hapa kwa iker cassilas alitakiwa akae julio cesar na kwa sergio ramos alitakiwa akae aleksander kolarov,
Aiseeeeee!!!
hapa kwa iker cassilas alitakiwa akae julio cesar na kwa sergio ramos alitakiwa akae aleksander kolarov,
Busquets ni kama Gilberto Silva alivyokuwa muhimu Brazil 2002 na Arsenal unbeten,sasa ukiuliza wengi watadai Vieira,kwa makocha wanaosaka ushindi wachezaji kama Busquets na G Silva enzi zake,hawakosi namba ni muhimu sana kuliko wakaa na mpira eg Yaya Toure,ambao wanachoka siku mechi ikiwa kali,na Spain zamani iliwakosa kina Busquets mpaka kaja Marcos Senna kidogo alisevu euro 2008 wakabeba,Cesc alikuwa benchi,maana unakuta timu inajaa wote wakaa na mpira haina wakabaji,sasa Spain ni bora Xavi au Iniesta wakose sio S Busquets,ni muhimu kama G Silva 2002 brazil na unbeten Arsenal.
inaelekea umeanza kutazama mpira siku za karibuniKwa hiyo ilitaka Dstv/supersport wafanye kazi kwa hasara?
EPL ndio ligi inayotazamwa na watu wengi Duniani hasa kutokana na kampeni za Skysports na kelele zao kwamba EPL ndio best league, so Dstv kama kampuni yoyote ile ya kibiashara itabroadcast program zenye audience wengi, hilo haliitaji mjadala!
Lakini haohao Supersport ambao wewe unataka kuleza mbwela zako hapa wanaonesha, Bundasliga, La Liga, Seria A, Uefa Champions League, Europa na kutokana na ukanda uliopo hadi Ligi ya Brazil inaoneshwa kwa nchi kama Mozambique na Angola.
Kama huoni ligi nyingine ni wewe tu na sio tatizo la Supersport au Dstv.
Watu wengine wana scotoma!
Sababu ya XAVI kutochezeshwa muda mchache umri wake ni mkubwa ni wanajiandaa kuwapa nafasi warithi wake kina Cesc/Thiago.Iniesta anajulikana ni majeruhi sana ,mara nyingi anaumia sana unapocheza na timu zinazotumia mpira wa nguvu Alonso ni better option ndio maana Barca wanapata tabu sana wakicheza na Chelsea na another advantage Alonso anafunga magoli huwezi mlinganisha na Sergio.Hizi clip za You tube wanachagua only the best hata ukitafuta clip za Diaby utasema ni bonge la mchezaji kumbe hamna kitutatizo lenu mnaangalia wachezaji wanaokaa sana na mpira wengi wenu,lakini hamuoni umuhimu wa Busquets,ndio maana list ikipangwa hao kina Xavi au Iniesta hawamalizi au wanaanzia sub,Alonso rafu nyingi nae,Busquets ana control ya juu wengi wenu hamlitambui ebu cheki hapa
Sergio Busquets's Skills - FIFA_(2010~2011) - YouTube
inaelekea umeanza kutazama mpira siku za karibuni
Pole sana.Du! Naona kampeni against Ligi ya Uingereza imepamba moto.
Yaani mpaka sasa sioni kwa nini watu kama Kompany na Ashley Cole hawapo.
How Sergio Ramos and Gerard Pique are better defenders than Kompany, I really don't know.
Ila Pirlo alistahili kuwepo kwenye timu ya dunia. Jamaa anaweza kucheza mpira na glass iliyojaa wine mkononi bila kumwaga hata tone.
Despite all that the Premiership still remains the most competitive league in the world.
