Tunakumbushana: Timu za taifa kumi bora Afrika Mali na Burkina Faso zimo, DRC haimo

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora. Wanaiheshimisha ligi kuu ya Tanzania. Tunaisubiria Kwa hamu ranking ya 15th February Labda Kwa mbaaali DRC itakuwemo tuna Inonga kule
Screenshot_20240205-025441~2.png

Washabaiki wa yanga bhana,huwa wanateseka na yanga yao mbovu sana😀😀😀basi Azizi ki na Diarra watakuwa hawajitambui maskini kuichezea club ndogo Sana kama yanga ambayo haipo hata kwenye club kumi bora barani Afrika.
Inonga ameonekana ni mcheza bora kwasababu anachezea timu kubwa na bora ya kwanza Tanzania,africa mashabiki na kati,na ya 7 katika bara la Africa,na timu pekee inayowania kucheza kombe la Dunia 2025,na timu pekee iliyocheza Super league Tanzania,africa mashabiki na kati na timu hiyo ni SIMBA SC..mayele kwasababu alichezea timu iliyojitafuta kucheza hatua ya makundi ya club bingwa kwa miaka 30,tukumbuke SIMBA SC wakati huo tokea nchi ipate uhuru inacheza club bingwa kila siku na imefika robo final mara 5 na nusu final 1974 na yanga ni timu karibia ya 40 barani afrika ambayo ni yanga,ndio mana Mayele amewekwa benchi awape wanaume maji yakunywa...yanga ingekuwa at least ni timu yenye hadhi kama Apr ya Rwanda mayele angepangwa
Nb niweke sawa yakwamba timu timu yeyote mbovu inaweza kuchukua kombe la ligi kuu kwasababu ligi ya Tanzania inachezeshwa na waamuzi wabovu,wabahasha na wenye ushabiki hivyo wanaingia na matokeo mfukoni,na hatimaye kuipa timu mbovu matokeo ikabeba kombe la ligi kuu..mfano mechi ya jana ya kagera na yanga..kagera wamenyimwa bao la wazi na hawa waamuzi uchwara na kuibeba yanga itoke droo na kagera..ndio maana hakuna mwamuzi yeyote wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA..wangechezesha wangefanya taifa star ichukue Afcon cup kwasababu ni mataira..yanga makombe mengi ya ligi kuu aliyochukua ni makombe ya waamuzi sio ya yanga
 
Huna aibu, Enyimba kacheza super league ana mchezaji Gani wapi? Unaongelea robo fainali mara 5 unasahau timu ya kwanza kucheza robo fainali Tanzania ni Young Africans mwaka 1969 na 1970 kabla hata hujazaliwa. Fainali caf confederation cup unajisahaulisha. Kombe lililomsababisha Benchika na mayele waonekane. Kanuti Putin raia wa Mali kama Diarra mbona hakuitwa. Golikipa AYOUB lakred ni Morocco anachezea Simba ya super league mbona hajaitwa. Ninyi mmeanza kuleta post za kishamba za Inonga na Mimi nimeamua kuwa mshamba zaidi yenu. JIBU HOJA: SIMBA HAINA MCHEZAJI KWENYE TIMU ZA TAIFA KUMI BORA BARANI AFRIKA FIFA RANKING SISI TUNA AZIZ KI NA DIARRA
 
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora. Wanaiheshimisha ligi kuu ya Tanzania. Tunaisubiria Kwa hamu ranking ya 15th February Labda Kwa mbaaali DRC itakuwemo tuna Inonga kuleView attachment 2894557
Toka Kagera awakazie na Simba kumkanda Mashujaa mnatafuta faraja za kuchonga kama mtoto aliyebemendwa vile.
 
Washabaiki wa yanga bhana,huwa wanateseka na yanga yao mbovu sanabasi Azizi ki na Diarra watakuwa hawajitambui maskini kuichezea club ndogo Sana kama yanga ambayo haipo hata kwenye club kumi bora barani Afrika.

Rubbish.Timu inakuwaje Bora na haina kombe lolote miaka dahali.
 
Yanga ikitoa droo na leo tujiandae kuanza kutishwa kuwa Yanga ni Timu ya serikali ili waamuzi wawalegezee wapate Ushindi.Yanga bila janja janja za nje ya uwanja hakuna Timu pale
 
Vipi Hao Aziz Ki na Diarra wanacheza na nani nusu fainali? Au wanasubiri wacheze na Dodoma Jiji?
 
Huna aibu, Enyimba kacheza super league ana mchezaji Gani wapi? Unaongelea robo fainali mara 5 unasahau timu ya kwanza kucheza robo fainali Tanzania ni Young Africans mwaka 1969 na 1970 kabla hata hujazaliwa. Fainali caf confederation cup unajisahaulisha. Kombe lililomsababisha Benchika na mayele waonekane. Kanuti Putin raia wa Mali kama Diarra mbona hakuitwa. Golikipa AYOUB lakred ni Morocco anachezea Simba ya super league mbona hajaitwa. Ninyi mmeanza kuleta post za kishamba za Inonga na Mimi nimeamua kuwa mshamba zaidi yenu. JIBU HOJA: SIMBA HAINA MCHEZAJI KWENYE TIMU ZA TAIFA KUMI BORA BARANI AFRIKA FIFA RANKING SISI TUNA AZIZ KI NA DIARRA
Yanga haijawhi kufika robo final club bingwa acha ujinga wako na ndoto zako za kuharisha kitandani..hiyo final ya shirikisho mliofika juzi 2023 ,Simba sc ilicheza 1993 miaka 30 iliyopita..takataka nyie msiokuwa na akili..kuifananisha Simba sc na yanga ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi..Simba sc ni mbingu,yanga ni ardhi
 
Kila link hiyo kolo wee 1969 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
 
Yanga haijawhi kufika robo final club bingwa acha ujinga wako na ndoto zako za kuharisha kitandani..hiyo final ya shirikisho mliofika juzi 2023 ,Simba sc ilicheza 1993 miaka 30 iliyopita..takataka nyie msiokuwa na akili..kuifananisha Simba sc na yanga ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi..Simba sc ni mbingu,yanga ni ardhi
Kila link nyingine 1970 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
 
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora. Wanaiheshimisha ligi kuu ya Tanzania. Tunaisubiria Kwa hamu ranking ya 15th February Labda Kwa mbaaali DRC itakuwemo tuna Inonga kuleView attachment 2894557
Umenywimwa akili ukazidishiwa ta.ko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washabaiki wa yanga bhana,huwa wanateseka na yanga yao mbovu sanabasi Azizi ki na Diarra watakuwa hawajitambui maskini kuichezea club ndogo Sana kama yanga ambayo haipo hata kwenye club kumi bora barani Afrika.
Inonga ameonekana ni mcheza bora kwasababu anachezea timu kubwa na bora ya kwanza Tanzania,africa mashabiki na kati,na ya 7 katika bara la Africa,na timu pekee inayowania kucheza kombe la Dunia 2025,na timu pekee iliyocheza Super league Tanzania,africa mashabiki na kati na timu hiyo ni SIMBA SC..mayele kwasababu alichezea timu iliyojitafuta kucheza hatua ya makundi ya club bingwa kwa miaka 30,tukumbuke SIMBA SC wakati huo tokea nchi ipate uhuru inacheza club bingwa kila siku na imefika robo final mara 5 na nusu final 1974 na yanga ni timu karibia ya 40 barani afrika ambayo ni yanga,ndio mana Mayele amewekwa benchi awape wanaume maji yakunywa...yanga ingekuwa at least ni timu yenye hadhi kama Apr ya Rwanda mayele angepangwa
Nb niweke sawa yakwamba timu timu yeyote mbovu inaweza kuchukua kombe la ligi kuu kwasababu ligi ya Tanzania inachezeshwa na waamuzi wabovu,wabahasha na wenye ushabiki hivyo wanaingia na matokeo mfukoni,na hatimaye kuipa timu mbovu matokeo ikabeba kombe la ligi kuu..mfano mechi ya jana ya kagera na yanga..kagera wamenyimwa bao la wazi na hawa waamuzi uchwara na kuibeba yanga itoke droo na kagera..ndio maana hakuna mwamuzi yeyote wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA..wangechezesha wangefanya taifa star ichukue Afcon cup kwasababu ni mataira..yanga makombe mengi ya ligi kuu aliyochukua ni makombe ya waamuzi sio ya yanga
Hii comment umeiandaa wiki nzima?
 
Sadio Mane anasubiri kucheza nusu fainali Gani what about Mo salah
Mane kashabeba hilo kombe, Salah kashafika fainali Inonga anafuata nyuma yao yeye yupo Semi final tuje kwenu nyinyi mbali na mchezaji wenu kuishia robo fainali na kutolewa mmewahi kuwa na mchezaji yoyote aliyewahi kucheza walau nusu fainali ya Afcon toka kuanzishwa kwa klabu yenu 1935
 
Back
Top Bottom