Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

sinaham

Member
Mar 31, 2024
70
81
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Football is business.

You need to work hard to show your quality.
Do you think bacca na dickson job wamefika pale kimamelodi.

Wamepambana.

Kila mtu ni shahidi wa utofauti wa kikosi cha yanga first 11 na kile kinachojaaga wabongo.

Kikosi chenye wabongo wengi amini kwamba siku hiyo lazima tuvurunde.

Football is business.

Watu wanaweka pesa mingi halafu waje waone ujinga ujinga.

WACHEZAJI WA KIBONGO PAMBANENI SANA.

AT LEAST MKIWEZA KUISOGEZA TAIFA STARS MAHALA MNAWEZA AMINIWA.
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Hivi nyie ambao mna andika uzi mida huu ma wengine mna comment, asubuhi hii na hii mvua, si boora mnge lala tuu.
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

So tukusaidieje?
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Duh mkuu mbona kikosi kina rotate vizuri tu!?
 
Football is business.

You need to work hard to show your quality.
Do you think bacca na dickson job wamefika pale kimamelodi.

Wamepambana.

Kila mtu ni shahidi wa utofauti wa kikosi cha yanga first 11 na kile kinachojaaga wabongo.

Kikosi chenye wabongo wengi amini kwamba siku hiyo lazima tuvurunde.

Football is business.

Watu wanaweka pesa mingi halafu waje waone ujinga ujinga.

WACHEZAJI WA KIBONGO PAMBANENI SANA.

AT LEAST MKIWEZA KUISOGEZA TAIFA STARS MAHALA MNAWEZA AMINIWA.
😂😂😂😂😂Kwa hiyo siku hizi ukibebwa tunaita kimamelody!?
 
Hivi nyie ambao mna andika uzi mida huu ma wengine mna comment, asubuhi hii na hii mvua, si boora mnge lala tuu.
Kiukweli mtoa,mada ana hoja!! Huwezi kuijenga timu nzuri ya taifa ikiwa vilabu vikubwa vinavyoshirik mashindano makubwa vina foreigners!!! Ilipaswa kuwe na Sheria wagen wawe at least 40 au 50 percent!! Huo ndio ukweli !! Sasa Yanga utafikiri ni combination ya wachezaji wa afrika
 
Wenzenu wanafanya mpira biashara siku hizi.wanawekeza pesa nyingi
Zamani mlizoea vipaji mliishia wapi?
Na pia shida sio kuwa mzawa,shida una viwango?
Mbona akina bacca wanawaka kimaraifa Na ni wazawa.
Mudathir sio mzawa?
Job?
Mwamnyeto?
Una viwango?
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Kwenye kikosi wazawa hujawaona au macho huna? mpuuzi kama wapuuzi wengine
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Tatizo lipo wapi? Je sheria za usajili zinasemaje wachezaji wa nje? Je wajua mprira ni biashara na ajira? Je unajua kilichofanya Yanga kufika hapo mchongo mkubwa umetoka wapi? Waulize Simba kwanini hawataki msikia Manula ? Mbona hapo hujiulizi au kwa nini simba asipokuwepo Chama mashabiki wanapiga kelele?Vipi Saido ni Mbongo? Kwa nini hujiulizi asipokuwepo Inonga wanapiga kelele? Je Bacca ni raia wa wapi? Jon ni wa nchi gani? Mudathir katokea wapi? Mwamnyeto asili yake wapi? Mzize kazaliwa wapi? Nickson Kibabe na Mkude je nao ni wageni? Kumbuka mpira ni mashindano hakuna anayetaka kupoteza game. Kwa hiyo ulitaka Yanga wasijipange wafungwe? Mbona wakati wa usajili hukuwa na shaka na usajili iwe wakati wa upangaji? Unataka kocha apange timu kutokana na mapenzi yako?
 
Kiukweli mtoa,mada ana hoja!! Huwezi kuijenga timu nzuri ya taifa ikiwa vilabu vikubwa vinavyoshirik mashindano makubwa vina foreigners!!! Ilipaswa kuwe na Sheria wagen wawe at least 40 au 50 percent!! Huo ndio ukweli !! Sasa Yanga utafikiri ni combination ya wachezaji wa afrika
Tatizo tusiangushie vilabu pekee ndiyo viwe na kazi ya kujenga wachezaji? Mmejiuliza TFF wana program gani ya kuandaa vijana tokea chini? Mmejiuliza wizara za michezo na elimu zinaprogram gani kuhusu michezo mashuleni? Wakati nasoma kulikuwa na vipindi vya michezo shule ya msingi na ilikuwa mnaenda na nguo za michezo na kulikuwa na walimu kabisa wa michezo. Vipaji viliibuliwa tokea chini . Vijana walijengwa tokea awali ndiyo maana hata hukuwahi sikia sana wachezaji wa nje wakisajiliwa wengi. Uisikia ni mmoja au wawili na walionekana kama hawakuwa na mpira wa kutisha sababu enzi hizo vijana wetu walikuwa wapo fit sana. Kimataifa timu hazijaenda kujenga wachezaji wameenda kushindana na ndiyo maana hata wenzetu wanaweka kikosi kamili. Kama kujenga timu kuna mechi za kirafiki TFF inaweza andaa timu ya taifa ikacheza.
 
Hicho ni kikosi Cha yanga na Simba hesabu wa wazawa ni wangapi na baada ya hapo muweke kibabage ,Kisha angalia Cha Mo fc
 
Attachments

  • Screenshot_20240404-120049.jpg
    Screenshot_20240404-120049.jpg
    71.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240404-120216.jpg
    Screenshot_20240404-120216.jpg
    531.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom