Timu ya warembo 'Miss Reds Tanzania' yamtembelea Lowassa

Timu ya warembo 'Miss Reds Tanzania' yamtembelea Lowassa

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Timu ya warembo ya Miss redd 2012 ; ambayo hipo ziara ya kanda ya kaskazini wamemtembelea mh lowassa ili kupamba baraka zake katika mashindano ya miss Redd 2012 ; ambayo atafanyika hivi karibuni
16.jpg

8.jpg
Huoni hajacheza mbali na mmewe... Usicheze na totoz za kibongo ukigeuka tu umeibiwa
 
Labda watakuwa wapo kwenye foleni ya mstari mmoja so wengine wapo kwa nyuma..

inawezekana. ingependeza kukawekwa picha zaidi. au kama kuna picha ya pamoja ndiyo ingefaa zaidi!
 
EL kama Mfalme Mswati amepelekewa achague kilicho kitamu. Ili kuonjea wateja.
 
Mama Regina chunga mzigo wako.Teh!teh!

Mzigo wa huyu mama huwa na madhaifu mengine, haya warembo Lowasa aliisha yashinda, yeye huwa na aleji na pesa na dili za pesa tu, warembo kwake ni kama mabinti zake tu, this is why Regina Lowasa hana wasi wasi na mkuu!
 
:biggrin1: aisee kuna mdada mmoja hapo machunusi usoni hivi amewezaje hata kufikia hapo alipo...ndo mana watanzania hatufiki mbali hivi kweli hao hapo juu ndio ma miss wetu wa bongo..aiseee....
 
Mzigo wa huyu mama huwa na madhaifu mengine, haya warembo Lowasa aliisha yashinda, yeye huwa na aleji na pesa na dili za pesa tu, warembo kwake ni kama mabinti zake tu, this is why Regina Lowasa hana wasi wasi na mkuu!

Hii umesema wewe, umesahau "Ubora wa nyavu ni matundu yake"???????????????
 
kweli nchi hii ni ya maajabu. Itabidi tusubiria mtume mwingine kutoka kwa Mungu maalumu kwa kuwaokoa Watanzania!
 
Magogoni wanaenda lini? Manake kuna mvuvi mmoja pale ni balaaaaa
 
Back
Top Bottom