Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 758
CAF sijakiona,labda nao watafata mkumbo mwaka huu!Cha CAF kipo wapi?
CAF sijakiona,labda nao watafata mkumbo mwaka huu!Cha CAF kipo wapi?
gutierez,Tatizo nimekusoma wewe ligi ya Spain unaangalia el clasico tu,sitashangaa maana wengi wenu wafuatiliaji ligi ya England wachezaji na makocha wa timu zote za England mnawajua,ila Barca utasikia watu wanawajua Messi,Iniesta na Xavi,ndio maana ngumu kwenu kujua na kutambua umuhimu wa mchezaji kama Sergio Busquets,kocha Del Bosque mwenzio kashasema anatamani acheze kama Sergio Busquets,ndio maana hata Cazorla wengi wenu wanazi wa England mmemjua alipokuja Arsenal,Spain kuna wachezaji wengi wazuri,punguzeni kuamini kila the sun ikisema,utasikia Rooney mchezaji bora duniani kisa kafunga bao la tik taka,na hata Busquets nadhani sidhani kama hata unajua kama kishafunga mabao mangapi ktk la liga maana haufutilii si ajabu ukasema hajafunga,na nikikuuliza nani ana mabao mengi msimu huu yeye na Alonso si ajabu ukasema Alonso huku ukikumbuka mabao ya long range aliyofunga akiwa Liverpool,kwa sasa sidhani kama hata utakuwa unajua data za Alonso ktk la liga si ajabu umeona mechi labda real madrid vs barca,ndio nimenoti wengi wenu ligi ya England mnafutilia sana kuliko Spain,ila ni 7bu ndio tawala letu mazingira wengi walipo ni ligi ya England tofauti na mimi wa kazimzumbwi ni la liga kwenda mbele hata rayo vallecano wakiongozwa na Piti vs Real Valladolid ya Manucho sikosi ndio ligi inayoonyeshwa kwetu huku kazimzumbwi,karibu leo Real Sociadad wakina Xabier Prieto na Carlos Vela wapo uwanja wao Anoeta jijini San Sebastian(kwa kina Alonso na Arteta) vs FC Barcelona usikose kuona hii mechi utajiona mengi na utagundua na kunielewa nini nasema kuliko kusubiri results na highlights za sky news ambazo hata Busquets akifunga goli huwezi kujua maana hawatazungumzia zaidi ya Messi 7bu ni anaweka rekodi na anauza magazeti huko ya The Sun ndio maana siku hizi narindima hadi makombe ya mbuzi yanayotekea Spain sio mpaka ikifika el clsico ndio wengi wanakuwa atensheni.
Kati ya Siku ukitaka kujidharirisha kwa watu wanaojua mpira embu uliza kati ya Toure na Sergio B nan mkali hrf uone kama hujaambiwa uanze kuangalia tena mpira.
Busquet mkali, by the way kumbuka Toure tulidshakuwa naye Camp Nou tukamtema baada ya kuwa amechuja. Kumbuka ndiye aliyetukoseha ubingwa wa UEFA 2010: ile match kati Barcelona na Inter Nusu finali
Kwa mtazamo wangu sababu za Toure kuuzwa ziko 3Mashabiki wenzangu wa Barca na Spain mimi nitawapinga mpaka Kesho kwa kusema Sergio BUSQUETS ni mkali kuliko Yaya TOURE.
Sidhani kama Toure alisababisha Barca kutolewa na Inter 2010,nakumbuka first leg San Siro ambayo Inter alishinda 3-1 Toure hakucheza but alicheza Nou Camp second leg kama beki wa kati baada ya Puyol kuwa majeruhi na Barca akashinda 1-0.Yaya Toure alikosesha vipi ubingwa Barca?Busquet mkali, by the way kumbuka Toure tulidshakuwa naye Camp Nou tukamtema baada ya kuwa amechuja. Kumbuka ndiye aliyetukoseha ubingwa wa UEFA 2010: ile match kati Barcelona na Inter Nusu finali
Sidhani kama Toure alisababisha Barca kutolewa na Inter 2010,nakumbuka first leg San Siro ambayo Inter alishinda 3-1 Toure hakucheza but alicheza Nou Camp second leg kama beki wa kati baada ya Puyol kuwa majeruhi na Barca akashinda 1-0.Yaya Toure alikosesha vipi ubingwa Barca?
