To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Umenikosea sana Lara, uwe na limitation, kuna watu humu tunaheshimiana sana mpaka nje ya JF na tunapiga biashara maisha yanakwenda, ningekuwa mimi ni Matola yule wa zamani kabla sijaamuwa kubadirika nakuapia leo ungejuta sana kwa nini ulifahamiana na mimi.

Nalala sichangii tena ila tafakari haya niliyokwambia kwa makini.

Mmmmmmmmmmmh! Kusema kweli nisamehe tu kwa kukwazika kwako na hii issue. I really do care what you think and about your opinions and all. Lakini ujue na mimi pia binadamuuu napitiwa. (I will never ever apologize to these Juhas, they deserve every word i told them) The only thing i am sorry about is you getting involved in all this. I wish there was something i could do to about it to make things right for you. I will figure out a way to earn your forgiveness and all lakini ukumbuke tuwema changu pamoja na yooote kuwa hapa sijakutukana hata mara mojaaaaaa! Maana hawa watu wana roho za paka nimewaita kuku, dogi, uchafu, takataka, kila balaaa BUT I NEVER CALLED YOU THAT! BECAUSE YOU ARE NOT AND THEY ARE! (Sorry!)

I really feel bad you see things that way! Ndo mambo ya binadamu tenaaaa! I will figure a way out to earn your forgiveness!. :thinking:. For now ujue tu haikuwa lengo langu kukukeraaaaaa!
 
Ahadi ni deni gorgeousmimi shusha tu hizi nyuzi zilijojaa busara na hekima tele. Kuna uzi nimeusoma hivi karibuni wa mwenzetu anayeomba ushauri kuhusu mkewe. Mkewe anamdharau kiasi cha kumrushia matusi mazito mazito wakiwa wenyewe na hata hadharani na pia kuwafundisha watoto wao wamtusi baba yao. Kuna mtu aliandika katika uzi ule kwamba kuna wanawake walio ndani ya ndoa wana bahati sana. Kwa wanaume wengi huyu ndoa yake ingeshaota manyasi siku nyingi tu. Kuna siku walimwita mama wa mke aje kuwasaidia, mke kaanza kuporomosha matusi wakati wa kikao chao hadi mama yake kaanza kulia duh!

Hata mnapohitilafiana mke na mume, BF na GF au hata marafiki tu wa kawaida ni vyema kujitahidi sana kuchagua nini cha kusema wakati wa huo ugomvi badala ya kubwatuka bila mpango labda na kushusha matusi ya nguoni na kutia dosari kubwa sana katika mahusiano yenu kama mke na mume au BF na GF na marafiki pia.

Afadhari mkuu sasa turudi kujenga familia maana kuna nguchiro anahitaji attention yangu ambayo kamwe hawezi kuipata.

Ignore ni adhabu bora zaidi hapa JF. tuendelee na mada yetu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
KARUCHEEEEEEEE MY ENGLISH TEACHER!!!!!!!!!!!

Kwanza kabisaa hii issu umeikuta kati kati. Hujui ilikoanzia. SO I GIVE YOU THE BENEFIT OF THE DOUBT! Pamoja nakuanzia kati, watu wengi nilio nao kwenye ligi WE HAVE HISTORY, sio mara ya kwanza kupeana kubwa, wengine ni kawaid yetu, wengine walikuwa dormant volcano tumeaza upyaa, wengine wangese tu hawana ga hoja afu wanapenda kubishan na mama zao. Kwa hio KUTOA MTAZAMO KWA KUANGALIA UZI HUU TUU UTAKUWA BIASED MAANA WATU TULIKUWA TUNA GRUDGES ZETU KITAMBOOO HUU UZI SABABU TU. Ni kama muendelezooo tu, na sio mwisho itatokea tena vta itapigwa tenaaa.

People oppose my opinion all the time na mimi hilo sina tabu nalo kabisaaaa ndo maana napnda kuwabonyeza watu, natoa CONTRADICTING OPINIONS sanaaa. Manake ningetaka support badala ya oppostion could just kiss their a.sses, flatter them and get done with it. THE ISSUE IS PEOPLE HAVE PROBLEMS WITH MY OPINIONS. Wanataka niseme wanachotaka wao. OVER MY DEAD BODY! Hapa ndo tatizo lilipo.

