To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

Wa gwaan JF massive.

It's another day another dollar.

Naanza kuwa disappointed sasa maana nilitegemea walau nikienda kulala nikiamka nitakuta chai ishawekwa kuhusu huyo dada niliyemdanganya hadi nikalala naye.

Ewe dada hebu jitokeze basi uimwage hiyo chai humu ila tu uwe tayari kuyathibitisha hayo madai yako ya kubuni.
 
Jamani mtanange mzuri, shida tu ni mipoamua kutumia kizungu.

Arooo....nawe ulitajwa kimadokezo na Ms. Piggy kwamba huenda unamjua huyo "SCARED SOUL" niliyemdanganya hadi nikalala naye huyu.

Basi naomba, kama unamjua huyo "SCARED SOUL" na kama unajua kuwa nililala naye umsaidie kuimwaga chai humu kwa faida ya wana MMU.
 
Fake ID siyo cover ya kukufanya usitambulike kama mtu proffesional anataka kukujuwa, msidanganyike kwamba eti JF uko safe hata pm zako watu wakiamuwa wanazisoma pia.

Kaa ukilijuwa hili vizuri, ukiwa smart huna cha kuhofia kwenye mitandao ndio maana humuhumu watu wanapiga biashara kama kawaida na maisha yanakwenda.

Mimi nishatoa changamoto humu kuwa achilia mbali huo uzushi wa sijui mimi kumdanganya huyo dada hewa hadi nikalala naye humu, basi hata anijuaye aweke taarifa zangu humu i.e. jina halisi na vielelezo juu, umri wangu halisi (hapa ndo kabisa hakuna anayejua), kazi/ shughuli niifanyayo, na kadhalika lakini mpaka sasa hakuna aliyejitokeza.

Unajua kwa nini? Ni kwa sababi najua sana kuhifadhi faragha yangu na hivyo najiamini kwa asilimia 99.9 kuwa hakuna atakayejitokeza na vielelezo na kusema mimi ni nani hasa.

Matokeo yake unaishia kusikia tu 'Ngabu ana miaka 60 na kitu' wakati hata miaka 40 sijafikisha mara 'Ngabu kalala na fulani' wakati huyo fulani hata simjui na yeye hanijui zaidi ya ku interact humu tu.
 
NAchojua una miaka 68, hayo mengine sijawahi kusikia kwa kweli. Ila miaka ninayo birth certificate yako.

Ukibisha tu, nai-scan na kuiweka hapa.

Arooo....nawe ulitajwa kimadokezo na Ms. Piggy kwamba huenda unamjua huyo "SCARED SOUL" niliyemdanganya hadi nikalala naye huyu.

Basi naomba, kama unamjua huyo "SCARED SOUL" na kama unajua kuwa nililala naye umsaidie kuimwaga chai humu kwa faida ya wana MMU.
 
Mimi nishatoa changamoto humu kuwa achilia mbali huo uzushi wa sijui mimi kumdanganya huyo dada hewa hadi nikalala naye humu, basi hata anijuaye aweke taarifa zangu humu i.e. jina halisi na vielelezo juu, umri wangu halisi (hapa ndo kabisa hakuna anayejua), kazi/ shughuli niifanyayo, na kadhalika lakini mpaka sasa hakuna aliyejitokeza.

Unajua kwa nini? Ni kwa sababi najua sana kuhifadhi faragha yangu na hivyo najiamini kwa asilimia 99.9 kuwa hakuna atakayejitokeza na vielelezo na kusema mimi ni nani hasa.

Matokeo yake unaishia kusikia tu 'Ngabu ana miaka 60 na kitu' wakati hata miaka 40 sijafikisha mara 'Ngabu kalala na fulani' wakati huyo fulani hata simjui na yeye hanijui zaidi ya ku interact humu tu.

Haha..Kiongozi hapo nimecheka kweli. Umezushiwa kuwa uko 60yrs kumbe we bado hata 40yrs. Yani wanazusha kuwa ushakuwa babu...dah!
 
Habari za saa hizi wapendwa wangu,

Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.

Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.Lakini wanaume mjiamini please dont let any woman put you down.If you are insecure na hujiamini hakuna mwanamke atakayekutaka.

Speaking from a woman´s perspective we women need men who provides security to us,who will guide us and protect us.We need men who will be there for us and stand out there for us.And when i say guidance,sio maguvu wala madharau na kejeli,"Mind your words they can make and break anything"

You might not have it now but if you stand to achieve your goals you will reach them.Its not about the money or other materialistic stuff its about you and how you place yourself out there.Hakuna mwanamke anayetaka mwanaume kigeugeu asojielewa.Kuwa na msimamo,jua nini unataka na pigania kukipata.Dont expect to grow roses while you are busy planting lillies.

