Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

Ha ha mkuu blessings eti unajiiba daah pole sana mkuu naelea ugumu unaopitia maana watoto wadogo hawana usiku wala mchana, wao anytime wanalia/wanasumbua tu mara kunyonya/kujisaidia kama vipi muwe mnamuachia dada housegirl mnaenda gesti/lodge huko ndo mtifuane na mikelele ya kutosha mkisharidhika ndo mnarudi hom wepesiii

sasa muda wote watt watakuwa wapi? wanahitaji kunyonya.. hg atawanyonyesha?
 
Tafuteni muda wa kutosha wa kufurahia tendo ikibidi nendeni hotelini kwa ajili ya nafasi na kujiachia. ila muwe makini m imba ya pili huingia bila kutarajia. Chungeni sana
 
kwanza nikupe hongera kwa kuendelea kupeana haki hata baada ya mama kujifungua la muhimu mjitahidi mama asimnyoyeshe mtoto mpaka aoge baada ya tendo la zaid mjikinge na mimba za bila kutarajia tumieni kondomu au kojolea nje
 
Tengeneza kuna ka mtindo kanaitwa frictional distilation mtambo wa gongo cwz kuchora ningekupa structure yan huku mama ananyonyesha we una msulubu huku burudani kabisa na watoto wanapata maziwa ya kutosha kwa hyo wote mnaenjoi mpaka watoto pia kudadadeki
 
Back
Top Bottom