Timu ya warembo 'Miss Reds Tanzania' yamtembelea Lowassa

Nahisi wamefanya ziara kwa E L kwa kuwa inasemekana ni Mfalme wa Wamasai. Swali, je kila kanda wanakwenda kuomba baraka kwa mkuu wa eneo? Au wameenda kwa E L ili kuongeza umaarufu?
 
Sababu ya warembo kumtembelea Lowassa ni nini hasa?
Nyinyi ndio maana kila siku mnalia njaa hapa mjini, wewe unadhani Lundenga ni kichaa? uende kwa Samuel Sitta kufanya nini wakati huyu ndio mgombea Urais wa CCM na akishinda connection za ulaji zinakuwa zilishasukwa siku nyingi!!
 
Aisee wadau,nitafanyeje na mimi hawa mabinti wa Redds waletwe nyumbani kwangu niwape BARAKA?
 
Kweli urais mtamu sana. Edward Lowassa sasa anatumia kila mbinu kuzidi kujijenga. Wakati mwingine anafanya mambo yanamuonyesha kama mtu mwenye uchu wa madaraka hakuna mfano. Mfano nini mantiki ya kutembelewa na mamiss wakati yeye ni mbunge wa kawaida kama hakuna ajenda ya siri nyuma ya pazia? Kweli pesa za mafisadi zinaweza kununua kila kitu hata kama hakina maana!
 
Kweli urais mtamu sana. Edward Lowassa sasa anatumia kila mbinu kuzidi kujijenga. Wakati mwingine anafanya mambo yanamuonyesha kama mtu mwenye uchu wa madaraka hakuna mfano. Mfano nini mantiki ya kutembelewa na mamiss wakati yeye ni mbunge wa kawaida kama hakuna ajenda ya siri nyuma ya pazia? Kweli pesa za mafisadi zinaweza kununua kila kitu hata kama hakina maana! Pichani Lowassa na mkewe wakiwa na mamiss huko Monduli.
 
Mhhh,hizo nafas za kutembelewa na mamiss zinapatkana wap?Anayejua anisaidie,!
 
Labda waandaaji wanataka hela yake, wakaomba wamtembelee ili ikiwezekana awapatie udhamini kwa kupitia moja ya makampuni yake! uraisi ni mtamu ka kweli!
 
Kweli urais mtamu sana. Edward Lowassa sasa anatumia kila mbinu kuzidi kujijenga. Wakati mwingine anafanya mambo yanamuonyesha kama mtu mwenye uchu wa madaraka hakuna mfano. Mfano nini mantiki ya kutembelewa na mamiss wakati yeye ni mbunge wa kawaida kama hakuna ajenda ya siri nyuma ya pazia? Kweli pesa za mafisadi zinaweza kununua kila kitu hata kama hakina maana! Pichani Lowassa na mkewe wakiwa na mamiss huko Monduli.

Huyu 'Bwana Mamvi' ni balaa tupu! Hizi movement zake zinatisha! Ngoja waje mamluki wake hapa tuone povu litakavyo watoka!!
 
kutembelewa na mamiss mbona hamna tatizo hapo (hata zito kabwe aliwaalika wasanii jimboni kwake)! Lowasa Bado ni mmoja wa viongozi imara sana kwenye chama chao na huwezi kuandika historia(hata kama ni mbaya au nzuri) ya mawaziri wakuu Tz bila ya yeye kuwepo.
 
Mimi sioni tatizo kwenye hili, anayetaka atembelewe na warembo nyumbani kwake awasiliane tu wahusika. Tatizo lipo wapi kwani??
 
Back
Top Bottom