Sio unazi ni ukweli halisi,wameondoka wengi nilikuwa sina habari unadhani bench wametemwa,eg petit,affelay,hleb,eidur gudjohnsen,ndio maana nimekumbuka hata final 2009 barca vs man utd,silvinho aliewekwa bench sana na ashley cole arsenal,alicheza mechi hiyo,maana aliwekwa bench na van bronkhorst na baadae abidal pale fc Barcelona,ndio maana mimi yaya toure sikumuona gem za barca toka ile final vs man utd alicheza mkoba walioshinda barca 2-0,nikajua kishaondoka,ila kukosea kawaida sio unazi,mwambie jamaa yako aelewe sergio ndie alie7busha yaya akimbie namba ya kiungo,na hata keita ambae nae kahama alikuwa hachukui namba labda ktk king cup au sub kwa xavi ambae umri nae amalizi kila mechi au iniesta nae majeruhi muda mwingine.