Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,764
2,000
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?

Kusafiri mbele au nyuma ya muda?

Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu

Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?

Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?

Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?

Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?

Guys hii mada imekua jambo zito mnooo

*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?

Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*

Tuwaze kwa pamoja
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,590
2,000
Tekinologia gani inafaa kufanya time travel, na hiyo time travel unaifanya kuelekea wapi? Ukijuiliza baadhi ya maswali unagungua kuwa hakuna kitu kinachoitwa time travel.
mda unategemea vitu viwili yani dunia kulizunguka jua na dunia kujizungusha katika muhimili wake.
Time travel ni ndoto tu.
 
DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,206
2,000
Vipi ukirudi nyuma unaweza ku-edit makosa yako ya nyuma then yakaleta direct effect kwa kwa maisha yako ya sasa?!

Mfano unarudi miaka kadhaa nyuma,unakua uko kwenye chumba cha mtihani wa form 6 then ukapiga paper fresh tofauti na ulivyopiga zamani je itabadili matokeo ya necta hadi kwenye database yao?

If not yes,what amazing is this invention ...we better adopt it ila inaweza kutuumiza maana waliompiga lissu watarudi nyuma wasirudie kosa,

If not,its just read only memory (ROM) kinda stuff, it just a dream...hence bullshut
 
Mbeba Lawama

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
346
1,000
hii kitu haipo n nadharia tu em jiulze mtu anasema amesafr kwenda 2046 na kupga picha hao watu wa 2046 wametoka wap mpaka yeye asiwepo at that curent time?? amerud miaka 2000 nyuma wakat wa tukio la yesu kula last saper katika wale watu 12 waliokuepo kwenye the last sapper ye alismama wap au aljuaje pale ndio the last saper au kama altua kwenye nyumba ya ya Zakayo akiwa na familia yake kwenye karam ya jion tunajuaje? yan hii kitu haipo kawaida ya wazungu hutufanya kufkiria upuuz ambao haupo il tue bize kukimbzana nao uku wao wakikava curent stuation na kufanya vtu vya juu zaid na ss kubak na migongano ya kiwazo tu
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,518

Hivi tuseme, watu mfano wa manabii ambao huota jambo litakalotokea mbeleni kwa uhalisia wake kabisa, wao huita 'maono' huwa ni ni nini?

Mfano aweza kuliota jengo ambalo hata kiwanja chake hakijanunuliwa, lakini baadaye ikaja kuwa kweli!

Ujue dunia hii ina mambo mengi sana ambayo mengine hadi utaingia kaburini, hautapata kuyaona, kuyasikia wala kuyawaza, lakini yapo.

Na jambo usilolijua wewe haulizuii uwepo wake.

Elimu usiyokuwa nayo wewe, aweza kuwa nayo mwingine kutokana na vipawa mbali mbali walivyoumbwa navyo wanadamu.

Me nadhani ukifika katika mjadala usioufahamu ni vema kukalia bench na ukawa msikilizaji tu.
 
Astana

JF-Expert Member
Mar 28, 2021
241
500
Vipi ukirudi nyuma unaweza ku-edit makosa yako ya nyuma then yakaleta direct effect kwa kwa maisha yako ya sasa?!

Mfano unarudi miaka kadhaa nyuma,unakua uko kwenye chumba cha mtihani wa form 6 then ukapiga paper fresh tofauti na ulivyopiga zamani je itabadili matokeo ya necta hadi kwenye database yao?

If not yes,what amazing is this invention ...we better adopt it ila inaweza kutuumiza maana waliompiga lissu watarudi nyuma wasirudie kosa,

If not,its just read only memory (ROM) kinda stuff, it just a dream...hence bullshut
Sio habari za movie hizi za akina Avengers 😂
 
Ora_Et_Labora

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
325
1,000
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?

Kusafiri mbele au nyuma ya muda?

Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu

Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?

Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?

Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?

Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?

Guys hii mada imekua jambo zito mnooo

*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?

Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*

Tuwaze kwa pamoja
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
1,688
2,000
Tekinologia gani inafaa kufanya time travel, na hiyo time travel unaifanya kuelekea wapi? Ukijuiliza baadhi ya maswali unagungua kuwa hakuna kitu kinachoitwa time travel.
mda unategemea vitu viwili yani dunia kulizunguka jua na dunia kujizungusha katika muhimili wake.
Time travel ni ndoto tu.
Muda hautegemei jua wala dunia.
Muda utaendelea na utakuwepo bila ya hata hivyo viwili.

Muda upo sababu ya space yaani space-time.
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,949
2,000
Mzee ukitaka ku-time travel unatakiwa atleast uwe na speed zaidi ya Light. Kutokana na equation ya Einstein ya E=MC2 ili uwe na speed zaidi ya light inatakiwa hicho kitu kisiwe na Mass au energy inayotakiwa kukipeleka speed ya light iwe infinity. Yaani uchukue matter yoote ya universe uichange into energy ndio unaweza kumove kitu chenye mass into speed ya light.

Sasa kupunguza tu wingi wa maneno ni kwamba haiwezekani.

Hio ni physics point of view.. sasa ukitumia logic ya kawaida kuna ile kitu wanaita " grandfather paradox " mfano ukifanikiwa kutime travel ukaenda ukamuua babu yako inamaana baba ako hatazaliwa na wewe hutazaliwa inamaana hutaexist ili kuja kutimetravel kumuua babu yako.. unaona changamoto ilipo.
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
8,593
2,000
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?

Kusafiri mbele au nyuma ya muda?

Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu

Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?

Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?

Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?

Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?

Guys hii mada imekua jambo zito mnooo

*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?

Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*

Tuwaze kwa pamoja
Conspiracy theory
 
MrConveter

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
304
500
Travel to the future might be possible but to the past it’s impossible.
Time has got only one direction, foward.

I stand to be corrected.
 
mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,497
2,000
Time is nothing but a series of events that influences one another.

_ What you did few minutes ago influenced what you're doing now, just like what you're doing now influences what you'll do few minutes later. What you'll do few minutes later influences what you're doing now, just like what you're doing now influenced what you did few minutes ago. Yani everytime affects every adjacent time.

_ Everytime represents a certain set of events that occured at that time influenced by the events from adjacent times. Kama umenielewa utagundua kwamba hakuna kesho bila leo na hakuna leo bila jana, na leo ipo kwa sababu ya kesho kama jana ilivyokua kwa sababu ya leo.

_ Kila muda tunasafiri katika muda ndio maana kuna jana, leo na kesho. Lakini haiwezekani kubadili uelekeo wa muda.

_ Ukitaka kurudi jana maana yake events zote zilizotokea leo zitokee tena but backwards, which is something impractical.
Yani yule kuku uliemchinja na kumla jana umtapike na arudi kua mzima tena hapo ndipo utakua umesafiri kurudi jana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom