Sawa ntaeleza kwa kiasi sitaki mtu ani quote haya maelezo
Kuna officer na kuna informer officer huwa anakua recruited na Idara husika
Lakini huyu officer hupaswa kumrecruit informer " mtoa habari wake" au source yake ya kuaminika ambayo itakua inampa taarifa mbali mbali
Mbinu ambazo idara hutumia kumpata mwana " idara" ni hizo hizo ambazo officer anaweza zipata kumpata informer wake
ntazielekeza kama zifuatazo
Siku zote mashirika ya kijasusi yanatofautiana katika namna yanaajiri watu mfano mashirika kama M16 na GCHQ HUWEKA "matangazo" yao kwenye vyombo vya habari hata ukienda mtandaoni kutafuta ajira kuhusu CIA utakuta a na matangzo kadhaa yanaytangaza hzo kazi, wenzetu teknolojia inarahisha kupunguza muda wa kumpata Afisa
Kwa nchi zetu znazoendelea mfumo wa kumpata officer huendeshwa na usiri mkubwa sana, hapa naelezea katika ideal situation hali fungamanisho sio ile ya mtoto wa mjomba wa shangazi hapana
shushushu mtarajiwa anatakiwa awe na matumizi makubwa ya akili na kikubwa anapaswa kuwa na vitu vya ziada tofauti na wengine wa kawaida kazi hii ni ya matumizi makubwa ya akili hvo akili zake zinapaswa kua kubwa si kidogo , sehemu mwafaka za kusaka mashushu watarajiwa ni katika taasisi za elimu, sababu kuu ya kutumia mashule ni kwamba umri wa wanafunzi unakua ni mzuri wao kuonyesha tabia zao halisi pia taasisi ya elimu inasaidia kujua akili za mwanafunzi husika
sehemu nyingine mwafaka ni katika kambi za kujenga taifa , kambi za kijeshi znatoka fursa ya kutambua uwezo wa kimwili wa Afisa "mtarajiwa" (endurance) zamani shule ya tabora boys na girls ilkua ya kijeshi ilitoa Maa Afisa wengi zaidi kwa hii criteria
Lakini kwa vile pia ajira za kishushushu inazingatia mahitaji ya kimazingira nyakati nyingine huwa ni walengwa huwa ni watu waliopo makazini mfn, wahadhiri , maafisa wa vyombo vya dola lakini mara nyingi watu hawa huajiriwa kama watoa habari au sources kama ijulikanavyo ki intelejensia
Hii ya kuajiri mtu mzima huwa na changamoto sana maana sifa ya usiri huaribika ni rahisi kumtisha mtoto wa sekondari asiseme lolote lakini mtu mzima ni ngumu
Pia mtu mzima social networking yake huwa kubwa sana, mtu mzima anaweza akaanza hata kutangaza anatakiwa idarani
kimsingi hakuna muda maalumu wa kumfuatilia anayetakiwa kujiunga na taasisi ya kishushushu Panapo dharura zoezi la ufuatiliaji laweza kudumu kwa muda mfupi lakini pasipo na haraka
YAWEZA CHUKUA HATA MIAKA KADHAA
Naendelea hapo chini katika hatua ya kumshawishi na kumuandaa sasa
Sent using
Jamii Forums mobile app