donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Nakumbuka wakati nipo mdogo kuna muvi baba aliinunua inaitwa Back To The Future iliyoactiwa na Mathew J FOx. Muvi hii ilikua inaonesha jinsi mtu anavoweza kusafiri katika muda (time travel) kurudi kipindi cha nyuma.
I was fascinated by this technology nikadhani ni kweli inawezekana at that time. Sasa nimekuja kusoma baadhi ya articles ambazo zinaelezea swala hili, kuna jamaa akaniambiwa according to Newton's theory of relativity, ukiweza kutravel kwa speed kubwa ukauzidi mwanga, then unawea kusafiri katika muda. Juzi juzi kuna documentary ya jamaa mmoja nimesahau jina lake ila inaitwa Conspiracy theories, kuna jamaa mmarekani alikiri kwamba teknolojia hii ipo naimekua ikitumiwa na US DOD kwa miaka kadhaa na akatoa ushahidi wa picha jinsi alivyotravel in time wakat yupo mdogo nakutokea katkat ya uwanja karibu na sehem raisi Kenedy (kama sijkosea) alikua anasalimiana na watu.
Naomba kwa wataalamu wakuu wa mambo ya kisayansi waweze kunijuza mimi pia na wengine wasiofahamu, kama hii teknolojia scientifically imeshawezekana na mechanism yake.
NB; kama inawezekana aisee nitaomba nirudi Year 1905 wakat wa mwanzo wa vita vya maji maji nimuone kinjekitile anavyowazuga raia na dawa yake feki ya maji.