IF I SEE THINGS NEGATIVE THAT IS ME? WHAT DOES IT CONCERN THEM? SI WASHANIJUA NI NEGATIVE PERSON? WAACHE KUNISOMAAAA! All i do is write some few lines, mtu akiona haziendani na perspective yake ASISOMEE. Tunarudi pale pale YOU EXPECT ME TO WRITE WHAT PLEASES YOU! :lol: IMPOSSIBLE!!!!!!! Ndo maana with all the nagativity i still get likes quite a lot from people who see things from my perspective nyie wengine SUCK IT UP! Au kama vipi andikeni POSTIVE ku neutralise. Sio kunipangia cha kuandik.:lol:

Concerned about my happiness?????????? WHY? Because i write few lines here? Hahahaaaaaaaa! HOW MANY PEOPLE IN YOUR REAL LIFE UMEKUWA CONCERNED NA HAPPINESS YAO? Si unafiki huu jamani. Na humu JF how many people have you spent your time concerned with makes them Happy? Nani umewahi kumfanyia kitu humu ndani, wanaotoa nyuzi za uhitaji to make them happy? SI NDO UNAFIKI MAMA HUU! Now busy concerned with what makes Lara 1 Happy! HAHAHAAAAAAAAAAAA! Mi naomba tuishie hapo tusiende HOW MUCH HAPPY YOU ARE! (Because people in here talk a lot of SHIT in pm. People you trust so damn much) Mmmmmh! Bora kingasti anawalipia watu ada kidogo aoneshe concern haitokuwa ajabu. CONCERNED WITH M HAPPINESS BECAUSE I WRITE WHAT MAKES YOU UNHAPPY? SUCK IT UP! Not everybody will write what makes you happy.FIND YOUR OWN HAPPINESS FIRST THEN BE CONCERNED ABOUT MINE! Perharps Alcohol rehab!!!!!!!! I am just guessing maybe!

YOU SEEING ME UNHAPPY DOESNT NECESSARILY MAKE ME UN HAPPY! I am as happy as i could be! SORRY THE SHIT I WRITE GETS BETTER OF YOU!

masikini kadada haka..u really believe the sun shines thru your unmitigated little asshole, dont yo?
 
Ahadi ni deni gorgeousmimi shusha tu hizi nyuzi zilijojaa busara na hekima tele. Kuna uzi nimeusoma hivi karibuni wa mwenzetu anayeomba ushauri kuhusu mkewe. Mkewe anamdharau kiasi cha kumrushia matusi mazito mazito wakiwa wenyewe na hata hadharani na pia kuwafundisha watoto wao wamtusi baba yao. Kuna mtu aliandika katika uzi ule kwamba kuna wanawake walio ndani ya ndoa wana bahati sana. Kwa wanaume wengi huyu ndoa yake ingeshaota manyasi siku nyingi tu. Kuna siku walimwita mama wa mke aje kuwasaidia, mke kaanza kuporomosha matusi wakati wa kikao chao hadi mama yake kaanza kulia duh!
Mwanaadamu ni kiumbe dhaifu sana na hakuna aliyekamilika kila siku tunajifunza kitu kipya.
Ucheki na ule uzi mwengine nilouandika!
Hata mnapohitilafiana mke na mume, BF na GF au hata marafiki tu wa kawaida ni vyema kujitahidi sana kuchagua nini cha kusema wakati wa huo ugomvi badala ya kubwatuka bila mpango labda na kushusha matusi ya nguoni na kutia dosari kubwa sana katika mahusiano yenu kama mke na mume au BF na GF na marafiki pia.
Niliuona huo uzi BAK...kuna umuhimu mkubwa wa kukumbushiana vitu ambavyo ni muhimu na vinatawala maisha yetu ya kila siku.Vitu ambavyo vinatupa misingi bora katika mahusiano yetu na watu tofauti kama wenza,marafiki hata na ndugu,
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmmmmmmmmmmh! Kusema kweli nisamehe tu kwa kukwazika kwako na hii issue. I really do care what about your opinions and all. Lakini ujue na mimi pia binadamuuu napitiwa. (I will never ever apologize to these Juhas, they deserve every word i told them) The only thing i am sorry about is you getting involved in all this. I wish there was something i could do to about it. I will figure out a way to earn your forgiveness and all lakini ukumbuke kuwa hapa sijakutukana hata mara mojaaaaaa! Maana hawawatu wana roho za paka nimewaita kuku, dogi, uchafu, takataka, kila balaaa BUT I NEVER CALLED YOU THAT! BECAUSE YOU ARE NOT BUT THEY ARE! (Sorry!)