Wanawake tuwe wavumilivu na wenye subira.Kama jamaa hajafikia standard guide him through it na najua wanaume zetu hawarekebishiki mpaka watake but usikate tamaa, ua lako kama unataka listawi lipalilie.Its your man walk with him through it. Only the strongest will survive.

At last if you are a good guy learn to appreciate,respect and cherish good people who are there for you.
Not all days are Rainy neither Sunny days.

Wasalaam, gorgeousmimi

Nimependa bandiko lako Stranger wangu....pata busu!
 
Hivi Matola nikikuuliza NILICHOKUKOSEA MIMI LARA 1 ni kipi haswaa kwa mfano? Of all people humu ndani nimewakogesa matusi ya haja ila wewe nilikuacha. Because pamoja na kuingilia hii vita, I STILL RESPECT YOU A LOT! Tofauti ha hawa wengine. Asprin pia i told him i respect him a lot too.

Kama kuna kitu nilikukosea mimi kama mimi Mungu anaona. Otherise mi sina maneno bwanaaa!

Gaademm... Nimeona umenimenshen nikaja fasta nikijua umeniitia kidemu.... Lahaulaaaa nakutana na michambozz ya haja....

Nazeeka vibaya kama Mugabe hakyamama....

Ngoja nifuatilie nione kinachojiri....
 
NAchojua una miaka 68, hayo mengine sijawahi kusikia kwa kweli. Ila miaka ninayo birth certificate yako.

Ukibisha tu, nai-scan na kuiweka hapa.

Hahahaaa I know for a fact you are just messing with me.
 
Haha..Kiongozi hapo nimecheka kweli. Umezushiwa kuwa uko 60yrs kumbe we bado hata 40yrs. Yani wanazusha kuwa ushakuwa babu...dah!

Kiongozi...umekuwa ukiishi chini ya mwamba gani?

Mwenzio naambiwa eti nina 60+ ambao ni umri wa maza.

Ila naambiwa eti sababu ya watu kuzusha hivyo ni utirio nidondokao humu.

Sasa najiuliza, mbona michango yangu ni ya kawaida sana.....

But I guess kuna watu ambao wanakuwa impressed sana kiasi cha kuwaza kwamba haiwezekani knowledge yangu pamoja na busara nilizonazo kuwa za kijana ambaye hata 40 hajafikisha.
 
🙂 Mimi nimemtusi mtu?Point me exactly where?Kasome post ya Michelle no 61....Na mtu anaemuamini mungu mwenye nia ya kutangaza jina la mungu hatumii matusi wala mwanya huo ili kujitafutia umaarufu au kupotosha watu kasome Post ya 101.Tambua unachokiongea kabla hujaandika.

usijashaue hapa sasa hivi baada ya hari ya hewa kuharibika, kisa cha kusema sema Wewe na michelle lara1 ni nini si amequote hiyo hiyo biblia uyoiamini na wewe, lara 1 ameanza kutukana watu baada ya nyie watakatifu wawili kumsemasema kwa hiyo ulitaka watu wakupongeze tu, wasije na mawzo tofauti,
 
Yes am coward, na nimepotoka.
Wao wana sababu zao za kutambulika, nami nina sababu zangu za kujificha.
Inakuhusu?

Huyu haumwezi nadhini ni mwenyekiti wa mahayawani na wanazi wasiopenda kueleweshwa wakaelewa
 
Kiongozi...umekuwa ukiishi chini ya mwamba gani?

Mwenzio naambiwa eti nina 60+ ambao ni umri wa maza.

Ila naambiwa eti sababu ya watu kuzusha hivyo ni utirio nidondokao humu.

Sasa najiuliza, mbona michango yangu ni ya kawaida sana.....

But I guess kuna watu ambao wanakuwa impressed sana kiasi cha kuwaza kwamba haiwezekani knowledge yangu pamoja na busara nilizonazo kuwa za kijana ambaye hata 40 hajafikisha.

Komredi acha kudanganya watu. Hatukumaliza wote Tambaza mwaka 1972??

Ukibisha naweka cheti chako cha ubatizo hapa.

CC: Mke wa ujana wangu Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi...umekuwa ukiishi chini ya mwamba gani?

Mwenzio naambiwa eti nina 60+ ambao ni umri wa maza.

Ila naambiwa eti sababu ya watu kuzusha hivyo ni utirio nidondokao humu.

Sasa najiuliza, mbona michango yangu ni ya kawaida sana.....

