To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Sijui nlikuwa wapi siku zotw hizi sijakuona
Mbona kama mnamwandama lara personal wakati humu kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake anavyojisikia? Na pia mtu akiona anashambuliwa ana haki ya kujilinda kwa nn mnataka akubaliane na nyie wakati siyo msimamo wake!? Aminini kile mnachoamini na yeye ajiamini na kile anachoona kuwa ni sawa.

Shangaa sasa wengi wao wanajiona wakamilifu wengu wao ujuaji mwingi,wanamwita kichaa lakini wanabishana na kichaa huyohuyo..
Mhhhh hapa napata shida na halmashauri za vichwa zao. lara 1 upo juu mama ndo maana wanakuongelea wanaweweseka,neno lako si sheria au Quran.
 
Last edited by a moderator:
Sijui nlikuwa wapi siku zotw hizi sijakuona

Shangaa sasa wengi wao wanajiona wakamilifu wengu wao ujuaji mwingi,wanamwita kichaa lakini wanabishana na kichaa huyohuyo..
Mhhhh hapa napata shida na halmashauri za vichwa zao. lara 1 upo juu mama ndo maana wanakuongelea wanaweweseka,neno lako si sheria au Quran.

Hahahahaaaaaaaaa! NIKO JUU KIDOGOOOO SASA! Baada ya mi kusepa uzi umeongeza vipost kadhaa tuu. Chezea UHAI WA POST KUPOTEAAAA! :lol:!

MBWA HAWA NISHAWAJUA MAJINAAAA HAWAWEZI KUNISUMBUA HATA SIKU MOJA. Naita tu SISSY BOY, C.U.N.T BOY, BUSHOKE BOY , WANAFYATA MIKIA TU! Wameishia kujiblokia Supply ya chiu baaas kwa miskendo yao! Limewashuka SHUUUUUUUUUUUUUU na sumu zao zooote bado nakimbiza kwa milikes, quote na metion:lol:. WAJIPANGE UPYAAAAAAA!
 
Wapandishe,washushe watupe kule!!!!
 
Duh.....:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:

Mshiki pumzika bhana. Thread ikishajifia hata akipost Yesu mwenyewe huwa inasizi tu. Kauka basi.
 
Duh.....:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:

Mshiki pumzika bhana. Thread ikishajifia hata akipost Yesu mwenyewe huwa inasizi tu. Kauka basi.

Asilimia kubwa ya forum-life ya thread huwa ni siku mbili tatu (ukiondoa labda zile zinazowekewa sticky) hivi.

Baada ya hapo huwa zinaanza kujifia zenyewe polepole.

Haya majigambo ya kwamba mtu mmoja ndo anaipa uhai thread ni maruerue tu.
 
Hivi Matola nikikuuliza NILICHOKUKOSEA MIMI LARA 1 ni kipi haswaa kwa mfano? Of all people humu ndani nimewakogesa matusi ya haja ila wewe nilikuacha. Because pamoja na kuingilia hii vita, I STILL RESPECT YOU A LOT! Tofauti ha hawa wengine. Asprin pia i told him i respect him a lot too.

Kama kuna kitu nilikukosea mimi kama mimi Mungu anaona. Otherise mi sina maneno bwanaaa!

Umeandika kwa huruma hapa hadi nimeji feel vibaya mi mwenyewe.... Duh
 
Last edited by a moderator:
Wa gwaan JF massive.

It's another day another dollar.

Naanza kuwa disappointed sasa maana nilitegemea walau nikienda kulala nikiamka nitakuta chai ishawekwa kuhusu huyo dada niliyemdanganya hadi nikalala naye.

Ewe dada hebu jitokeze basi uimwage hiyo chai humu ila tu uwe tayari kuyathibitisha hayo madai yako ya kubuni.

Nimefika uko tayari nimwage kila kitu hadharani.... nianzishe kabisa thread ama nikae tu kimya Lol

SCARED SOUL.
 
