Marine7 ross
New Member
- Feb 20, 2023
- 2
- 1
mambo mengi mkuu kama unga wa ngano hasa bunju
Hatari sanamambo mengi mkuu kama unga wa ngano hasa bunju
Kwanza si kazi ya kukimbilia kabisa. Ni hatari yenye usiri na waweza kupotea kiajabu.Wakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.
Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?
Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.
Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Tatizo siku hizi wanapeana hii Kazi kishikaji sana.Kwanza si kazi ya kukimbilia kabisa. Ni hatari yenye usiri na waweza kupotea kiajabu.
Pili yatakiwa uwe mkya, siyo mkurupukaji, mropokaji, mwenye ka IQ kakubwa, fit, mwaminifu, mwenye bahati ya kutakwa nawo...