Burkinabe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,893
- 3,200
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!