Tatizo nimekusoma wewe ligi ya Spain unaangalia el clasico tu,sitashangaa maana wengi wenu wafuatiliaji ligi ya England wachezaji na makocha wa timu zote za England mnawajua,ila Barca utasikia watu wanawajua Messi,Iniesta na Xavi,ndio maana ngumu kwenu kujua na kutambua umuhimu wa mchezaji kama Sergio Busquets,kocha Del Bosque mwenzio kashasema anatamani acheze kama Sergio Busquets,ndio maana hata Cazorla wengi wenu wanazi wa England mmemjua alipokuja Arsenal,Spain kuna wachezaji wengi wazuri,punguzeni kuamini kila the sun ikisema,utasikia Rooney mchezaji bora duniani kisa kafunga bao la tik taka,na hata Busquets nadhani sidhani kama hata unajua kama kishafunga mabao mangapi ktk la liga maana haufutilii si ajabu ukasema hajafunga,na nikikuuliza nani ana mabao mengi msimu huu yeye na Alonso si ajabu ukasema Alonso huku ukikumbuka mabao ya long range aliyofunga akiwa Liverpool,kwa sasa sidhani kama hata utakuwa unajua data za Alonso ktk la liga si ajabu umeona mechi labda real madrid vs barca,ndio nimenoti wengi wenu ligi ya England mnafutilia sana kuliko Spain,ila ni 7bu ndio tawala letu mazingira wengi walipo ni ligi ya England tofauti na mimi wa kazimzumbwi ni la liga kwenda mbele hata rayo vallecano wakiongozwa na Piti vs Real Valladolid ya Manucho sikosi ndio ligi inayoonyeshwa kwetu huku kazimzumbwi,karibu leo Real Sociadad wakina Xabier Prieto na Carlos Vela wapo uwanja wao Anoeta jijini San Sebastian(kwa kina Alonso na Arteta) vs FC Barcelona usikose kuona hii mechi utajiona mengi na utagundua na kunielewa nini nasema kuliko kusubiri results na highlights za sky news ambazo hata Busquets akifunga goli huwezi kujua maana hawatazungumzia zaidi ya Messi 7bu ni anaweka rekodi na anauza magazeti huko ya The Sun ndio maana siku hizi narindima hadi makombe ya mbuzi yanayotekea Spain sio mpaka ikifika el clsico ndio wengi wanakuwa atensheni.Sababu ya XAVI kutochezeshwa muda mchache umri wake ni mkubwa ni wanajiandaa kuwapa nafasi warithi wake kina Cesc/Thiago.Iniesta anajulikana ni majeruhi sana ,mara nyingi anaumia sana unapocheza na timu zinazotumia mpira wa nguvu Alonso ni better option ndio maana Barca wanapata tabu sana wakicheza na Chelsea na another advantage Alonso anafunga magoli huwezi mlinganisha na Sergio.Hizi clip za You tube wanachagua only the best hata ukitafuta clip za Diaby utasema ni bonge la mchezaji kumbe hamna kitu
wewe nikuache hujui unachoongea,kawaulize kina Mascherano,Keita na Song,Busquets ni kiungo anajua kucheza namba yake na anasaidia sana tofauti na mnavyongoja nyie mpaka sky news sport imsifie mchezaji ndio mnaona kifaa,Cazorla wengi wenu nyie mmemjua yupo Aseno,angalia la liga sio mpk el clasico real madrid vs barca,ndio maana wengi wenu Barca mnawajua wachezaji hata 5 hawafiki ila sema spurs au hata norwich kuanzia kocha wao aliefanana na Obama hadi wachezaji wa akiba,Toure bado ndio mana Ivory Coast inahangaika haina kiungo mkabaji mzuri wote wakaa na mpira,sasa unakuta wa2 wengi miaka yote wanaipa nafasi ivory Coast kufika mbali world cup au kubeba kombe la afrika 7bu kama alivyoimba afande Sele mnatajataja majina tu kwa mistari isiyo na vina,mimi binafsi na uhakika Toure ni mzuri kwa kuwa mchezeshaji kama kina Iniesta ila kiukabaji hamfikii Busquets ambae ni mchezaji wengi wenu mnadai hajui chenga na hamjawahi kumuona akiwa anapiga pasi za visigino ambazo mpira wa chenga sio sana kwake na anajua sema kwa kuwa wengi wenu mpaka msubiri Barca vs Real Madrid huku mpira mzima mkiangalia wachezaji wawili tu Messi na Ronaldo mnakuwa hamumko makini kuangalia wengine ndio mnakuwa hamumjui na wengine hawamjui kabisa Busquets,ndio tatizo makocha na watu wengi wa dunia ya tatu wachezaji wakipiga chenga wanajua huku hakabi,yaani hata kama anaringa atabembelezwa kisa ana mpira wa kupiga kanzu na tobo,ndio inawaponza wachezaji wengi wa South America ambao kocha kama Ferguson wengi hawapi namba eg Anderson au hata Veron alipouzwa wakati ule au hata Djembadjemba na mpira wake wa kugeukageuka kama anacheza ndombolo,Spain ya zamani ilikuwa na wakaa na mpira kina Mendieta,Luis Enrique wakabaji haina ndio mana unakuta chenga nyingi wanafungwa na kutolewa na hata Korea Kusini ila sasa kuja kwa kina Busquets sasa hivi ni ushindi kwenda mbele na rekodi kibao si Barcelona hadi Spain,yaani sasa Barca hata wakikusajili wewe uwe mbele unavizia kila siku unacheka na nyavu tu.Suala la kukaa na mpira Toure hana pindi alipokuwa Barca ila uwezo wake ulishuka baada ya Pep kumsugua Bench, ukiniambia Pirlo anakaa na mpira muda mrefu hapo mimi sitakupinga hata kidogo Mkuu. Hv Leo hii Toure Yaya akirudi unafikir Sergio B anapata namba pale Barca?