I really feel bad you see things that way! Ndo mambo ya binadamu tenaaaa! I will figure a way out to earn your forgiveness!. :thinking:

Stop crying little girl, Matola kakushauri vizuri sana hapo juu,
na ni kwanini uombe msamaha kama hujamtukana yeye!!
Kiakili hujafika mwisho mdada..
U should apologize to all, uliowatukana otherwise itakulazimu kubadili ID yako..
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kingereza kinanisumbuwa ila kama neno admire na confidence bado halijabadilishwa maana basi wewe ni Kenge kabisa na Omondi kabisa.
Mnajisikia raha gani mwenzenu anapoharibikiwa!?

Tunatofautiana mitazamo. Na huwa sibishanii mitazamo....ni upotezaji wa muda na nguvu.

Cant you, for once, do you and let someone do them? Huoni hata muktadha mkuu? Unahangaika kumrekebisha mtu usiyemfahamu na unayedhani 'anaharibikiwa' online kweli?

JF inatakiwa iwe stress-free. Tafadhali, chukulia wepesi vitu kama hivi mkuu, halafu pita hivii....
 
i learn something here,
lara 1 soon utabadilisha ID yako.

As ulikubali watu wakujue na inaonekana wamekujua
makali yako yatashuka sana..
Nimejifunza hapa, kuwa makini sana. No one is perfect!!

Haya ni mawazo mufilisi, mimi binafsi nafikiria kuwa verified user.

watu wanafanya biashara hapa JF unategemea watafanya biashara na majini? kujuwana siyo issue bali unajuwana na nani na kwa malengo gani?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikwambie kitu Mkuu. Kuna siku nilikuwa nakusoma hapa uliandika hivi kwamba kuna watu ambao majadiliano ya kistaarabu hapa jamvini hawayawezi au wanaposhindwa hoja basi huanza kurusha matusi. Hivi karibuni nimeanza kufuata nyayo zako na hivyo ignore list yangu inakuwa kwa kasi kubwa sana. Thanks a lot for that reminder in one of your posts.

Afadhari mkuu sasa turudi kujenga familia maana kuna nguchiro anahitaji attention yangu ambayo kamwe hawezi kuipata.

Ignore ni adhabu bora zaidi hapa JF. tuendelee na mada yetu.
 
a person legally declared to be of unsound mind and who therefore is not held capable or responsible before the law :heh::heh::heh::heh::heh::heh:

Halafu seems like una dalili hizi hapa maana kila kukicha una badili id
Dissociative identity disorder (previously known as multiple personality disorder) is thought to be an effect of severe trauma during early childhood, usually extreme, repetitive physical, sexual, or emotional abuse.

How do you know so much about a person from online posts? It intrigues me...

Is that how psych doctors of this generation operate?
 
i learn something here,
lara 1 soon utabadilisha ID yako.

As ulikubali watu wakujue na inaonekana wamekujua
makali yako yatashuka sana..
Nimejifunza hapa, kuwa makini sana. No one is perfect!!

HAHAAAAAAAAAAAAA! Yani wewe kweli mgeni. Mimi nilikuwa naadaa PARTY humu, kibaooo! Enzi hizo. Wamenijua kitambo sanaaaaaa tangia 2012. Uliona kali langu likishukaaa? Thubutuuuuuuu! WHY? Sababu tofauti yangu mimi na wewe siyumbishwi na opinion za watu juu yangu. Maybe opinion ya Matola ndo inanijambisha sahivi, maana mpaka huo msamaha utokeee sio leo. Kazi pale nimejipatiaaa. Umenona mdogo wangu. Katika maisha USITINGISHWE NA MTU ASIE KUPA HATA KUMI! Mfano yeye anaenipondaa mbona kajifichaaa! Na opinion yake inanipunguzia nini kwa mfano?

