Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,716
Kama mjuavyo nina mke na watoto mapacha wana miezi 8 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto waasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata si-enjoy tendo.
Wadau nifanyeje ili nimpe mama watoto sege-mnege la maana mpaka akojoe (orgasm)?
Kumbe una familia tena hadi watoto unao,kwa maana nyingne unaitwa baba tayari lakini cha ajabu unashindwa kushirikisha vzr UBONGO NA AKILI yako kabla hujapost.....I feel sorry for the twins n their mother