Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Supersport wamekaa kibiashara zaid wao ndio wameipromoti sana EPL kama wangekuwa wanapromoti league nyingine tungeweza kuona wachezaji wazuri zaidi ukweli timu ya uefa imechaguliwa vizuri ya fifa sijui walitumia vigezo gani kuwaweka watu kama Dan Alves wakaacha watu kama Philip lahm
 
makasuku wengi ni man-u,waoamini ikivuma epl wamevuma wao

watu wanatumia record za kila mechi,mnaleta ubishi wakuangalia big matches
 
Xabi Alonso hakuna kiungo yoyote england na nchi zingine za ulaya ukimuondoa Busquets kwa ukabaji anamfikia,yeye ndie alikuwa ufunguo wa liverpool,Pique acheni nyie we unadhani hadi Shakira kaoza mchezo?kamuacha mtoto wa rais,sasa Marcelo mnataka tumuweke Evra,si mseme tu muache unazi!
Unazi wako unapitiliza sasa,Xabi Alonso ni mmoja ya wachezaji ambao ninawakubali sana since akiwa Liverpool hata misimu yake 2 akiwa Madrid my point ni kwamba kwa mwaka 2012 hakuperform vizuri ukilinganisha na Andrea Pirlo na hiki ndio watu wengi wamelalamika,
sijasema Evra anastahili na yeye kwa sasa kiwango kimeshuka tofauti ukilinganisha misimu 3 iliyopita kwa left back Philip Lahm,Jordi Alba na Ashley Cole walikuwa bora kuliko Marcelo ambaye mara nyingi alikuwa anachezeshwa winga wa kushoto huku Fabio Coentrao akicheza beki wa kushoto kuhusu Pique huyu hata ukiweka best defenders waliofanya vizuri kwa 2012 hawezi kuwepo (Chielini,Hummels,Kompany,Ramos).Alikuwa majeruhi na Pep alimpiga benchi sana akawa anamchezesha Mascherano
 
Doh! Am not biased kama wewe, kwenye ukweli will say it kama ulivyo, kwangu mimi football comes first, ushabiki wa team au mchezaji utafuata later.
Ila wewe ukweli ukipingana na mapenzi na ushabiki wako inakua taaabu,yatakutoka mapovu hapo kama una kifafa!

Now back to the bussiness, wale defenders watatu wa Juventus na Italia, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci na Giorgio Chiellini, nadhani walikua bora kuliko defending partnership yoyote ile ulaya for the past season na ndio maana walimaliza season unbeaten in the league na Italia ilifika fainali ya Euro, but where r they kwenye Fifa IX or Uefa IX?

Casillas naye yupo hapo kisiasa tu, kadrop sana amebaki kuwa mpika majungu tu,kama siku za mwisho za Raul

Mia......
 
Busquets ni kiungo bora,ktk wachezaji wote Brca kwanza hapotezi mpira,Yaya ni mpira wa kiafrika ndio wa2 wanamsifia ila pasi anapoteza kama mnachunguza kiumakini,sio rahisi kwa timu ya ushindi kuchukua namba,angalia mechi Barca ikifungwa Busquets hakuwemo anajua kuposition namba yake.
gutierez nilikuwa nakuheshimu sana lakini naona sasa unaweka unazi mbele zaidi,Busquet ni bora kuliko Iniesta kuliko Xavi? Katika tuzo za FIFA ukiacha Messi na CR7 wanaofatia ni either Xavi au Iniesta why sio Busquet? System ya uchezaji wa Barca most of the time wao ndio wanaposess mpira huo ubora wa kukaba unatokea wapi? Bosquet anapata advantage kucheza kwenye timu ambayo most of time inamiliki mpira kwa mtazamo wango Xabi Alonso ni mkali kuliko Sergio Busquet
 
Last edited by a moderator:
Supersport wamekaa kibiashara zaid wao ndio wameipromoti sana EPL kama wangekuwa wanapromoti league nyingine tungeweza kuona wachezaji wazuri zaidi ukweli timu ya uefa imechaguliwa vizuri ya fifa sijui walitumia vigezo gani kuwaweka watu kama Dan Alves wakaacha watu kama Philip lahm

Kwa hiyo ilitaka Dstv/supersport wafanye kazi kwa hasara?
EPL ndio ligi inayotazamwa na watu wengi Duniani hasa kutokana na kampeni za Skysports na kelele zao kwamba EPL ndio best league, so Dstv kama kampuni yoyote ile ya kibiashara itabroadcast program zenye audience wengi, hilo haliitaji mjadala!

Lakini haohao Supersport ambao wewe unataka kuleza mbwela zako hapa wanaonesha, Bundasliga, La Liga, Seria A, Uefa Champions League, Europa na kutokana na ukanda uliopo hadi Ligi ya Brazil inaoneshwa kwa nchi kama Mozambique na Angola.

Kama huoni ligi nyingine ni wewe tu na sio tatizo la Supersport au Dstv.
Watu wengine wana scotoma!
 