Kitakacho mshusha mtu makali ni MATENDO TUU! Ingekuwa nimelalwa lalwa humu ndani kwa mkopo nisingedumu siku 3 humuuu! Mambo ya online mtu anaweza kukutingishaaaaa afu ukakuta anaekutingisha sasa balaa. USIWE MUOGA WA MAISHA. Au hukwenda shule, au kazini watu wanakutingisha LIVE hufi itakuwa humuuu? Ukiwa na kasoro huwezikusurvive shule lazima confidence yako itashuka mpaka 0. Ila ukimaliza salamaa, popular people wanakujua, wanakusemesha jua uta survive kokote duniani! Hahahahaaa!

THE ONLY REASON I AM SURVIVING IS BECAUSE I AM CLEAN! Sina scandal.
 
Tunatofautiana mitazamo. Na huwa sibishanii mitazamo....ni upotezaji wa muda na nguvu.

Cant you, for once, do you and let someone do them? Huoni hata muktadha mkuu? Unahangaika kumrekebisha mtu usiyemfahamu na unayedhani 'anaharibikiwa' online kweli?

JF inatakiwa iwe stress-free. Tafadhali, chukulia wepesi vitu kama hivi mkuu, halafu pita hivii....

kuharibikiwa kwa lara 1 sio suala la mtazamo..she is really in trouble..kufanya kitu chochote cha kumfanya aamini yupo sawa ni dhambi kubwa..kubwa sana more than you can imagine...either you do something to help her..or dont do ANYTHING!!!
 
all you do is shout na kujisifu kwa matusi...let me tell one thing..kila anayeinterchange maneno na wewe anakutukana..tofauti wenzio we are so advanced tunakutukana bila kutamka tusi...wewe ndo unabaki unadhalilika..but you are so retarded you dont notice it

Duuh!! Aiseee...
 
How do you know so much about a person from online posts? It intrigues me...

Is that how psych doctors of this generation operate?

Hahahaaaaaaaaaaa! BLUE TOOTH NA WI FI DOCTORS! CHEZEAAAAAAA! aFU NAOMBA UWAULIZE MATATIZO YANGU MIE kinacho waumaaaa na kuwawasha wao ni nini? Mi baba mizima ovyoooo!
 
How do you know so much about a person from online posts? It intrigues me...

Is that how psych doctors of this generation operate?
Na ww acha umbumbumbu wako..watu wanafanya behavior profiling kutoka kwenye picha ya kuchora sembuse maandishi kwenye mtandao..
 
HAHAAAAAAAAAAAAA! Yani wewe kweli mgeni. Mimi nilikuwa naadaa PARTY humu, kibaooo! Enzi hizo. Wamenijua kitambo sanaaaaaa tangia 2012. Uliona kali langu likishukaaa? Thubutuuuuuuu! WHY? Sababu tofauti yangu mimi na wewe siyumbishwi na opinion za watu juu yangu. Maybe opinion ya Matola ndo inanijambisha sahivi, maana mpaka huo msamaha utokeee sio leo. Kazi pale nimejipatiaaa. Umenona mdogo wangu. Katika maisha USITINGISHWE NA MTU ASIE KUPA HATA KUMI! Mfano yeye anaenipondaa mbona kajifichaaa! Na opinion yake inanipunguzia nini kwa mfano?

Kitakacho mshusha mtu makali ni MATENDO TUU! Ingekuwa nimelalwa lalwa humu ndani kwa mkopo nisingedumu siku 3 humuuu! Mambo ya online mtu anaweza kukutingishaaaaa afu ukakuta anaekutingisha sasa balaa. USIWE MUOGA WA MAISHA. Au hukwenda shule, au kazini watu wanakutingisha LIVE hufi itakuwa humuuu? Ukiwa na kasoro huwezikusurvive shule lazima confidence yako itashuka mpaka 0. Ila ukimaliza salamaa, popular people wanakujua, wanakusemesha jua uta survive kokote duniani! Hahahahaaa!

THE ONLY REASON I AM SURVIVING IS BECAUSE I AM CLEAN! Sina scandal.

