Kama unaamini Time Travelling, kichwa chako kina matatizo makubwa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Naanza kwa kuilezea Time traveling jinsi ninavyo ifahamu.

Watu wengi wanasema Time traveling ni uwezo wa mtu kutoka Katika maisha anayo ish na kuweza kurudi maisha ya nyuma au kwenda mbele

Na uongoo huu umepewa kipao mbele Sana na Wana sayansi ambao wamesha jiwekea Sheria kwamba ukikubal Mambo ya Sayans Basi wewe ni jiniaz wakat Kuna mengine yanakufanya kua mpuuzi Kama hili

Wanasayans Wana sema kua Time traveling inawezekana na baadhi ya watu kutoa ushaid wa mwanamke akipiga CM kwenye move ya chalichap. Swal ni je Miaka iyo ni Minara ip ilio msaidia uyo Mama kupata Mawasiliano?

Mfano ungine wanasema Alionekana mtu akirikod pambano la Taison kwa Smart Phone na kuwafanya wajiulize lakini kwanin Alie kua Na smart phone asinge shangaa Kwann yeye Pekee ni watofaut?

Pia sayansi inasema kua mtu ili aweze kusafir kurudi nyuma ya muda au Mbele Ataitaji kifaa kinacho kimbia kwa Speed ya Mwanga ili aweze kuhama kwenye wakat aliopo swal ni je wote Ambayo wameonekana kwenye Time traveling ni chombo kipi kimewasafirisha?

Kama njia ni moja tu yakwenda ni lazima uweze kutengeneza kifaa chenye Speed Kali zaidi ya Mwanga ao walio safir waliwezaje?

Na Kama wamesafir ki miujiza Alie tenda miujiza ni Nan? Na Kwann kila Alie enda Time traveling lazima Arudi Dunian na hua hapotelei uko?

Kuna theory inasema kua Kuna mwana sayansi alifanya mnajaribio kwa kuchukua saa mbili na moja akaiweka maabala ingine akaiweka ndani ya ndege na anadai kua saa ilio enda kwenye ndege ilikua Mbele kwa dakika kadhaa Sasa KWA hii points naomba kuuliza ivi saa imesetiwa vip?

Mana nafaham kabisa saa ni kitu kilicho setiwa automatically inafanya kazi kurulingana na uoivyo iset ukitaka saa nane kamil wewe saa yako iwe saa kum inawezekana pia hata ukisafir kwa ndege kwenda mbali kwa spid io wanayo isema saa haito simama kufanya kazi yake lazima ifanye kazi kwa sekunde zile zile na dakika zile zile

Sasa sielewi kwenye points hii alilenga Nini?

Nakumbuka pia Quran imesha eleza haya Mambo kua wakat Nabii yusuph ametupwa kwenye kisima Cha maji na ndugu zake walitokea Watu wafanya Biashara na kutaka kunisaidia Nabii Yusuph na Wakat Wana taka kumvuta nje akatokea Malaika na kuanza kumwambia ataenda kua Nan Wakat uo wale Watu juu wao maisha Wana yaona kawaida kumbe muda umesimama

Pia nakumbuka Kuna Adisi ya watu wa pangon walilala miaka Zaid ya Mia tatu Kama sijakosea na kuamkaa miaka mingi imesha pita na kukuta wajukuu zao ndio wazee wa miji na wengine wamesha kufa

Mimi kuringana na Hadis izi mbili nilizo toa naona ni ushaid wa kuwepo kwa Mungu na huenda wazungu Wana copy and paste na kuja kutulisha Matango

Kuna watu wanaamin ujinga huu kua binadam anaweza kwenda Time traveling kwa kupenda mwenyewe Wakat sayans io io inasema haiwezekan binadam kwenda Time traveling na ili iwezekane lazima ue na chombo kinacho kimbia speed Mara mbili Zaid ya Mwanga Wakat speed ya Mwanga tu hamna kitu chochote chenye uzito kinaweza kukimbia speed io kwa Mana io haiwezekan Binadam kwenda Time traveling

