Xabi Alonso hakuna kiungo yoyote england na nchi zingine za ulaya ukimuondoa Busquets kwa ukabaji anamfikia,yeye ndie alikuwa ufunguo wa liverpool,Pique acheni nyie we unadhani hadi Shakira kaoza mchezo?kamuacha mtoto wa rais,sasa Marcelo mnataka tumuweke Evra,si mseme tu muache unazi!Watu hawalalamiki kuhusu wachezaji wa EPL kuwepo ,tunataka wachezaji waliofanya vizuri 2012 ndio wawepo afadhali ya hii kuliko ile ya FIFA.Dani Alves,Marcelo,Gerard Pique,Xabi Alonso hawakustaili kabisa kuwa kwenye hiyo timu
Yaya Toure alikimbizwa na kiungo bora mkabaji wa sasa Sergio Busquets i BurgosRamos kapendelewa hapo, anastahili kukaa Dani Alves, Pique tupa kule kuna watu kama Hummels wa Dortmund au Vidic. Kushoto Marcelo/Alba ni wazur sn. Kiungo Mkabaji Yaya Toure yuko njema sn na angestahili kuwepo.
Hivi hakuna pahala pa kulalamikia tabia hii ya FIFA kupendelea Ulaya?Watu hawalalamiki kuhusu wachezaji wa EPL kuwepo ,tunataka wachezaji waliofanya vizuri 2012 ndio wawepo afadhali ya hii kuliko ile ya FIFA.Dani Alves,Marcelo,Gerard Pique,Xabi Alonso hawakustaili kabisa kuwa kwenye hiyo timu
Yaya Toure alikimbizwa na kiungo bora mkabaji wa sasa Sergio Busquets i Burgos
Kaka 'first eleven' ni wachezaji kumi na moja tu na wachezaji wengi ni wazuri tukiwaona kwenye TV, yawezekana pana vigezo vingine wametumia ambavyo sisi watazamaji hatujui!Ramos kapendelewa hapo, anastahili kukaa Dani Alves, Pique tupa kule kuna watu kama Hummels wa Dortmund au Vidic. Kushoto Marcelo/Alba ni wazur sn. Kiungo Mkabaji Yaya Toure yuko njema sn na angestahili kuwepo.
Yaya Toure alikimbizwa na kiungo bora mkabaji wa sasa Sergio Busquets i Burgos
Hayo mawazo yenu siwezi kuyapinga,mbona Messi yupo mpaka sasa?kuondoka kwa Yaya ulikuwa ni Ukabila wa Pep, embu chukulia kuondoka kwa Eto'o kulikuwaje, na hy Ibra aliifanyia nini Barca. Mm ni shabik wa Barcelona ila Guardiola kuwaondoa Toure na Eto'o alidhihirisha Ubaguzi wake.
Watu hawalalamiki kuhusu wachezaji wa EPL kuwepo ,tunataka wachezaji waliofanya vizuri 2012 ndio wawepo afadhali ya hii kuliko ile ya FIFA.Dani Alves,Marcelo,Gerard Pique,Xabi Alonso hawakustaili kabisa kuwa kwenye hiyo timu
Busquets ni kiungo bora,ktk wachezaji wote Brca kwanza hapotezi mpira,Yaya ni mpira wa kiafrika ndio wa2 wanamsifia ila pasi anapoteza kama mnachunguza kiumakini,sio rahisi kwa timu ya ushindi kuchukua namba,angalia mechi Barca ikifungwa Busquets hakuwemo anajua kuposition namba yake.kwa mtazamo wangu yaya toure ni best midfielder kuliko mchezaji kiungo yeyote bacelona, huwezi mlinganisha na mtoto mdogo kama busquets, tuache ushabiki tuangalie uhalisia wa mambo
Hayo mawazo yenu siwezi kuyapinga,mbona Messi yupo mpaka sasa?
Kabisa yaani 100% jibusasa kaka, unataka kuniambia Sergio ni mzur kuliko Yaya?
Mh unaushahidi? Barca daima ndugu.kuondoka kwa Yaya ulikuwa ni Ukabila wa Pep, embu chukulia kuondoka kwa Eto'o kulikuwaje, na hy Ibra aliifanyia nini Barca. Mm ni shabik wa Barcelona ila Guardiola kuwaondoa Toure na Eto'o alidhihirisha Ubaguzi wake.
Kaka 'first eleven' ni wachezaji kumi na moja tu na wachezaji wengi ni wazuri tukiwaona kwenye TV, yawezekana pana vigezo vingine wametumia ambavyo sisi watazamaji hatujui!
kwa mtazamo wangu yaya toure ni best midfielder kuliko mchezaji kiungo yeyote bacelona, huwezi mlinganisha na mtoto mdogo kama busquets, tuache ushabiki tuangalie uhalisia wa mambo
Busquets ni kiungo bora,ktk wachezaji wote Brca kwanza hapotezi mpira,Yaya ni mpira wa kiafrika ndio wa2 wanamsifia ila pasi anapoteza kama mnachunguza kiumakini,sio rahisi kwa timu ya ushindi kuchukua namba,angalia mechi Barca ikifungwa Busquets hakuwemo anajua kuposition namba yake.
Kabisa yaani 100% jibu
au Matts Hummels wa Dortmund................ huyu dogo Pique anaishi maisha ya showbizz na last season hakuwepo kiwanjani for nearly a half a season na karudi ana matatizo na mwalimu wake..anaingiaje kwenye hizi timu hata sielewi! halafu si kwamba watu wanataka wachezaji wa premier league kama mnavyojiaminisha.kila mtu anauatazama mpira wa miguu kwa muono wake na hiyo ndio raha ya mchezo huu,controversy!binafsi sioni kama Marcelo alikuwa msimu mzuri kama ashley cole,au Alves mbele ya Lahm..........au Xavi mbele ya Pirlo! FIFA na UEFA kuna siasa pia wakuu....................those guyz hukosea pia.....remember Cannavaro na world cup ya 2006!?Haina Sub? Hapo kwa Pigue ningemuweka Chiellini
Tatizo langu kwa FIFA ni kupendelea sana Ulaya na kuacha mabara mengine.