mwanamuziki
Senior Member
- May 15, 2014
- 122
- 36
Mwandishi ni mwanamke ambae kichwani yuko 'smart'....
Ungekua huna boyfriend ningeanzia kwako lol
Ungekua huna boyfriend ningeanzia kwako lol
Teh teh teh....
1) I have never tricked anyone to sleep with me.
2) My longstanding stated policy of not meeting in the flesh with people from here is still in effect.
3) Therefore, based on that longstanding policy of mine, that story is false and I challenge anyone to prove me wrong.
4) Whoever that gal is, I guarantee you she doesn't know me, doesn't know my REAL name, has never seen me in the flesh, and I challenge anyone to prove me wrong.
5) I give carte blanche to you and whoever told you about that fairy-tale to publish my real ID in this forum without any retribution whatsoever from me. Hey, if I slept with her then she should really know who I am, right? Okay then, if that's the case I give her permission to out me. Tell the JF massive who I really am, what I do for a living and everything else that you all think might mortify me.
6) I have been around the block for a minute and I know how gullible some people are. Some can't tell the difference between a jockey-joke and when you are being serious. I suspect that is what we have here but I stand to be proven wrong.
Haya kazi kwenu. Out me.
He is just a C.U.N.T ushaona wapi mwanaume ana mdomo mrefu kama chuchunge? HE HAS NO CLUE WHY HE IS ARGUING! Anawaburudisha watu lakini si mbaya. Bora mwenzie migrant kidogoo ana idea anabisha nini! Ukireason na huyo mwenzangu unajisumbuaaa, he has HISTORY ya maugomvi na Ban. Muepushe tu shetani ndugu yangu. HEAINT WORTH YOUR EFFORTS! Tupa kuleee!![]()
Hivi unamuelewa anachokueleza Nyani Ngabu ?
Hakuna vita wala kutafuta mshindi ila kama ni mashindano huwezi kufanya na mimi kamwe, huyo nguchiro asikupe fake confidance ukadhani unaweza kusimama na mimi hapa mtu ambaye tunafahamiana kwa kuonana physical, hapa ndio nakuonesha kipimo cha busara na utu uzima ukoje na kuhifadhi privacy za mtu.
Mimi ni gentleman ambaye hata nikiwa na video ya mwanamke ya uchi na ikatokea tumegombana siwezi kuvujisha privacy za mtu, tafadhari jiheshimu wewe bado mdogo sana.
Lara pls unahitaji msaada binti wa just 25 years old huwezi kujiaminisha unajuwa zaidi ya watu waliokuzidi umri na uzoefu wa maisha.
Kweli wewe ni mgonjwa wa akili umethibitisha.
Dogo kama uko EA nadhani huko ni usiku hebu kakojoe sasa ulale maana hakuna cheo kingine unachoweza kuwapa watu zaidi ya ugonjwa wa akili. Heshimu sehemu anayopumzikia mama yako.
Nah...there ain't no SCARED SOUL that's got a bona fide testimony. There ain't none and you can take that to the bank.
But like I said, the floor is yours to spill the beans and possibly bury me into oblivion once and for all.
So please be my guest(s).
Hahahaaaaaaaaaa! Like i said A SCARED SOUL SAID! I didnt say there are facts to prove! THIS IS A PUBLIC FORUM! If something went down, at any point of time SOME BODY MUST HAVE HEARD SOMETHING! It is just a matter of time. Penye wengi hapajifichi jambooo!.
LETS WAIT AND SEE THEN! :lol:
He is just a mamaboy ambaye hajui baba yake mzazi wa asili ni nani..... Kwa kifupi sungusungu hawategui mabomu kazi zao ni kulinda vijijini mjini kuna patrol za magari na bunduki namwona anajichosha.
Usiondoke kwenye hii thread soon utajithibitisha wewe mwenyewe ni mpumbavu kiasi gani.
Usiondoke kwenye hii thread soon utajithibisha wewe mwenyewe ni mpumbavu kiasi gani.
Ili niwe king'ang'anizi kama wewe!? Nina mengi ya kufanya badala ya kuendelea kubishana na litle thinker kama wewe you can stay for ever but i have work to do moron.
Dogo kama uko EA nadhani huko ni usiku hebu kakojoe sasa ulale maana hakuna cheo kingine unachoweza kuwapa watu zaidi ya ugonjwa wa akili. Heshimu sehemu anayopumzikia mama yako.
Kuna mpuuzi anayefanana na wewe alimtusi Davido kwa kumtukana mama yake, alichojibu Davido ni kwamba she rest in heaven.
Sasa kwa sababu hapa wagonjwa wa akili ni lazima wajurikane just attack me not my family kwa sababu hunijui wala sikujuhi.
Simjui Mama yako lakini siwezi kumtusi kwa sababu ya mgonjwa wa akili.
Usiondoke kwenye hii thread soon utajithibisha wewe mwenyewe ni mpumbavu kiasi gani.
Hivi Matola nikikuuliza NILICHOKUKOSEA MIMI LARA 1 ni kipi haswaa kwa mfano? Of all people humu ndani nimewakogesa matusi ya haja ila wewe nilikuacha. Because pamoja na kuingilia hii vita, I STILL RESPECT YOU A LOT! Tofauti ha hawa wengine. Asprin pia i told him i respect him a lot too.
Kama kuna kitu nilikukosea mimi kama mimi Mungu anaona. Otherise mi sina maneno bwanaaa!
Ili niwe king'ang'anizi kama wewe!? Nina mengi ya kufanya badala ya kuendelea kubishana na litle thinker kama wewe you can stay for ever but i have work to do moron.