Lakini Wana sayansi hao hao wanasema kua Kuna Watu tayari wamesha safir kwenye future au nyuma

Acheni kula Matango wazungu Wana wapotezeni

Mfano kwenda mwezin hua najiuliza kifaa kinapo ruka kutoka Dunian hua kinatumia Nishat kubwa na njiani kabla ya kufika Mwezin penyewe hua kina sambaratika na kubaki baadh ya sehemu Ambayo inaweza kumalizia Safari Sasa swal vip wanapo fika Mwezin na kuanza kufanya jitihada za kurudi hua Wana tumia kifaa Gan?

 
Kwenda Mwezini.

Gravitional Force ya Dunia ni kubwa kuliko ya Mwezini...Hivyo kutoka nje y Dunia tunahitaji power kubwa sana mpaka kufika Space ila kutoka Mwezini huitaji power kubwa sana mpaka kufika Space.

Rocket inapokuwa launched kutoka Duniani inakuwa na Booster zenye power ambazo ikifika Space zinajitoa kwenye Rockets ila chombo kikifika Mwezini muda wa kurudi hakiitaji Booster ni inatumia power yake ya Rocket tu kwasababu ya low gravitational force ya mwezi.
 
Kwenda Mwezini
Nani alienda mwezini ? Haya ndiyo anayo yaelezea mtia mada.
Gravitional Force ya Dunia ni kubwa kuliko ya Mwezini...Hivyo kutoka nje y Dunia tunahitaji power kubwa sana mpaka kufika Space ila kutoka Mwezini huitaji power kubwa sana mpaka kufika Space.
Umejuaje hili ? Unai ushahidi kuthibitisha haya unayo yasema au kuna jaribio gani la kisayansi linalo thibitisha haya unayo yaandika ?
 
Moja ya matukio pia ambayo huwa yanaongelewa na kutafutwa uchunguzi ni moja kati ya picha ya utawala Adolf Hitler ikiwa na watu wengi, mmoja wapo alionekana akiwa na digital Camera ya kisasa mno, kwa miaka ile ilikuwa haipo...
Hiyo picha tafadhali
 
Mkuu umechanganya mambo mengi mno mpaka inakuwa vigumu kukufuatilia sawa sawa kuhusu hoja zako.

=> Usichukulie mambo ya Science Fiction kuwa ni ukweli. Ndiyo maana zinaitwa fiction...Ni mawazo tu hayo ya waandishi wa Science Fiction kama akina H.G. Wells aliyeandika The Time Machine.

=> Japo time travel kinadharia pengine inawezekana tatizo kubwa ni kwamba eti ili kuifikia ni lazima usafiri katika spidi ya mwanga lakini kulingana na nadharia ya Relativity ya Albert Einstein, kusafiri kwa spidi ya mwanga kwa kitu chenye tangible mass (hata kama ni punje ya mchele) haiwezekani kwa sababu kikikaribia spidi ya mwanga kitakuwa na infinity mass na hivyo kitahitaji infinity source of energy ili kuweza kukisukuma.

Pia kuna tatizo la kikomo. Itakuwaje ukisafiri kwenda nyuma mpaka wakati ambapo baba yako hajakutana na mama yako? Kitatokea nini kwako wewe ambaye kuwepo kwako kunategemea kutaniko hilo takatifu la wazazi kimwili?

=> Ulipochanganya na mambo ya dini hapo umeniacha kwenye mataa kabisa.
 
Nani alienda mwezini ? Haya ndiyo anayo yaelezea mtia mada.

Umejuaje hili ? Unai ushahidi kuthibitisha haya unayo yasema au kuna jaribio gani la kisayansi linalo thibitisha haya unayo yaandika ?
Mbona hayahusiani na majibu niliyoandika hapo.
 
Back
Top Bottom