Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Na wewe pia. Karibu tuangalie Granada v Rayo Vallecano.
Nipo kaka. Nafurahi kuwa Wanajf wengi wanapembua mchele na chuya. Ligi haina mchezaji bora, haizalishi wachezaji wa timu ya taifa kuchukua kombe la dunia, klabu inachukua kombe la mabingwa kiwenda wazimu bado wengine wanaisifia eti inapendwa duniani(?).
 
Competitive doesnt mean is the best even uganda premier league is competitive bt nt the best

Where in my post did I say that being competitive is being the best?

I said the Premiership still remains the most competitive league in the world.

I didn't say it is the best league because is competitive.
 
Nipo kaka. Nafurahi kuwa Wanajf wengi wanapembua mchele na chuya. Ligi haina mchezaji bora, haizalishi wachezaji wa timu ya taifa kuchukua kombe la dunia, klabu inachukua kombe la mabingwa kiwenda wazimu bado wengine wanaisifia eti inapendwa duniani(?).

Fafanua please.
 
Why is the 'most' while is not the 'BEST?'
 
Well, mchezaji bora wa bara Ulaya hata dunia.

Well, ligi za siku hizi ni cosmopolitan.

Unaweza kusema La Liga is the best league lakini hao akina Messi na Falcao are not Spanish, let alone Europeans.

Kuwa na mchezaji bora kwenye ligi yako does not necessarily mean that you will win the World Cup.
 
sasa kama mnalijua hilo mbona mnalalamika listi ina upendeleo Spain watupu?mimi binafsi namkubali Alonso,ila kwa Busquets anasubiri,Busquets ni kiungo anaekaba kiakili na hana rafu kama Alonso na hata Mascherano ni mzuri sema rafu ndizo zinamuharibia cv tofauti na Busquets.sasa kama umejijibu zote barca msimu huu wameshinda kasoro moja hakuwepo wamefungwa,karibu Barcelona nakukaribisha sana na La furia roja,najua umekaribia baada ya kuwa mabingwa eoro 2012 au world cup 2010

ndo umejibu swali?
 
Nipo kaka. Nafurahi kuwa Wanajf wengi wanapembua mchele na chuya. Ligi haina mchezaji bora, haizalishi wachezaji wa timu ya taifa kuchukua kombe la dunia, klabu inachukua kombe la mabingwa kiwenda wazimu bado wengine wanaisifia eti inapendwa duniani(?).

samahan Mkuu, najua ww ni shabiki mwenzangu wa Barca. 2kiacha Unazi na kuungalia Mpira kwa Ujumla, hv kati ya Sergio BUSQUETS na Yaya TOURE ni nani aliye Mkali?
 
sasa kama mnalijua hilo mbona mnalalamika listi ina upendeleo Spain watupu?mimi binafsi namkubali Alonso,ila kwa Busquets anasubiri,Busquets ni kiungo anaekaba kiakili na hana rafu kama Alonso na hata Mascherano ni mzuri sema rafu ndizo zinamuharibia cv tofauti na Busquets.sasa kama umejijibu zote barca msimu huu wameshinda kasoro moja hakuwepo wamefungwa,karibu Barcelona nakukaribisha sana na La furia roja,najua umekaribia baada ya kuwa mabingwa eoro 2012 au world cup 2010

Kati ya Siku ukitaka kujidharirisha kwa watu wanaojua mpira embu uliza kati ya Toure na Sergio B nan mkali hrf uone kama hujaambiwa uanze kuangalia tena mpira.
 
Du! Naona kampeni against Ligi ya Uingereza imepamba moto.

Yaani mpaka sasa sioni kwa nini watu kama Kompany na Ashley Cole hawapo.

How Sergio Ramos and Gerard Pique are better defenders than Kompany, I really don't know.

Ila Pirlo alistahili kuwepo kwenye timu ya dunia. Jamaa anaweza kucheza mpira na glass iliyojaa wine mkononi bila kumwaga hata tone.

Despite all that the Premiership still remains the most competitive league in the world.

Hata wafanyaje EPL ndio ligi bora zaid na yenye mashabiki wengi duniani
 
samahan Mkuu, najua ww ni shabiki mwenzangu wa Barca. 2kiacha Unazi na kuungalia Mpira kwa Ujumla, hv kati ya Sergio BUSQUETS na Yaya TOURE ni nani aliye Mkali?
Tukiacha ubaguzi Sergio Busquets anamzidi Yaya Toure hata kwa stamina.
 
Hawa FIFA wawe wanatoa na kikosi cha kila mwezi...Benteke,Michu lazima waiwakilishe EPL!:becky:
 
Well, ligi za siku hizi ni cosmopolitan.

Unaweza kusema La Liga is the best league lakini hao akina Messi na Falcao are not Spanish, let alone Europeans.

Kuwa na mchezaji bora kwenye ligi yako does not necessarily mean that you will win the World Cup.
Nakubaliana na wewe lakini kwa nini C. Ronaldo awike zaidi Real Madrid ya Spain na sio kwao Ureno japo anachezea shirikisho moja hilohilo la kandanda? Suala nilionalo ni kutokuingiza uraia wa wachezaji huko Ulaya na tuangalie uwezo wa wachezaji binafsi.
 
Back
Top Bottom