Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Kama mjuavyo nina mke na watoto mapacha wana miezi 8 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto waasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata si-enjoy tendo.

Wadau nifanyeje ili nimpe mama watoto sege-mnege la maana mpaka akojoe (orgasm)?
 
Ha ha mkuu blessings eti unajiiba daah pole sana mkuu naelewa ugumu unaopitia maana watoto wadogo hawana usiku wala mchana, wao anytime wanalia/wanasumbua tu mara kunyonya/kujisaidia kama vipi muwe mnamuachia dada housegirl mnaenda gesti/lodge huko ndo mtifuane na mikelele ya kutosha mkisharidhika ndo mnarudi hom wepesiii!
 
je unajua mzunguko wake vizuri? maana isije tokea mimba nyingine.. wakaja mapacha wenye kero pengine.! any way kuna jambo jingine.. mama apate lishe nzuri kama protein, vitamini na madini mengine... ili akinyonyesha watoto wapate shibe ili wasisumbue pengine.. halafu mambo yenu fanyeni usiku au wakilala pengine... hayo ya kukojoa niwaachie members wengine...
 
Nimecheka kwa kweli, sorry. Natumaini mna dada, muwe na vitanda vya watoto kupumzika sebuleni ili siku mnataka mambo watoto wasiingizwe chumbani first waacheni na dada malizeni mfanye usafi wa miili yenu badilisheni na mashuka then muwaingize watoto. Nimejaribu kuiweka general maana sijui mazingira ya kwako
 
Asanteni kwa ushauri naishi kwenye nyumba ya kupanga ina vyumba viwili (sebule humohumo) yaani sebuleni ndo kitanda cha dada kilipo. Well, nimepata point kuwa nijifungie na wife ndani japo sina redio ya kufungulia sauti kubwa nitajitahidi ninunue maana wife utamu ukizid anapayuka hatari. Najitahidig kumziba mdomo lakini haisaidii
 
Isijekuwa anapayuka maumivu we unadhani utamu.....!!
 
Kama mjuavyo nina mke na watoto mapacha wana miezi 8 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto waasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata si-enjoy tendo.

Wadau nifanyeje ili nimpe mama watoto sege-mnege la maana mpaka akojoe (orgasm)?

Good expression,wrong place,to wrong people.....!
 
pigeni show time ambazo watoto na ma-housegirl wamelala,ikibid tafuteni godoro dogo la kutandika chini maana si unajua tena mikito a.k.a shoo ya kibabe unaweza hata kuvunja kitanda. Watoto wakishalala tu shusheni godoro chini pigeni shoo kimya kimya (msipige kelele unneccessarily)
 
Kama mjuavyo nina mke na watoto mapacha wana miezi 8 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto waasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata si-enjoy tendo.

Wadau nifanyeje ili nimpe mama watoto sege-mnege la maana mpaka akojoe (orgasm)?

Point of correction unampa mama haki au mnapeana. Ni hapo tu mkuu.
 
Back
Top Bottom