Usianze kujipitisha kwa matola..you have made your bed..you gotta lie in it baby...we all know what grip some people here in JF have on you

and popular people..popular people..think u gonna go far living that life ya kujiona wa maana coz popular people wanakusemesha?

na kwako kulalwa lalwa sio tatizo ila kulalwa kwa mkopo? pole sana
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA! SUDENLY TUMEGEUKA WINGIIII! Hayaaaa ngoja tuonee. Cover for what? Expose me for what? Kuniaibishaa kwa kipi? (Hivi wewe nadhani ningekuwa na hata kakitu kadogo ka kuaibishwa with all this raccas wangenisitiri? Thubutuuuuuuuu! I am clean as shit! TRY AGAIN! I have no skeletons in my closset.Mngeniwekea uzi kabisaa wa kuniadhiri.

Jitahidi kuheshimu malengo ya wengine. Lengo lako la kuwa hapa JF SIO LENGO LANGU NA HALITOKAA LIWE LENGO LANGU! Ningekuwa siifaidi ningeshajitoa siku nyingi mnooo. Ukiona nipo i am getting what I LARA 1 want.

SORRY UNLIKE YOU I AM NOT HERE TO TEACH NOR EXPECT ANYBODY TO LEARN ANYTHING FROM ME! Oooooopppps.

Tatizo lenu mnachotaka nyie ndo hicho hicho mnachotaka kiwe, IMPOSSIBLE.
Unaandika mambo meengii..ujiaji ukizidi sana inakuwa stupidity..ila sasa hivi atlest watu watkuwawashajuahumu ndani tupona wagonjwa..
 
Mmmmmmmmmmmh! Kusema kweli nisamehe tu kwa kukwazika kwako na hii issue. I really do care what you think and about your opinions and all. Lakini ujue na mimi pia binadamuuu napitiwa. (I will never ever apologize to these Juhas, they deserve every word i told them) The only thing i am sorry about is you getting involved in all this. I wish there was something i could do to about it to make things right for you. I will figure out a way to earn your forgiveness and all lakini ukumbuke tuwema changu pamoja na yooote kuwa hapa sijakutukana hata mara mojaaaaaa! Maana hawa watu wana roho za paka nimewaita kuku, dogi, uchafu, takataka, kila balaaa BUT I NEVER CALLED YOU THAT! BECAUSE YOU ARE NOT AND THEY ARE! (Sorry!)

I really feel bad you see things that way! Ndo mambo ya binadamu tenaaaa! I will figure a way out to earn your forgiveness!. :thinking:. For now ujue tu haikuwa lengo langu kukukeraaaaaa!

where is the self-proclaimed Iron Lady now? eti ni mambo ya kibinadamu..been to a shrink? I sense some unusual changes in you..you even begged for forgiveness, Amazon?
 
Nilishakwambia mapema kalale sasa unaacha kutafakari maisha unamtafakari Lara 1 wa mjini utaumwa wewe! Halafu eti unatishia ingekuwa zamani!!! Then unajiita Gentleman!!! Ni hivi, hauna mbingu wala jehanam hauwezi kumfanya chochote lara 1 anasema anavyojisikia na anachowaza na siyo lazima uchangie kitoto ukiona mziki wa wakubwa hauwezi soma thread na upite mbali Usilete utoto na majungu jukwaani

Sorry Pal! Huyu mu EXEMPT! At one point of time he was really nice to me! And he is my FRIEND in reality! Wala hata sio mtu mbaya, ni mtu poa sanaaaa. Basi tu mambo ya binadamu kupishana kauli. He is really mad at me sababu kuna vitu flani flani nimemkosea, alikuwa ana expect me being his friend ningefikia expectation and i fell short of expectations. So ndo najaribu kumaliza nae kiutu uzima, kwa kutafuta namna ya kumfanya anisamehe na tumalize tofauti zetu. Haya yote aliokwambia ni sababu nilimkeraa tu, lakini ni mtu poa kinomaaa!

BUUT THE REST OT THEM DESERVE ALL THE BULL SHIT AND ATTITUDE! Wakafie mbele!!!!!:lol:
 
Back
Top Bottom