TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Wananzengo mmeamkaje leo?

Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.

Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.

Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) inaleta mashaka kidogo. Je hizi mvua zinazonyesha ni za msimu gani haswa?
 
Msanii! Wewe sasa unawalaumu nini hao kwani Jukumu lao ni kuzuia au kuleta mvua! Wao jukumu Lao ni kubashiri tuu wala si vinginevyo! Au unataka wafanye nini ndugu yangu msanii! Upumbafu wako wa kujenga mabondeni utakutokea puani na bado mvua zitakuja nyingi hadi uhame!
 
Yaani sihami hata mroge vipi

Mvua hazina mapumziko.kha
 
Back
Top Bottom