TISS wanapataje watu wao?

TISS wanapataje watu wao?

Walikufundisha kwa muda gani hadi ukaanza kazi? Sasa inakuwaje unatake note kuhusu nini labda? na wateja wako wakikuona una take note unawaambiaje? Si lazima wataona ajabu
Achana kabisa na sisi tunafundishwa techniques tu kipindi hakichukui mda mrefu kwani ukiulizwa ukasema nipo na. note wadeni wangu ni ajabu?
 
haya sasa wahuni wangu tuendelee sio lazima uyaamini haya by the way so usiniulize swali sintojibu, maana people listen to what they want to hear

hatua ya pili ni development sasa hapa afisa hata haja enda "shambani"
hatua hii inaweza kuchukua muda mfupi kutegemea na mambo kadhaa au yaweza kuchukua muda mrefu pia hadi hapo taasisi inakua haijafikiria kama imwajiri au laah huyo afisa Bali hufanya ufuatiliaji wa maendeleo pia " Vetting"

Hii ni process ndefu na ina gharama sana maana ina involve kujua nje ndani tabia ya afisa unajua hata kuchana kwako nywele, way unavolala, mwendo wake hujulisha tabia zako

Sasa kutokana na gharama kubwa unaweza ona umuhimu wa ku spot watu wakiwa tu mashuleni, kuepusha gharama kufuatilia mtu mzima ni kazi sana Itamaanisha kufuatilia watu wengi zaidi, yaani network yake nzima ya huyo mtu si ufala huu [emoji28] kazi ngumu mnooooo

matokeo ya jumla ya vetting ndo yataamua ajira ya afisa mtarajiwa nmesema matokeo ya jumla sababu hata akiajiriwa afisa huendelea kufanyiwa ufuatiliaji na mwajiri wake kwa muda wa utumishi wake pengine hadi pale atakapaoaga dunia hata ukitaka kuoa vetting hufanyika deep one

katika nchi zlzoendelea mfumo wa vetting huendana na teknohama tofauti na nchi zetu hzi za afrika ambazo mfumo wa kudhibiti taarifa za watu ni duni au haupo kabisa

lakin vetting inayotumia watu na tech huwa ni bora sana na nzuri mnoo, mtu anaweza gundua uongo wa mtu pale anapomhoji etc etc , assume wewe ni jasusi unatakiwa umrecruit jasusi kwenye nchi ya mwenzako hehe hehe hapa ni hatari [emoji51][emoji16]
tuachane napo

Sasa wa nafanyaje mpaka wakikufuata uskatae maana ni ngumu sana kukataa kazi hyo ( wapenda ujiko[emoji23]) au kwa nini watu wanavutiwa na fani ya watu ya ushushushu

moja kuna sheria YA CEMI NA RASCLS

CEMI ina maansha : coercion na compromise, ego na excitement, money, na Ideology
eehh mi nmechoka kutype niishie hapa

nikitekwa mtanitafta, kwanza nani atamlea Swalehe nikitekwa ndo naendelea [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mama Swalehe yupo vizuri usitie hofu nipo mimi mdogo wa wadogo wote humu
 
Wakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.

Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?

Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.

Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Ccm uwe na Genes za CCM hasa mzee au mama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okay Kwnye CEMi naanza na money mnajua kabisa hela jamani hela ni shetani
serikali zote duniani hutenga fungubla kutosha kwa ajili ya shughuli za usalama wa taifa ni ngumu hata Kukuta CAG anatoka taarifa za idara kwa hiyo afisa mtarajiwa akiambiwa anatakiwa na idara ni inakuwa ni kama amelamba bingo anafurahi sababu ya kahela, hii ya money ndo sababu ya ma double agent wengi sana [emoji16]

tukija swala la Ideology au itikadi , utumishi katika idara ya Usalama ni suala la uzalendo MA afisa ni nguzo muhimu ya ustawi wa taifa na itikadi , itikadi huvuti a watu pia kujiunga na idara mfano zama za vita baridi watu walisaliti nchi zao sababu za itikadi au hata leo watu wanasalti nKorean na kwenda South sababu wanaikubali itikadi ya ubepari na sio ukomonio wa bwana mapank