Kwa mtazamo wangu sababu za Toure kuuzwa ziko 3
1.Pep alivyopewa timu alipanga kuwapa nafasi wachezaji wazawa/kutoka La Masia kwa hiyo wachezaji wasio wazawa
kama Etoo,Deco,Toure ilikuwa lazima wauzwe
2.Yaya Toure alikuwa ni mzito sana kucheza kuendana na kasi ya Barca hasa nafasi ya kiungo mara nyingi alicheza beki
3.Yaya Toure ni mzuri sana akicheza kama kiungo mshambuliaji(anatoa pasi za magoli na kufunga magoli) na sio mzuri
sana kwenye kukaba.So ilikuwa ni ngumu kumweka benchi Xavi ili yeye acheze
Sitoshangaa mkipinga ukweli ambao unajionyesha wazi na hata Yaya alikimbizwa Barca 7bu ya Sergio,na ndio Barca mpk sasa kuja kwa Busquets haijawahi kukosa kucheza nusu final,wengi wenu mnapenda mpira wa anaoanao ndio mtamsifia Yaya ToureKati ya Siku ukitaka kujidharirisha kwa watu wanaojua mpira embu uliza kati ya Toure na Sergio B nan mkali hrf uone kama hujaambiwa uanze kuangalia tena mpira.
Ukipinga ni wewe,mana hata Nabii Nuhu watu walimpinga lakini baadae wakayaona wenyewe,sasa wewe unabishana na ukweli,maana Sergio Busquets toka acheze Barca,Barca hawajawahi kukosa nusu final uefa champsions ligi,unaona mwenyewe sema unaleta ubishi,Yaya wengi mnaangalia mpira wa anao anao,mafanikio ya Busquets ni kama mchango wa Claude Makelele real madrid na France kutamba miaka ya 2000,Yaya Toure bado.Mashabiki wenzangu wa Barca na Spain mimi nitawapinga mpaka Kesho kwa kusema Sergio BUSQUETS ni mkali kuliko Yaya TOURE.
Toure hakucheza mechi hiyoNakumbuka goli alifunga Bojan,sidhani kama hiyo ni sababu ya msingi kumlaumu Toure hivyo ni vitu vya kawaida kwenye mpira.Mimi naamini Inter alimtoa Barca kwa ule ushindi wa 3-1 kule Italia,kule Nou Camp ilikuwa kukamilisha ratiba ndio maana Mourinho akaamua kupaki basi akijua kazi alishamaliza GMeazza
Ngoja ntakumbukia,ila kwa mimi najuaToure hakucheza Barca toka2009,na mechi yake ya mwisho ni final uefa vs Man Utd 2009 barca kashinda 2-0 Etoo na Messi alicheza beki kiungo Busquets na jezi namba 28 ikiandikwa Busquets sio Sergio kama sasa jezi 16 wakati huo mdogo na Scholes akala njano kwa rafu badala ya kuzungushwa pale kati,ngojeni niwafahamishe na huenda hapo ndio mtapata picha,na ndio ikamfanya Del Bosque amuite world cup 2010Sidhani kama Toure alisababisha Barca kutolewa na Inter 2010,nakumbuka first leg San Siro ambayo Inter alishinda 3-1 Toure hakucheza but alicheza Nou Camp second leg kama beki wa kati baada ya Puyol kuwa majeruhi na Barca akashinda 1-0.Yaya Toure alikosesha vipi ubingwa Barca?
kweli ndio maana nimejirudi,maana alikaa sana bench sikudhani kama kuna mechi alicheza,ila ya Inter nakumbuka gabriel milito wa barca alicheza kukabana na kakake diego milito,yaya toure sidhani mambo mengi ndio mana imenifanya nitake kukumbukia vizuri,maana toka ile final uefa vs man utd alicheza beki sijamuona tena akicheza yaya touregutierez Mupirocin ALEYN Jacobus Mourinho
Again Gutierez now nimeanza kuwa na mashaka na ushabiki wako wa Barca,unajifanya unajua sana sijui kwa nini hutaki kukubali ukweli.Nilishakwambia baki kwenye ukweli punguza unazi hata mimi ni shabiki wa Barca now umekuja na story nyingine eti Yaya Toure hakuwepo wakati Inter anamtoa Barca.Game ya kwanza kule Italy Toure hakucheza alikuwa benchi beki walicheza Pique na Puyol,game ya marudiano Nou Camp Puyol alikuwa majeruhi Pep akawapanga Yaya Toure na Pique kati ,Gabi Milito akapangwa kushoto Dani Alves kulia.Nakumbuka kuna goli Bojan alifunga dakika za mwisho refa alikataa Toure alishika/au alikuwa offside(sikumbuki vizuri) refa akalikataa
FYI:Yaya Toure aliondoka Barca 2010 na kutua Manchester City