Times
Umeandika kwa huruma hapa hadi nimeji feel vibaya mi mwenyewe.... Duh

Times like these MIND YOUR FUC.KING BUSINESS. The lines are so blurred the minute I start having opinion about what you write you will not like it. Hip quote ilikuwa ya Matola you have no business whatsoever to have opinion. TREAD CAREFULLY.
 
lara1 mimi sijawahi kukubaliana na wewe hata siku moja lakini hio habari ya huyo dada ni kweli kabisaa. Alikuwepo humu, alikuwa mzuri, mrembo na anavutia sanaaa. Id yake siikumbuki vizuri alikuwa anaitwa african sikumbuki nini. Na alikuwa anatumia avatar ya picha yake halisia kama Elizabeth Dominic. Alikuwa mstaarabu hana tabia mbaya za kiburi na madharau kama wewe Lara, na kinchonifanya nionge hapa ni sababu hio tu, yule dada hakuwahi kuwa na tabu na mtu humu ndani, nikikaa kimya kikondoo nitamkosea itakuwa sijamtendea haki kwa ustarabu alio kuwa nao.
Nilichosikia ni kuwa bwana Ngabu alitoka Us kuja bongo likizo. Sababu watu wengi walivutiwa kwa kweli na yule binti sio ajabu Ngabu kuvutiwa. Nasikia na dada nae alimkubali Ngabu. Nisichokielewa mpaka leo hii ni ilikuwaje hayo mambo yakajadiliwa kwa mapana PM. Na majadiliano yalikuwa ya kumuonea huyo dada. Kusema kweli ilisikitisha. Huyo dada sijui aliachana na jf au amehama ID. Binafsi hio habari niliisikia lakini ni kitambo na tunaoijua ni watu wachache wa siku nyingiii. Sasa nachojiuliza Lara1 umejuaje? Yawezekana yule mrembo karudi tena JF? Kama ni yeye tafadhali mpe hii ID yangu ani PM. Na kama anasoma hapa ani PM.

I can smell something fishy...

Kumbe na wewe ulisikia what if ulisikia something which was wrong.. some fake stories... hakuna lolote hapa.
 
Last edited by a moderator:
Thread imenifunza mengi aisee.. @gourgeousmimi asante sana kwa hizi reminders mi kuja jambo i was about to do.. ila thread hii kwa namna moja ama nyingine inanifanya niendelee ku buy time..... Nitakwambia kwa kirefu baadae.

Keep it up
 
Nimefika uko tayari nimwage kila kitu hadharani.... nianzishe kabisa thread ama nikae tu kimya Lol

SCARED SOUL.

HoE, hamna kitu hapo.

Nimetoa open-ended invitation watu wafunguke na hakuna aliyefunguka kwa kutaja jina na kuweka vizibiti.

Hiyo ni tosha kukuhakikishia kuwa hakuna kitu. Ni hot air tu.

I know how to keep and maintain my privacy (which I value immensely).

No one, no one can find a single solitary damning thing about me.

No one.
 
I can smell something fishy...

Kumbe na wewe ulisikia what if ulisikia something which was wrong.. some fake stories... hakuna lolote hapa.

That's the problem with some of these suckers.

They are gullible beyond belief.

They will gobble down any bullshit hook, line, and sinker without even making an attempt to find out the veracity of what they've heard.

Just a bunch of dunderheads.
 
Thread hii ni tamu mnoo ..i wish nipate mdada anaejielewa na kujitambua kama wewe na sio wale wa kanyaga twende...ukiongea lolote utasikia "aya"
 
Capt Nemo hallucination ni dalili moja wapo ya schizophernia na haisababishwi na ubongo kukosa oxygen au na childabuse.Sababu kuu ya schizophernia ni muongezeko wa dopamin neurotransmitter kwenye ubongo na ndio maana watu wenye ugonjwa huu wanahitaji tiba na antipsychotics ambazo zina inhibit dopamin release kutoka kwenye dopamin receptor iliyopo kwenye ubongo.Na kitu kingine ni kwamba si lazima watu wenye schizophernia watembee uchi barabarani kuna baadhi wanakuwa kama na special powers mfano uwezo wa kumemorize 1000 pages na kukwambia exaclty ukurasa wa kila senstensi au mfano uwezo wa kuchora all of sudden na hali hio inatokea pale ambapo mgonjwa hajatibiwa.Akitibiwa tu uwezo huo unapotea.Wengi walio na special powers hizi hawapendi zipotee kwasababu zinawafanya watu wa pekee.
Kuna story moja pia alinipa mwalimu wangu daktari aliponipa lecture ya ugonjwa huu which was funny kuna mtu alikuwa akikaa kwenye apartment kwenye flat akawa analalamika walokuwa juu yake wana mmulika na mionzi(the person was being delusional) na akaripoti polisi wakaja polisi kwenda kucheki na kuchunguza wakajua walokuwa juu walikuwa na microwaves nyingi zikiwashwa kwa mpigo....:smile-big: so the guy wasnt that crazy after all!!!

Hii kitu inanikumbusha siku walipomuonjesha bangi dogo langu. It was a mess.
 
Back
Top Bottom