But I guess kuna watu ambao wanakuwa impressed sana kiasi cha kuwaza kwamba haiwezekani knowledge yangu pamoja na busara nilizonazo kuwa za kijana ambaye hata 40 hajafikisha.

Nilichojifunza kutoka kwako na ni lazima nikifanyie kazi nyumbani kwangu ni lazima niwe na Libraly iliyokamirika kwa sifa za home Libraly pamoja na full internet access kwa watoto wangu pia licha ya kuwasomesha English medium school ni lazima pia wapite pale British council kupata kozi ya kingereza halisi.

Kipaumbele kingine atleast waende shule ya kujifunza lugha nyingine mbili ambazo zipo sokoni, basi hata wakiwa na Diploma level ya elimu watakuwa ni zaidi ya Phd holders.

Taifa tumepotea step pale tulipodhani vyeti ni vya kuombea kazi kumbe tulipotoka wengine vyeti vya degree zao wanaweka kwenye frem wanatundika ukutani sebuleni.

Ndio sababu mtoto mdogo anaweza kuzaliwa mapepo machafu yakamuingia watu wazima na akili zao watamuita genious na wataona ni asset kumbe ni wakupelekwa sehemu wanayoweza kumsaidia kumtoa hayo mapepo machafu.
 
Ahsante stranger!

Nilikuwa occupied na masuala ya siasa kuhakikisha mheshimiwa Rais ajaye anakuwa Rais nikashindwa kuona bandiko hili....naomba nianze kwa mtindo wa maswali kidogo! Naomba kujua tafsiri ya upendo kwa upande wako!...i.e ukisema nampenda fulani ni nini unalenga hasa?
 
usijashaue hapa sasa hivi baada ya hari ya hewa kuharibika, kisa cha kusema sema Wewe na michelle lara1 ni nini si amequote hiyo hiyo biblia uyoiamini na wewe, lara 1 ameanza kutukana watu baada ya nyie watakatifu wawili kumsemasema kwa hiyo ulitaka watu wakupongeze tu, wasije na mawzo tofauti,

Sijishaui nakwambia ukweli ambao nilishasema tangia mwanzo Michelle amenukuu maudhui ya bibilia yanayoendana na uzi!!Kama wewe unaamini kitu cha mwanaume kikubwa ni pesa hongera zako kwa hilo sishangai kwa maana ndo mtindo wa wanawake wa kisasa na point of correction mm siamini bibilia siijui hata ilivyo!Sidhani kama tuna lakujadili zaidi mimi na wewe!
 
Last edited by a moderator:
lara1 mimi sijawahi kukubaliana na wewe hata siku moja lakini hio habari ya huyo dada ni kweli kabisaa. Alikuwepo humu, alikuwa mzuri, mrembo na anavutia sanaaa. Id yake siikumbuki vizuri alikuwa anaitwa african sikumbuki nini. Na alikuwa anatumia avatar ya picha yake halisia kama Elizabeth Dominic. Alikuwa mstaarabu hana tabia mbaya za kiburi na madharau kama wewe Lara, na kinchonifanya nionge hapa ni sababu hio tu, yule dada hakuwahi kuwa na tabu na mtu humu ndani, nikikaa kimya kikondoo nitamkosea itakuwa sijamtendea haki kwa ustarabu alio kuwa nao.
Nilichosikia ni kuwa bwana Ngabu alitoka Us kuja bongo likizo. Sababu watu wengi walivutiwa kwa kweli na yule binti sio ajabu Ngabu kuvutiwa. Nasikia na dada nae alimkubali Ngabu. Nisichokielewa mpaka leo hii ni ilikuwaje hayo mambo yakajadiliwa kwa mapana PM. Na majadiliano yalikuwa ya kumuonea huyo dada. Kusema kweli ilisikitisha. Huyo dada sijui aliachana na jf au amehama ID. Binafsi hio habari niliisikia lakini ni kitambo na tunaoijua ni watu wachache wa siku nyingiii. Sasa nachojiuliza Lara1 umejuaje? Yawezekana yule mrembo karudi tena JF? Kama ni yeye tafadhali mpe hii ID yangu ani PM. Na kama anasoma hapa ani PM.
 
Last edited by a moderator:
Sijishaui nakwambia ukweli ambao nilishasema tangia mwanzo Michelle amenukuu maudhui ya bibilia yanayoendana na uzi!!Kama wewe unaamini kitu cha mwanaume kikubwa ni pesa hongera zako kwa hilo sishangai kwa maana ndo mtindo wa wanawake wa kisasa na point of correction mm siamini bibilia siijui hata ilivyo!Sidhani kama tuna lakujadili zaidi mimi na wewe!
Easy girl.... easy.
 
Back
Top Bottom