au?

Mwenyewe hata sioni hiyo sexual embarrassment kweli vitu Vingi vya pm huwa ni uzushi tu wa watu ninavo ona.
 
Mwenyewe hata sioni hiyo sexual embarrassment kweli vitu Vingi vya pm huwa ni uzushi tu wa watu ninavo ona.

Hahaaa ni sexual harassment my friend.

Licha ya hivyo, huwezi kuiona kwa sababu haipo.

Ni ya kufikirika tu na ndo maana huyo dada hajatajwa.

Sababu ya kutotajwa ni hayupo.
 
Sijishaui nakwambia ukweli ambao nilishasema tangia mwanzo Michelle amenukuu maudhui ya bibilia yanayoendana na uzi!!Kama wewe unaamini kitu cha mwanaume kikubwa ni pesa hongera zako kwa hilo sishangai kwa maana ndo mtindo wa wanawake wa kisasa na point of correction mm siamini bibilia siijui hata ilivyo!Sidhani kama tuna lakujadili zaidi mimi na wewe!

next time ukianzisha uzi uwe ukabali mawazo ya watu wote, ukiwa mbaguzi JF hapakufai hapa sio sehemu ya kujizolea sifa sijui, tafuta sifa huko unakoishi na kwa ndugu zako, sio mtu akitofautina na wewe uanza kumsemsema, by way mi mwanaume wangu namtunza anaishi kwenye nyumba yangu, anakula jasho langu na anaendesha gari yangu,
 
Lara hio ishu ya ngedere ni kweli niliisikia leo tupo hapa pub live kwa wakongwe maarufu humu. Sio msichana mmoja. Wengi walitajwa baadhi. Dem akileta nyodo anamtokea na new id anampiga pumbu kisawasawa analeta mrejesho. dada anakuwa mpole. Nashangaa anakulealea Lara kwa unavomletea jeuri angekukula 0713 atupe mrejesho na ushahidi. Labda kweli kaota K maana anahangaika siku 4 na kademu kamoja.
 
Sema hakyamungu..... Yani kabisaaaaa?????
 
JF, where you think so great it leads you to having high school girls' issues arif, you can't make this shit up.
 
next time ukianzisha uzi uwe ukabali mawazo ya watu wote, ukiwa mbaguzi JF hapakufai hapa sio sehemu ya kujizolea sifa sijui, tafuta sifa huko unakoishi na kwa ndugu zako, sio mtu akitofautina na wewe uanza kumsemsema, by way mi mwanaume wangu namtunza anaishi kwenye nyumba yangu, anakula jasho langu na anaendesha gari yangu,

Hujambo Marrykate?

Mbona uko kishari shari leo?

Jana usiku hukupata dudu?
 
next time ukianzisha uzi uwe ukabali mawazo ya watu wote, ukiwa mbaguzi JF hapakufai hapa sio sehemu ya kujizolea sifa sijui, tafuta sifa huko unakoishi na kwa ndugu zako, sio mtu akitofautina na wewe uanza kumsemsema, by way mi mwanaume wangu namtunza anaishi kwenye nyumba yangu, anakula jasho langu na anaendesha gari yangu,
Unanipa mashaka ww,mm sijambagua huyo unayemuongelea wala sijamtenga ila yeye ndio amefanya hivo to her own self,too bad amefuta most of her posts kulidhirisha hilo zaidi,na to be precise amenitenga mimi which i care less about na wewe usinipangie jinsi ya kuishi maisha yangu!
 
Lara hio ishu ya ngedere ni kweli niliisikia leo tupo hapa pub live kwa wakongwe maarufu humu. Sio msichana mmoja. Wengi walitajwa baadhi. Dem akileta nyodo anamtokea na new id anampiga pumbu kisawasawa analeta mrejesho. dada anakuwa mpole. Nashangaa anakulealea Lara kwa unavomletea jeuri angekukula 0713 atupe mrejesho na ushahidi. Labda kweli kaota K maana anahangaika siku 4 na kademu kamoja.

Mbona watu mnacheza mzunguruko tu?

Watajeni basi hao wasichana.

Au mnaogopa?
 
Back
Top Bottom