itikadi inaweza sababisha mtu akaacha na kwenda kwenye vyama vya kigaidi ef ISIS

tuje Ego na excitement watu bhana duniani wanapenda sana ujiko ndo maana wanataka kujiunga na hii ajira mtu amesoma vtabu vya willy gamba a najiona bonge la spy ninaposema ujiko haimaanshi lazma iwe mbele ya watu hata ile fikra ya ujiko wa nafsi , ujiko wa nafsi mzuri maana unamsukuma kufanya kila jitihada kutojiangusha tatizo ujiko ni pale unatumika vibaya , mfano watu wanajitangaza ni maafisa usalama ili kutapeli watu na kujipa sifa zsizostahili
kikanuni afisa usalama sio tu hapaswi kujitangaza pia hawezi sababu kufanya hvyo kuttathiri utendaji wake wa kazi kunaweza mpelekea kifo,, hufundishwa sheria ya " Trust will get you killed

nmeelza kwa ufupi mambo ambayo ya naweza mforce mtu akubali either awe afisa wa nchi husika au kuisaliti nchi yake na kuwa double agent

Hii Ya Rascals naielezea hapa chini ngoja nmpikie Swalehe menyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana kabisa na sisi tunafundishwa techniques tu kipindi hakichukui mda mrefu kwani ukiulizwa ukasema nipo na. note wadeni wangu ni ajabu?

Hua una take note kuhusu ishu gani? Sasa utasema unarekodi wateja kwani watakuwa hawaoni unacho andika?
 
Bila reference ni vigumu mno, kama una baba, mama, shangazi na mjomba kafanya au bado anafanya idara hii inakuwa kazi nyepesi kupata nafasi.

Miaka ile ya Mwalimu walikuwa wanawasaka mashuleni, hasa kuanzia A level, vijana ambao walikuwa bright na smart, walianza kuwa recruited at a very young age. (18 -20).

Jaribu kuandika barua ya maombi, wapo chini ya Ofisi ya Rais, utawalal bora. Jaribu bahati yako kama vigezo unavyo, ila uwe mvumilivu kazi hii ni ngumu mno.
 
RASCLS Ni kifupi cha maneno Reciprocation (kurejesha fadhila)

Authority (mamlaka), scarcity ( uhaba) commitment na consistency , liking na social proof

ntaelezea kwa uchache na haraka

Mfano authority, mtu anapofwata na kuambiwa anatakiwa ni ngumu kukataa sababu mamlaka sio tu tunaziogopa Bali pia tunaziheshimu, hivyo taasisi inapomvaa mtu humjengea taswira ya kwamba wao wana mamlaka makubwa hali hii hufanya mlengwa easy tu kukubali

pili scarcity ( uhaba) sababu kazi ya taasisi ya Usalama kuwa za nadra siku zote kitu chenye uhaba huwa na thamani sana kitu adimu huvutia watu wengi sababu hakipatikani kwa urahisi watu wengi sana mnatamni kwenda idarani [emoji28][emoji23] na wengine kujifanya maskini mwee [emoji28]
Na wengine kutapeliwa

kwenye likings hapo kwenye maisha tu nawapenda wanaotusaidia na kututhamini , katika kumshawishi taasisi inaweza ikajenga mazingira ya kumshawishi mhusika kwa kujenga mazingira ya kufa hamu mapendekezo ya mtarajiwa huyo na kisha taasisi kuyapenda mapendekezo sasa ukiona dah natahaminiwa basi "tiari"

mwisho kuhusu social proof " uthibitisho wa kijamii" afisa mtarajiwa huambiwa juu juu lakini baadhi ya mazuri yanayofanywa na mashushushu katika kuokoa jamii na kusaidia jamii, kuzuia matukio ya kigaidi kuilinda jamii yake
Hii hufanya afisa mtarajiwa kuona kazi hio ni tukufu na ina mchango mkubwa kwa usalama wa taifa hvo kukubali

wanataaluma wa ushushu husema RASCLS ni njia bora kuliko CEMI

SASA wakuu hii kazi ya hawa jamaa ni ngumu imegubikwa na shida, fear. giza nene

unaletewa taarifa kuna ugaidi unataka ufanyike hujui jinsia yuko wapi na ni nani

Sio rahisi kama unavoona kwenye muvi , maisha ya usiri sana

hutakiwi umwambie hata afisa mwenzako mambo yako yaani kufa kivyako kuna kitu kinaitwa " constant vigilance of an officer"

