To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

My dear, watu wa humu usiruhusu wakujue hata jina lako halisi, nini sura yako.
Mkipeana makavu huko pm kama hamjuani yanaishia hukohuko, ila mkitongozana mtaani mkiwa mnajuana humu basi matokeo yake ndio haya.

Huu ni upotofu, labda nikuulize kwa uchache tu, William Malecela, Ben Saanane, Yericko Nyerere hawa ni verified user kuna tatizo gani wanapata?
Coward.
 
Kumbe tulikua tunaelekea kuvuana vyupi? nmejifunza kitu, pata pic umevuana kyupi na member humu, alafu ukaingia kwenye mtanange kama huu...uwi.Am learning alot

Fake ID siyo cover ya kukufanya usitambulike kama mtu proffesional anataka kukujuwa, msidanganyike kwamba eti JF uko safe hata pm zako watu wakiamuwa wanazisoma pia.

Kaa ukilijuwa hili vizuri, ukiwa smart huna cha kuhofia kwenye mitandao ndio maana humuhumu watu wanapiga biashara kama kawaida na maisha yanakwenda.
 
Kumbe tulikua tunaelekea kuvuana vyupi? nmejifunza kitu, pata pic umevuana kyupi na member humu, alafu ukaingia kwenye mtanange kama huu...uwi.Am learning alot

My dear, watu wa humu usiruhusu wakujue hata jina lako halisi, nini sura yako.
Mkipeana makavu huko pm kama hamjuani yanaishia hukohuko, ila mkitongozana mtaani mkiwa mnajuana humu basi matokeo yake ndio haya.

Msikilizeni Matola, ameeleza vizuri....

Na sidhani kama kuvuana vyupi kumesababisha haya....
 
Last edited by a moderator:
ningeendelea kusema ila basi inatosha sana..nafikiri nifanyakazi nzuri na kubwa..na mind u mm sio mtu wa ovyo kama unavyofikiria..hizi assumption achana nazo jf kuna watu humu acha kabisa

Kwanini mnamchukulia yeye mnavyotaka sasa? And you keep throeing it to her face? Sielewi kabisa...

The same people ambao hamtaki kuwa judged online mnafanya hivyo....why?

Do to others only what you would want them to do to you. This shit works....
 
Huu ni upotofu, labda nikuulize kwa uchache tu, William Malecela, Ben Saanane, Yericko Nyerere hawa ni verified user kuna tatizo gani wanapata?
Coward.
Yes am coward, na nimepotoka.
Wao wana sababu zao za kutambulika, nami nina sababu zangu za kujificha.
Inakuhusu?
 
Msikilizeni Matola, ameeleza vizuri....

Na sidhani kama kuvuana vyupi kumesababisha haya....

Sijamaanisha kuvuana vyupi kumesababisha haya, namaanisha what if it happens ushawahi kuwa na intimacy na mtu au watu then ukaja kuwa na collission kama hii, some information about u zinaweza kutumika kama silaha kwako.Its a lesson u cant avoid to learn.
 
Kweli asee....kwahiyo tukwepe intimacies au tukwepe collisions?
 
Kweli asee....kwahiyo tukwepe intimacies au tukwepe collisions?

Kazi si kidogo. Kuwa na intimacy na mtu humu kunaweza kupunguza confidence ya mtu kiaina, lakini hakumfanyi mtu kuwa totally inferior kwa maoni yangu, unless huyo mtu ana inferiority zake tu tangu mwanzo.
Lakini pia kuanikana kuwa mlivuana vyupi ni "upungufu wa kinga akilini" hamna lingine.
 
Yes am coward, na nimepotoka.
Wao wana sababu zao za kutambulika, nami nina sababu zangu za kujificha.
Inakuhusu?

Walewale, umekuja kichwakichwa sasa unapewa somo unakuwa mkali, hivi hawa wanaovujishiana video za privacy zao hayo mambo umeshawahi kuyaona hapa JF?

Huko Instagram kwenu ambako mnatumia picha na majina yenu ndio kwenye mambo ya ajabu ajabu.

Hivi kabisa umejiaminisha una upeo wa kufanya intellectual argument na mimi!? no am too big for you.
 