Hapa nchini pana wanaojiita wataalam wa soka kwa kuangalia sana DSTV (super sport) na kujifanya wako juu ya wataalamu wa soka wa FIFA kwa kuikosoa timu yake ya 2012 kwa kutochagua tu wachezaji wanaochezea EPL, sasa UEFA nayo imetoa kikosi chake cha 2012 ambamo hakuna mchezaji wa EPL!

Uefa Team of the Year 2012: Iker Casillas (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Thiago Silva (AC Milan/Paris St-Germain), Philipp Lahm (Bayern Munich), Andres Iniesta (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Andrea Pirlo (Juventus), Mesut Ozil (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid).

Punguzeni ukasuku, mtu timamu hutafuta ukweli ulipo.
Vigezo na masharti havizingatiwi...........
 
Sidhani kama kuna bara jingine lina soka la hali ya juu kama ulaya kwa sasa, labla kidogo South America nako ni ligi ya Brazil na Argentina tu.
Heh huko pana soka juri wee acha tu, tatizo tulilonalo ni ukoloni wa LUGHA tu hapa na uwezo wa TV zetu kujitegemea.
 
Kwa hiyo ilitaka Dstv/supersport wafanye kazi kwa hasara?
EPL ndio ligi inayotazamwa na watu wengi Duniani hasa kutokana na kampeni za Skysports na kelele zao kwamba EPL ndio best league, so Dstv kama kampuni yoyote ile ya kibiashara itabroadcast program zenye audience wengi, hilo haliitaji mjadala!

Lakini haohao Supersport ambao wewe unataka kuleza mbwela zako hapa wanaonesha, Bundasliga, La Liga, Seria A, Uefa Champions League, Europa na kutokana na ukanda uliopo hadi Ligi ya Brazil inaoneshwa kwa nchi kama Mozambique na Angola.

Kama huoni ligi nyingine ni wewe tu na sio tatizo la Supersport au Dstv.
Watu wengine wana scotoma!
Sawa ndugu, lakini ukifuatilia DSTV walikuwa na channel kama tatu hivi wakati wanaingia nchini na mpaka leo SS3 pawe na mechi England kati ya QPR na Swansea itaoneshwa hapo wakati labda Italia pana big match kati ya Juventus na Inter utaikuta SS7. Sasa mwenye cable, mathalani, atakuwekea hiyo SS3 na channel zingine haweki!!!!!!!! Hapo ndipo tunapoona DSTV wanaipromoti EPL kwa nguvu zote.
 
Supersport wamekaa kibiashara zaid wao ndio wameipromoti sana EPL kama wangekuwa wanapromoti league nyingine tungeweza kuona wachezaji wazuri zaidi ukweli timu ya uefa imechaguliwa vizuri ya fifa sijui walitumia vigezo gani kuwaweka watu kama Dan Alves wakaacha watu kama Philip lahm
Siku moja jaribu kuangalia mechi mbili kwa wakati mmoja, channel moja ikionesha ligi ya England na nyingine ikionesha ligi ya Germany uone tofauti ya makelele.
 
Sawa ndugu, lakini ukifuatilia DSTV walikuwa na channel kama tatu hivi wakati wanaingia nchini na mpaka leo SS3 pawe na mechi England kati ya QPR na Swansea itaoneshwa hapo wakati labda Italia pana big match kati ya Juventus na Inter utaikuta SS7. Sasa mwenye cable, mathalani, atakuwekea hiyo SS3 na channel zingine haweki!!!!!!!! Hapo ndipo tunapoona DSTV wanaipromoti EPL kwa nguvu zote.

Like I said Dstv wanafanya biashara so any program yenye audience wengi itapata airtime ya kutosha e.g EPL kwa ukanda wetu, but kama wewe ni mteja wa dstv utaona jamaa wanabroadcast almost league zote za nguvu duniani, so sidhani kama tatizo ni Dstv ila accessibility yetu.
Najua kwenye Dstv channel ambayo ni dedicated kwa EPL pekee ni SS3 HD (channel 213) but the rest zinaonesha match zote kali, ziwe za Bundasliga, la Liga, Serie A au ligi ya wareno zote zipo mkuu!
 
