Timu ya warembo 'Miss Reds Tanzania' yamtembelea Lowassa

Mimi sioni tatizo kwenye hili, anayetaka atembelewe na warembo nyumbani kwake awasiliane tu wahusika. Tatizo lipo wapi kwani??

Siipendi hii kitu inayoitwa miss sijui nini! Wanakusanya watoto wa watu na kuwafanya asusa!
 
gamba sitta limeshasema makundi ndani ya ccm mwisho novemba 2012, mamvi atajibeba.... teh teh teh teh teh magamba bwana!
 
Siipendi hii kitu inayoitwa miss sijui nini! Wanakusanya watoto wa watu na kuwafanya asusa!

Mkuu Kimbunga,
Haya mambo ya kuinga yanabomoa familia zetu wanawaanika mabinti zetu uchi wenyewe wanasema maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Cheap popularity,ameshawaoa wamonduli sasa antafuta wa kujaziajazia kabla kampeni hazijaanza.wajinga ndio waliwao.
 
alaaah! Basi naomba waje kwangu mmoja moja

Mheshimiwa Lowasa alisomea degree ya Usanii hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam [BA in Drama and Theater Arts] - kwa hiyo wale wanao shindania kuwa Miss Tanzania wana mengi ya kujifunza toka kwake. Sioni swala lolote la kuhusisha ziara hii ya hawa kina Dada na kinyang'anyiro cha kugombea uteuzi wa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Let us not interpret everything which is being done by Lowasa with such narrow lens.
 
Chezeya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambaye ni amiri jeshi mtarajiwa!
 
Mkuu Kimbunga,
Haya mambo ya kuinga yanabomoa familia zetu wanawaanika mabinti zetu uchi wenyewe wanasema maendeleo.
Mkuu naku support, mabinti wanaweka nguvu nyingi katika madudu haya na kusahau elimu. Wanawake wote walipoumbwa na Mwenyezi Mungo aliwatunukia urembo ambao ni natural.
 
Back
Top Bottom