Tiririka mwanawane

Tiririka mwanawane

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.
 
Kwani imeisha? huku uswahilini kwetu bado inaendelea, mie ndo nimeachwa nalinda nyumba, sina hata jipya jamani.
 
Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.

mtoko wangu nilienda shamba nimeeudi na bamia na papai.nasasa
nimetulia hom tu.lakini nawaona watu shaz wanaelekea ufukweni.
mimi sina mzuka wakutembea kabisaaaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom