Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unaoendelea katika Taifa letu

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Shalom in advance wakuu.

Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao.

Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana.

Licha ya serikali kuweka Sheria mbalimbali za kuwabanaa watumishi wa umma lakin bado tatizo na laana hii ya wizi wa mali za umma inalitafuna taifa.

Je, kipi chanzo Cha haya yote?
Swali la msingi la kujiuliza ni hili je ni kipi hasa chanzo Cha laana hii kwa taifa letu.

Chanzo Cha haya yote ni pale tu serikali na raia walipo idunisha taluma ya ualimu, Kuna msemo unasema;

"Falsafa ya mwalimu ni falsafa ya wanafunzi, falsafa ya wanafunzi ni falsafa ya taifa"

Jukumu la kujenga na kushape falsafa na uzalendo wa taifa lipo katika mikono ya walimu, lakini bahati mbaya ni kuwa walimu wapo undermined sana, mishahara midogo, mazingira magumu ya kufanyiwa kazi na mambo kama hayo.

Mazingira hayo yanawafanya walimu kushindwa kupitisha falsafa za uzalendo, upendo, uwazi na uwajibikaji kwa taifa, kiasi cha kupelekea kuzalisha graduates ambao Hawana hata nukta ya upendo kwa taifa Leo, baada ya hapo wanapo ingia kwenye ajira na ofisi mbalimbali za umma wanafanya kazi pasi na uzalendo badae madudu haya ya wizi wa mali za umma yanafanyika.

Nasisitiza, tena dhamana ya taifa hili lipo kwa walimu, ni wakati sasa serikali na taifa kwa ujumla kuitazama taluma hii kwa jicho la tatu
 
Shalom in advance wakuu.

Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubathirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao.

Kila tasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana.

Licha ya serikali kuweka Sheria mbalimbali za kuwabanaa watumishi wa umma lakin bado tatizo na laana hii ya wizi wa mali za umma inalitafuna taifa.

Je kipi chanzo Cha haya yote?
Swali la msingi la kujiuliza ni hili je ni kipi hasa chanzo Cha laana hii kwa taifa letu.

Chanzo Cha haya yote ni pale tu serikali na raia walipo idunisha taluma ya ualimu, Kuna msemo unasema;

" falsafa ya mwalimu ni falsafa ya wanafunzi, falsafa ya wanafunzi ni falsafa ya taifa"

jukumu la kujenga na kushape falsafa na uzalendo wa taifa lipo katika mikono ya walimu, lakini bahati mbaya ni kuwa walimu wapo undermined sana, mishahara midogo, mazingira magumu ya kufanyiwa kazi na mambo kama hayo.

mazingira hayo yanawafanya walimu kushindwa kupitisha falsafa za uzalendo, upendo, uwazi na uwajibikaji kwa taifa, kiasi cha kupelekea kuzalisha graduates ambao Hawana hata nukta ya upendo kwa taifa Leo, baada ya hapo wanapo ingia kwenye ajira na ofisi mbalimbali za umma wanafanya kazi pasi na uzalendo badae madudu haya ya wizi wa mali za umma yanafanyika.


Nasisitiza, tena dhamana ya taifa hili lipo kwa walimu, ni wakati sasa serikali na taifa kwa ujumla kuitazama taluma hii kwa jicho la tatu
NHIF,TPA, BRELA , PSSF, NSSF, TRAFFICK POLISI.
NHIF- Watumishi wamekopeshana bilioni 144 bila riba, hawalipi, wengine wamefariki, wengine wameteuliwa nyadhifda zingine.
NHIF- Serikali kuu ilichota hela kujenga Hospitali ya Mkapa dodoma, bilioni za kutosha, sasa hivi Ummy analeta usanii kwenye maisha ya watu.
 
Tutatue tatizo la njaa kwanza. Njaa ndio kigezo kikubwa cha kuyumbisha uzalendo
 
Back
Top Bottom