Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,723
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;
Tanzania;
Bakari Nondo Mwamnyeto
Dicksoni Jobu
Kibwana Shomari
Mudathir Yahya
Feusal Salum
Ibrahim Baka
Metacha Mnata
Zambia;
Kenedy Musonda
Kongo;
Fistoni Kalala Mayele
Burkina Faso;
Stephen Aziz Ki
Uganda;
Kharid Aucho
Mali;
Djigui Diarra
Kwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la Afrika, kongole Wananchi🙌🙌🙌