Sijamaanisha kuvuana vyupi kumesababisha haya, namaanisha what if it happens ushawahi kuwa na intimacy na mtu au watu then ukaja kuwa na collission kama hii, some information about u zinaweza kutumika kama silaha kwako.Its a lesson u cant avoid to learn.

Ni hivi young lady hata uko mtaani mkiwa na waume zenu au maboyfriend zenu huwa mnapigana picha za uchi na mavideo ya ngono, cha msingi kwenye kudate inategemea unadate na nani, mbona kuna watu wanapeana tigo kimahaba huko mitaani na inageuka matangazo!?
 
Attachments

  • 1428907444389.jpg
    1428907444389.jpg
    43.5 KB · Views: 109
Kazi si kidogo. Kuwa na intimacy na mtu humu kunaweza kupunguza confidence ya mtu kiaina, lakini hakumfanyi mtu kuwa totally inferior kwa maoni yangu, unless huyo mtu ana inferiority zake tu tangu mwanzo.
Lakini pia kuanikana kuwa mlivuana vyupi ni "upungufu wa kinga akilini" hamna lingine.

Mkuu niko na wewe na ndio maana nimejenga hoja mbona kama ni swala kukoseana adabu naliona huko kwenye mitandao yao pendwa ya Instagram?

Mimi kule Facebook haipiti week utaona mara uchi wa Wema mara uchi wa Masogange mara leo Anti Ezekiel yuko uchi bafuni lakini JF hakuna kitu kama hicho.

Bado narudia tena pamoja na udhaifu wa Le Mutuz lakini ni kweli hamjifunzi kitu kwake? akishika bango anashika bango kweli na anajurikana huyu ni fulani na issue ya binti wa Mtemvu alishika bango waziwazi.
 
Jamani mtanange mzuri, shida tu ni mipoamua kutumia kizungu.
 
Captain, you have used your own minified version of my post to arrive to the conclusion that I am instructing you to do anything.

If you read between the lines and think for a little bit, you will grasp that I was showing you how I roll....

what about when I said "either you help or you do nothing" and you said I was instructing you? Didnt you know that "you" can be and was for JF Members as a whole and not you as ISO?...THOUGHT WE OUGHT TO HAVE THE SAME MINIFIED RULES!!!
 
naona ulitaka watu wasupport tu mawazo yako, waliokuja na fact zingine za huyo huyo Mungu UNAEMWAMINI UKAWATUSI
🙂 Mimi nimemtusi mtu?Point me exactly where?Kasome post ya Michelle no 61....Na mtu anaemuamini mungu mwenye nia ya kutangaza jina la mungu hatumii matusi wala mwanya huo ili kujitafutia umaarufu au kupotosha watu kasome Post ya 101.Tambua unachokiongea kabla hujaandika.
 
Last edited by a moderator:
Tusikimbie majukumu wanaume wa kweli hebu tupambane kuleta mababdiliko makubwa kwa kuwa uchumi na mipango inayoeleweka na kutekelezeka wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume mwenye upendo wa kweli, mshiko wa haja (cash) na pia mwenye vision ya kuendeleza mali na familia.
mwanaume kuwa mtumwana wa mwanamke nayo ni kazi, tujitambue
 
Naam, busara pamoja na mapenzi yaonekanayo tena ya wazazi wote wawili ni muhimu sana.

Kwa upande wangu wa kiume naweza kusema vitu vidogo vidogo kama kutoa vi-hugs na ku rub mgongo huku vikiambatana na maneno ya kutia moyo vina umuhimu sana katika kujenga akili, imani, na hisia chanya kwa watoto.

It is said that the way you speak to your child becomes his or her inner voice!! it is good to create a good bond with your kids hata unapomuadhibu mtoto mjulishe kosa lake explain why umempa punishment hiyo and after the punishment call him or her mpe ka hug or a present, or simple words kama "you are a good boy ila nimekuchapa kwasababu umeharibu saa yangu na nilikukutaza hukusikia"!! that way a child learns zaidi na ataoacha that bad habit.

Alaf jamani when you child confesses to something msiwachape, yaani dont hit a kid or punish them for telling the truth. Mfano umekuja umekuta kachora ukuta ukamwita ukamuuliza akasema its me am sorry, hapo usimchape ila mkanye maana ukimchapa kesho atadanganya ili asichapwe that way we created lairs tangu wadogo.
 
Back
Top Bottom