Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,756
Wananzengo mmeamkaje leo?
Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.
Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) inaleta mashaka kidogo. Je hizi mvua zinazonyesha ni za msimu gani haswa?