sasa kama mnalijua hilo mbona mnalalamika listi ina upendeleo Spain watupu?mimi binafsi namkubali Alonso,ila kwa Busquets anasubiri,Busquets ni kiungo anaekaba kiakili na hana rafu kama Alonso na hata Mascherano ni mzuri sema rafu ndizo zinamuharibia cv tofauti na Busquets.sasa kama umejijibu zote barca msimu huu wameshinda kasoro moja hakuwepo wamefungwa,karibu Barcelona nakukaribisha sana na La furia roja,najua umekaribia baada ya kuwa mabingwa eoro 2012 au world cup 2010mm ndo nikukaribishe ww, maana mm ni shabiki wa Barcelona na Spain. Ukiangalia mcmu huu Barca amepigwa na Celtic tuu. Lakini zipo mechi nying Barca alizopigwa na Sergio B akiwepo uwanjan tena kwa dakika zote. Kama ww ni shabiki wa Mpira na wa Spain kwa ujumla nataka nikuulize swali moja ili nijue kama ww ni mpenz wa mpira au team kwa ujumla. Ukiangalia Euro 12 mech karibia ya zote Sergio Busquets alicheza kama Kiungo mkabaji lakin ktk First 11 ya Fifa hakuwemo yeye na aliwekwa Xabi A. Kwa nini hakupangwa yy ktk hko kikosi?
sasa kama mnalijua hilo mbona mnalalamika listi ina upendeleo Spain watupu?mimi binafsi namkubali Alonso,ila kwa Busquets anasubiri,Busquets ni kiungo anaekaba kiakili na hana rafu kama Alonso na hata Mascherano ni mzuri sema rafu ndizo zinamuharibia cv tofauti na Busquets.sasa kama umejijibu zote barca msimu huu wameshinda kasoro moja hakuwepo wamefungwa,karibu Barcelona nakukaribisha sana na La furia roja,najua umekaribia baada ya kuwa mabingwa eoro 2012 au world cup 2010
Sky news sports ndio inavyowaongopeeni hivyo:madgrin:Udhaifu wa S. Busquets ni kupenda kujiangushaangusha sana nadhani hilo linamwaribia CV yake....:becky:
Mkuu, mi huwa nahudhuria mechi uwanjani...:smiling:Sky news sports ndio inavyowaongopeeni hivyo:madgrin:
ina ukweli ndani yake,ila yaani wenye nchi yao Spain+mimi chini ya coach 1st marques of Bosque Vicente Del Bosque Gonzalez wakipanga listi kwanza jezi anapewa Sergio Busquets i Burgos then wengine wanafuatia.Nyie mambo ya ulaya yanawahusu nini?Na nyie tangazeni kikosi chenu bora cha dunia akikosekana Kaseja nyie magumashi.:blabla:
Lete risiti mechi gani kajiangusha S Busquets zaidi utasema ile ya Inter Milan semi final uefa 2010 kwa Thiago Motta,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,mkitaka mpende au mchukieni ila mpira anajua na mchezaji bora mkabaji kwa sasa Duniani.Mkuu, mi huwa nahudhuria mechi uwanjani...:smiling:
Wana vigezo vyao. Hushangai timu hiyo ya FIFA kukusanya wachezaji wanaochezea Ulaya pekee na kuacha Afrika, Marekani (kusini/kaskazini/kati) na Asia? Mie nawaponda hawa wachambuzi uchwara waliotengezwa na DSTV kutaka wachezaji wa EPL wawemo!!!!!!!!!!!!!
