Tired visiting JF as a guest, hodiiiiiiiiiiiiiiiiii

Erick Isaiah

New Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Wadau JF kwa muda refu sasa nimekuwa naitembelea hii forum kama guest lakini sasa nimetimba jukwaani nami nichangie mawazo yangu kwa ujenzi wa nchi yetu.
Bila kusahau kutafuta na mke wa pili miongoni mwenu hapa JF kwa great thinkers, kwi kwi kwiiiii
 
Kwa mtindo huo nakupa bebii.
 
Heeeeee huyo mmoja hajakutosha tu?? Karibu bana jisikie uko home
 
Mamndenyi bebii ndio nani? ngoja nimtafute humu
JS asante, lakini kula maini kila siku inachosha pia
 
Hahahahahaha
Nimependa style ulioingia nayo..
Karibu sana
 
Dah gea yako ya kuingia inatisha.Karibu sana JF.
 
Wadau JF kwa muda refu sasa nimekuwa naitembelea hii forum kama guest lakini sasa nimetimba jukwaani nami nichangie mawazo yangu kwa ujenzi wa nchi yetu.
Bila kusahau kutafuta na mke wa pili miongoni mwenu hapa JF kwa great thinkers, kwi kwi kwiiiii
Karibu kwa janvi letu, mke wa pili utapata ila usishangae akikwambia na yeye anatafuta mme wa pili, si unajua tena mambo ya usawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom