Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
wataonekana je? mtaani mapacha sio mchezo uwahache uende kutifuana gestHa ha mkuu blessings eti unajiiba daah pole sana mkuu naelewa ugumu unaopitia maana watoto wadogo hawana usiku wala mchana, wao anytime wanalia/wanasumbua tu mara kunyonya/kujisaidia kama vipi muwe mnamuachia dada housegirl mnaenda gesti/lodge huko ndo mtifuane na mikelele ya kutosha mkisharidhika ndo mnarudi hom wepesiii!