Duh! kaka umenifurahisha kwelikweli, watangazaji wetu huona fahari kutamka kwa ufasaha majina tu ya timu za England kana kwamba wanafanya usaili, lakini majina ya timu za Spain, Germany (wakoloni wetu), Italia n.k. hawawezi kabisaaaaaaaaaaaaaaa.Tatizo nimekusoma wewe ligi ya Spain unaangalia el clasico tu,sitashangaa maana wengi wenu wafuatiliaji ligi ya England wachezaji na makocha wa timu zote za England mnawajua,ila Barca utasikia watu wanawajua Messi,Iniesta na Xavi,ndio maana ngumu kwenu kujua na kutambua umuhimu wa mchezaji kama Sergio Busquets,kocha Del Bosque mwenzio kashasema anatamani acheze kama Sergio Busquets,ndio maana hata Cazorla wengi wenu wanazi wa England mmemjua alipokuja Arsenal,Spain kuna wachezaji wengi wazuri,punguzeni kuamini kila the sun ikisema,utasikia Rooney mchezaji bora duniani kisa kafunga bao la tik taka,na hata Busquets nadhani sidhani kama hata unajua kama kishafunga mabao mangapi ktk la liga maana haufutilii si ajabu ukasema hajafunga,na nikikuuliza nani ana mabao mengi msimu huu yeye na Alonso si ajabu ukasema Alonso huku ukikumbuka mabao ya long range aliyofunga akiwa Liverpool,kwa sasa sidhani kama hata utakuwa unajua data za Alonso ktk la liga si ajabu umeona mechi labda real madrid vs barca,ndio nimenoti wengi wenu ligi ya England mnafutilia sana kuliko Spain,ila ni 7bu ndio tawala letu mazingira wengi walipo ni ligi ya England tofauti na mimi wa kazimzumbwi ni la liga kwenda mbele hata rayo vallecano wakiongozwa na Piti vs Real Valladolid ya Manucho sikosi ndio ligi inayoonyeshwa kwetu huku kazimzumbwi,karibu leo Real Sociadad wakina Xabier Prieto na Carlos Vela wapo uwanja wao Anoeta jijini San Sebastian(kwa kina Alonso na Arteta) vs FC Barcelona usikose kuona hii mechi utajiona mengi na utagundua na kunielewa nini nasema kuliko kusubiri results na highlights za sky news ambazo hata Busquets akifunga goli huwezi kujua maana hawatazungumzia zaidi ya Messi 7bu ni anaweka rekodi na anauza magazeti huko ya The Sun ndio maana siku hizi narindima hadi makombe ya mbuzi yanayotekea Spain sio mpaka ikifika el clsico ndio wengi wanakuwa atensheni.
Muda nilioanza kuangalia mpira hao supersport walikuwa hata hawajaingia ndio maana nakwambia umeanza kuangalia mpira juzi juzi mimi timu yangu Milan unajua nilianza kuiona wapi pia jiulize pamoja na Liverpool haifanyi vizuri kwanini bado ina wapenzi wengi Tanzania wote hao walianza kuishabikia Liverpool wakati ambao supersport walikuwa hawajafika na wala hawategemei kufika kutokana na mahusiano yetu ya wakati ule wewe uliyeanza kuangalia juzi juzi ndio ukahangaike vibandaniYou wish!
Mambo ya kuangalia match vibandan hayo, kanunue decoder yako Multchoice uone the difference tena make sure ni PVR, sio kuleta siasa hapa!
Muda nilioanza kuangalia mpira hao supersport walikuwa hata hawajaingia ndio maana nakwambia umeanza kuangalia mpira juzi juzi mimi timu yangu Milan unajua nilianza kuiona wapi pia jiulize pamoja na Liverpool haifanyi vizuri kwanini bado ina wapenzi wengi Tanzania wote hao walianza kuishabikia Liverpool wakati ambao supersport walikuwa hawajafika na wala hawategemei kufika kutokana na mahusiano yetu ya wakati ule wewe uliyeanza kuangalia juzi juzi ndio ukahangaike vibandani
Hao wachambuzi wa soka kwenye radio zetu (wanaocopy/paste watangazaji wa SS) wangekuwa na ufahamu kidogo tu wa hilo ulilonena tungefurahi. Mie siwalaumu sana DSTV kwani wao wanafanya biashara, wanakuja nchini mwako na kukuta ligi ya kwako haioneshwi na local TV yoyote na kukuletea hiyo EPL kwanza, wakiona umeisha iva sasa ndio wanakupa uhuru wa kuchagua kuona ligi nyingine. Hujiuliza hapa barani Africa hakuna club champions leaugue!kaka naomba nikukosoe,kwani watu wamelalamika kutokuwepo wachezaji wa epl au kuwepo kwa wachezaji wa la liga tu? pia kwa hiyo hujaona tofauti hiyo ya fifa na ya uefa?hiyo ya uefa ni bora zaidi kwangu mimi,angalia inatoa sura ya timu ya ulaya ligi 3 zipo humo!ile ya fifa haina hadhi ya kuitwa timu ya dunia bali kombaini ya real madrid na barcelona with the exceptional of falcao!