Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

Mars 12

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
221
349
Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano makubwa kabisa ya AFCON 2022 kwa wanawake ambayo pia washindi 4 wa AFCON 22 watawakilisha Africa katika World ya Wanawake 2023.

TFF imemdanganya Waziri Wa Michezo naye masikini hajui chochote kawapeleka IKULU kumkabidhi Madam President Kombe lisilokuwa na sifa yoyote kwa Taifa. Afrika inatushangaa

Wenzetu Wanawake wa Kenya,Uganda,Burundi wamo kwenye kinyanganyiro hiki kikubwa sie tumetolewa na Namibia ambao walituma team B COSAFA CUP.

Nashauri Madam President angemchagua pia Mshauri wake wa mambo ya michezo.Huku ni kumpotosha Rais wetu kipenzi cha Watanzania.

TFF mnawajibika hasa Rais wake wa Maisha Mr Karia.
 
Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu.Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda...
Mh. angefanya kama kwenye Covid alivyomchagua Tony Blair kuwa mshauri wake,Michezo napo awe na mshauri maalum.
 
Niwapongeze kwa kuwa na malengo mazuri, wameamua kuweka nguvu zao kwenye kombe ambalo wana uwezo nalo na wamelichukua.

Taratibu taratibu watafuzu kombe la mataifa Afrika kwa mara nyingine tena na wataenda kombe la dunia.
 
Kushinda ni Kushinda tu, Ndio maana timu inayoshida ligi ya mbuzi mtaani wana furaha kuliko wale wanaoshika mkuu ligi kuu (ingawa kwa ubora wa mwisho ligi kuu ni bora zaidi)

Au mtu mwenye mguu mmoja kuweza kucheza ngoma huenda ikawa mafanikio makubwa kuliko wewe mzima kufanya kile kile.

Brazil kutokufika Fainali ya World Cup huenda kocha akafukuzwa ila sisi siku tukifika huenda timu ikajengewa sanamu.
 
Kushinda hata kombe la bata au kuku kwenye mashindano ya Mpira wa miguu ni jambo jema lenye kuvutia bila kujali ukubwa wa mpinzani na mashindano,hongera kwa washindi
 
Wanastahili pongezi pamoja na kushindwa kufuzu AFCON
Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano makubwa kabisa ya AFCON 2022 kwa wanawake ambayo pia washindi 4 wa AFCON 22 watawakilisha Africa katika World ya Wanawake 2023.

TFF imemdanganya Waziri Wa Michezo naye masikini hajui chochote kawapeleka IKULU kumkabidhi Madam President Kombe lisilokuwa na sifa yoyote kwa Taifa. Afrika inatushangaa

Wenzetu Wanawake wa Kenya,Uganda,Burundi wamo kwenye kinyanganyiro hiki kikubwa sie tumetolewa na Namibia ambao walituma team B COSAFA CUP.

Nashauri Madam President angemchagua pia Mshauri wake wa mambo ya michezo.Huku ni kumpotosha Rais wetu kipenzi cha Watanzania.

TFF mnawajibika hasa Rais wake wa Maisha Mr Karia.
 
Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano makubwa kabisa ya AFCON 2022 kwa wanawake ambayo pia washindi 4 wa AFCON 22 watawakilisha Africa katika World ya Wanawake 2023.

TFF imemdanganya Waziri Wa Michezo naye masikini hajui chochote kawapeleka IKULU kumkabidhi Madam President Kombe lisilokuwa na sifa yoyote kwa Taifa. Afrika inatushangaa

Wenzetu Wanawake wa Kenya,Uganda,Burundi wamo kwenye kinyanganyiro hiki kikubwa sie tumetolewa na Namibia ambao walituma team B COSAFA CUP.

Nashauri Madam President angemchagua pia Mshauri wake wa mambo ya michezo.Huku ni kumpotosha Rais wetu kipenzi cha Watanzania.

TFF mnawajibika hasa Rais wake wa Maisha Mr Karia.
Only in africa
 
Back
Top Bottom