gutierez nilikuwa nakuheshimu sana lakini naona sasa unaweka unazi mbele zaidi,Busquet ni bora kuliko Iniesta kuliko Xavi? Katika tuzo za FIFA ukiacha Messi na CR7 wanaofatia ni either Xavi au Iniesta why sio Busquet? System ya uchezaji wa Barca most of the time wao ndio wanaposess mpira huo ubora wa kukaba unatokea wapi? Bosquet anapata advantage kucheza kwenye timu ambayo most of time inamiliki mpira kwa mtazamo wango Xabi Alonso ni mkali kuliko Sergio Busquet
tatizo lenu mnaangalia wachezaji wanaokaa sana na mpira wengi wenu,lakini hamuoni umuhimu wa Busquets,ndio maana list ikipangwa hao kina Xavi au Iniesta hawamalizi au wanaanzia sub,Alonso rafu nyingi nae,Busquets ana control ya juu wengi wenu hamlitambui ebu cheki hapa
Sergio Busquets's Skills - FIFA_(2010~2011) - YouTube
 
tangu apate namba nitajie mechi ambazo Barca kapigwa hrf S. Busquets hakuwemo
hahahaha kwa msimu huu nakupa ya celtic ya scotland,kaka mimi nafuatilia hadi mazoezi nipo makini tafuta mkdand kama hauniamini
 
hapa kwa cannavaro mkuu umechemsha,ulitaka apewe nani???
au Matts Hummels wa Dortmund................ huyu dogo Pique anaishi maisha ya showbizz na last season hakuwepo kiwanjani for nearly a half a season na karudi ana matatizo na mwalimu wake..anaingiaje kwenye hizi timu hata sielewi! halafu si kwamba watu wanataka wachezaji wa premier league kama mnavyojiaminisha.kila mtu anauatazama mpira wa miguu kwa muono wake na hiyo ndio raha ya mchezo huu,controversy!binafsi sioni kama Marcelo alikuwa msimu mzuri kama ashley cole,au Alves mbele ya Lahm..........au Xavi mbele ya Pirlo! FIFA na UEFA kuna siasa pia wakuu....................those guyz hukosea pia.....remember Cannavaro na world cup ya 2006!?
 
Unazi wako unapitiliza sasa,Xabi Alonso ni mmoja ya wachezaji ambao ninawakubali sana since akiwa Liverpool hata misimu yake 2 akiwa Madrid my point ni kwamba kwa mwaka 2012 hakuperform vizuri ukilinganisha na Andrea Pirlo na hiki ndio watu wengi wamelalamika,
sijasema Evra anastahili na yeye kwa sasa kiwango kimeshuka tofauti ukilinganisha misimu 3 iliyopita kwa left back Philip Lahm,Jordi Alba na Ashley Cole walikuwa bora kuliko Marcelo ambaye mara nyingi alikuwa anachezeshwa winga wa kushoto huku Fabio Coentrao akicheza beki wa kushoto kuhusu Pique huyu hata ukiweka best defenders waliofanya vizuri kwa 2012 hawezi kuwepo (Chielini,Hummels,Kompany,Ramos).Alikuwa majeruhi na Pep alimpiga benchi sana akawa anamchezesha Mascherano
sio unazi napitiliza ni ukweli halisi nazungumza na yanaonekana dhahiri na mafanikio yao mnayaona,Alonso mzuri sana ila ktk list ya Spain ikipangwa namba 1 nkabisa hakosi anaanzwa Busquets wengine wanafuatia hata Del Bosque alishasema hayo,si unazi kitu bora lazima usifie mimi sidati unazi wa waingereza na kukuza wachezaji wao hata matunda hatuyaoni,Busquets kaanza mdogo na mafanikio kibao kishapata kila kombe kabeba medani hadi ya makombe ya kuku huko sontipeder,linyola,sabadell,terrasa,arenys der mar nk
 
hapa kwa iker cassilas alitakiwa akae julio cesar na kwa sergio ramos alitakiwa akae aleksander kolarov,
 
Busquets ni kama Gilberto Silva alivyokuwa muhimu Brazil 2002 na Arsenal unbeten,sasa ukiuliza wengi watadai Vieira,kwa makocha wanaosaka ushindi wachezaji kama Busquets na G Silva enzi zake,hawakosi namba ni muhimu sana kuliko wakaa na mpira eg Yaya Toure,ambao wanachoka siku mechi ikiwa kali,na Spain zamani iliwakosa kina Busquets mpaka kaja Marcos Senna kidogo alisevu euro 2008 wakabeba,Cesc alikuwa benchi,maana unakuta timu inajaa wote wakaa na mpira haina wakabaji,sasa Spain ni bora Xavi au Iniesta wakose sio S Busquets,ni muhimu kama G Silva 2002 brazil na unbeten Arsenal.
 
Busquets namba 1 hakuna ubishi wewe ndio uanze karibu uanachama Spain

mm ndo nikukaribishe ww, maana mm ni shabiki wa Barcelona na Spain. Ukiangalia mcmu huu Barca amepigwa na Celtic tuu. Lakini zipo mechi nying Barca alizopigwa na Sergio B akiwepo uwanjan tena kwa dakika zote. Kama ww ni shabiki wa Mpira na wa Spain kwa ujumla nataka nikuulize swali moja ili nijue kama ww ni mpenz wa mpira au team kwa ujumla. Ukiangalia Euro 12 mech karibia ya zote Sergio Busquets alicheza kama Kiungo mkabaji lakin ktk First 11 ya Fifa hakuwemo yeye na aliwekwa Xabi A. Kwa nini hakupangwa yy ktk hko kikosi?
 
Back
Top Bottom