My dear I HAVE DONE ENOUGH TIME YA KUTUKANANA HUMU NDANI FOR ALL OF YOU WHO SHARE MY VISION. Nisingependa mtu mwingine zaidi ahangaike na hawa majuhaaaa! Watapata umaarufu kunuka bure. MY FRIEND GO IN PEACE!
Waache watukaneeeeeee weeeeeeeeee, wachambe weeeee, wanipondeeeeee weeeeeee, mwisho wa siku nitaamka na nywele zote kichwani! Hata unywele mmoja hautoanguka sbabu ya mineno ambayo hata kwenye khanga yapo! Waache waongee mdomo jumba la maneno!:lol:
HAVE A GOOD DAY HUKO ULIKO!
Hivi Matola nikikuuliza NILICHOKUKOSEA MIMI LARA 1 ni kipi haswaa kwa mfano? Of all people humu ndani nimewakogesa matusi ya haja ila wewe nilikuacha. Because pamoja na kuingilia hii vita, I STILL RESPECT YOU A LOT! Tofauti ha hawa wengine. Asprin pia i told him i respect him a lot too.
Kama kuna kitu nilikukosea mimi kama mimi Mungu anaona. Otherise mi sina maneno bwanaaa!
Umenikosea sana Lara, uwe na limitation, kuna watu humu tunaheshimiana sana mpaka nje ya JF na tunapiga biashara maisha yanakwenda, ningekuwa mimi ni Matola yule wa zamani kabla sijaamuwa kubadirika nakuapia leo ungejuta sana kwa nini ulifahamiana na mimi.
Nalala sichangii tena ila tafakari haya niliyokwambia kwa makini.
Kuna mpuuzi anayefanana na wewe alimtusi Davido kwa kumtukana mama yake, alichojibu Davido ni kwamba she rest in heaven.
Sasa kwa sababu hapa wagonjwa wa akili ni lazima wajurikane just attack me not my family kwa sababu hunijui wala sikujuhi.
Simjui Mama yako lakini siwezi kumtusi kwa sababu ya mgonjwa wa akili.
Usipende kuwasha moto usiyeweza kuota kuwa mwangalifu sana dogo hili ni jukwaa huru tuchangie kwa uhuru na siyo maneno ya kejeli na usipende kujiona bingwa wa kejeli na kama wewe unamfahamu Lara 1 kulikuwa na sababu gani ya kujionyesha kuwa una uwezo na kujivika ma ujiko eti wewe ni gentleman!? Usishambulie watu halafu ujifiche kwenye family hata panya wana family acha matisho ya kijinga na usinifundishe woga ukiona watu tumenyamaza humu kwenye majukwaa usidhani hatuoni madhaifu ya watu wewe tumetulia tunaangalia watu kama wewe.
Hivi Matola nikikuuliza NILICHOKUKOSEA MIMI LARA 1 ni kipi haswaa kwa mfano? Of all people humu ndani nimewakogesa matusi ya haja ila wewe nilikuacha. Because pamoja na kuingilia hii vita, I STILL RESPECT YOU A LOT! Tofauti ha hawa wengine. Asprin pia i told him i respect him a lot too.
Kama kuna kitu nilikukosea mimi kama mimi Mungu anaona. Otherise mi sina maneno bwanaaa!
Ok, well, no problem.
Let me also extend that carte blanche (complete permission that is) to the "SCARED SOUL" also.
And if 'she' is that scared you can reach out to her via PM and 'she' can reach out to you in the same manner and give you the 411 to share it with the JF massive.
It would be nice if she would also spill the tea on the specifics - like where I slept with her, how good or bad was I, the size of my schlong, my odor, how old I really am (coz word on the street is that I'm in my 60s), my real name, when I slept with her/ time/day/ month/ year etc,.
But for now let me go pump some iron and when I get back I hope to find some juicy news about me.
And let me reiterate that there will not be any retribution whatsoever from. None.
My dear I HAVE DONE ENOUGH TIME YA KUTUKANANA HUMU NDANI FOR ALL OF YOU WHO SHARE MY VISION. Nisingependa mtu mwingine zaidi ahangaike na hawa majuhaaaa! Watapata umaarufu kunuka bure. MY FRIEND GO IN PEACE!
Waache watukaneeeeeee weeeeeeeeee, wachambe weeeee, wanipondeeeeee weeeeeee, mwisho wa siku nitaamka na nywele zote kichwani! Hata unywele mmoja hautoanguka sbabu ya mineno ambayo hata kwenye khanga yapo! Waache waongee mdomo jumba la maneno!:lol:
HAVE A GOOD DAY HUKO ULIKO!
Thnx. Iron lady na wewe pia uwe na usiku mwema maana ni kazi ngumu kugombana na mtu anayetokwa na povu la jazba nahisi atakuwa ameloweka tablet yake kwenye maji kwa hasira.
kumbe there is a good part of you also..... I like what I've seen lol!!!!
Umenikosea sana Lara, uwe na limitation, kuna watu humu tunaheshimiana sana mpaka nje ya JF na tunapiga biashara maisha yanakwenda, ningekuwa mimi ni Matola yule wa zamani kabla sijaamuwa kubadirika nakuapia leo ungejuta sana kwa nini ulifahamiana na mimi.
Nalala sichangii tena ila tafakari haya niliyokwambia kwa makini.
Nilishakwambia mapema kalale sasa unaacha kutafakari maisha unamtafakari Lara 1 wa mjini utaumwa wewe! Halafu eti unatishia ingekuwa zamani!!! Then unajiita Gentleman!!! Ni hivi, hauna mbingu wala jehanam hauwezi kumfanya chochote lara 1 anasema anavyojisikia na anachowaza na siyo lazima uchangie kitoto ukiona mziki wa wakubwa hauwezi soma thread na upite mbali Usilete utoto na majungu jukwaani