kukanwa na nchi yako au kujitoa uhai pale inapotakiwa ni mambo ya kawaida

Ningeeleza Jus ad bellom na Jus in Bello ila niishie hapa maana yote nlyo andika huko juu ni uongo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua una take note kuhusu ishu gani? Sasa utasema unarekodi wateja kwani watakuwa hawaoni unacho andika?
Natumia code's mkuu kama na andika ala za music za Roman zile dolemi n.k
 
Natumia code's mkuu kama na andika ala za music za Roman zile dolemi n.k

Hizo codes sasa ndio zitawafanya wanaoangalia unacho andika washituke zaidi. Maana watakuwa wanashangaa unacho andika. Watataka wakuhoji na wakudadisi unacho kiandika
 
Duuuh sasa nani anakutolea mahasira yako mkuu ukitoka kwenye yale mawaya utadhani DJ omy anasikiliza nyimbo ya Mond baba lao😜😜😜😜
mawaya yapi

anyway nacheza ps4na mwanangu , movie , kusoma vitabu , mpira napika nalala
 
RASCLS Ni kifupi cha maneno Reciprocation (kurejesha fadhila)

Authority (mamlaka), scarcity ( uhaba) commitment na consistency , liking na social proof

ntaelezea kwa uchache na haraka

Mfano authority, mtu anapofwata na kuambiwa anatakiwa ni ngumu kukataa sababu mamlaka sio tu tunaziogopa Bali pia tunaziheshimu, hivyo taasisi inapomvaa mtu humjengea taswira ya kwamba wao wana mamlaka makubwa hali hii hufanya mlengwa easy tu kukubali

pili scarcity ( uhaba) sababu kazi ya taasisi ya Usalama kuwa za nadra siku zote kitu chenye uhaba huwa na thamani sana kitu adimu huvutia watu wengi sababu hakipatikani kwa urahisi watu wengi sana mnatamni kwenda idarani [emoji28][emoji23] na wengine kujifanya maskini mwee [emoji28]
Na wengine kutapeliwa

kwenye likings hapo kwenye maisha tu nawapenda wanaotusaidia na kututhamini , katika kumshawishi taasisi inaweza ikajenga mazingira ya kumshawishi mhusika kwa kujenga mazingira ya kufa hamu mapendekezo ya mtarajiwa huyo na kisha taasisi kuyapenda mapendekezo sasa ukiona dah natahaminiwa basi "tiari"

mwisho kuhusu social proof " uthibitisho wa kijamii" afisa mtarajiwa huambiwa juu juu lakini baadhi ya mazuri yanayofanywa na mashushushu katika kuokoa jamii na kusaidia jamii, kuzuia matukio ya kigaidi kuilinda jamii yake
Hii hufanya afisa mtarajiwa kuona kazi hio ni tukufu na ina mchango mkubwa kwa usalama wa taifa hvo kukubali

wanataaluma wa ushushu husema RASCLS ni njia bora kuliko CEMI

SASA wakuu hii kazi ya hawa jamaa ni ngumu imegubikwa na shida, fear. giza nene

unaletewa taarifa kuna ugaidi unataka ufanyike hujui jinsia yuko wapi na ni nani

Sio rahisi kama unavoona kwenye muvi , maisha ya usiri sana

hutakiwi umwambie hata afisa mwenzako mambo yako yaani kufa kivyako kuna kitu kinaitwa " constant vigilance of an officer"

kukanwa na nchi yako au kujitoa uhai pale inapotakiwa ni mambo ya kawaida

Ningeeleza Jus ad bellom na Jus in Bello ila niishie hapa maana yote nlyo andika huko juu ni uongo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
🙏🙏🙏🙏
 
mawaya yapi

anyway nacheza ps4na mwanangu , movie , kusoma vitabu , mpira napika nalala
Sawa lazima ucheze game kipindi hiki cha likizo bila ridhaa, ila ngoja corona iishe hadi mtu unatamani kusingizia leo naumwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom