Sijafurahia kuitwa Kwa wachezaji wa Simba timu za taifa kucheza Bonanza, wanaweza kukosa mechi za caf au kuchelewa kurudi kwenye mfumo wakirudi

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly

Kuna tetesi Al Ahly wameomba Wachezaji wasijumuishwe Team ya Taifa wabaki wajiandae na club bingwa.

Kwa upande wa watani, Mamelody wachezaji wengi wameitwa timu za Taifa

Tatizo linakuja mashindano ya Caf ni siku chache tu baada ya bonanza hilo, hapo kuna wachezaji waalioitwa timu za taifa wanaweza kukosa mechi, pia ambao watarudi inaweza kuwa ngumu kurejea kwenye mfumo ndani ya siku hizo chache
 
Naunga mkono huu uliofanyika ni uhujumu.
 
Attachments

  • VID_29410919_034959_596.mp4
    4.7 MB

Hii game mshatoka wale msipoteze nguvu nyingi, hao waache waende timu za taifa

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hata mkipewa miaka mia(100) ya kujiandaa ni mtabondwa tu.
Kama huamini baaasi.............
 
Caf ni wazembe hawana mawasiliano na fifa ratiba zao zipo kienyeji sana sio rafiki kwa vilabu.
Hata hivyo viongozi wa vilabu walikuwa na uwezo wa kuandika barua kuomba wachezaji wao wasijumuishwe labda ni waoga kuonekana hawana uzalendo kwa mashindano yasiyo na umuhimu wowote .
 
Back
Top Bottom