Umemuelewesha vizuri sana...asipoelewa atakua exceptional4g ya Tigo ndio 2g ya halotel.
Watake radhi haloteli.. Tigo ni wafu4g ya Tigo ndio 2g ya halotel.
Hakuna kitu Tigo hovyo kabisaTembelea ofisi zetu za tigo utapata msaada zaidi
Pamoja na mbwembwe zote?Jamani tigo 4g mbona kwangu inagoma tangia niinunuee!!!
Ninafahamu hilo, tatizo nikitumia tigo inaishia H+..haisomi 4g, wakati ninapotumia voda ni 4g mara chache H. Na speed ya 4g ni hatari.Tatizo ni labda umeshahau kuwa simu yako haikutengenezwa kusupport 4g dual function at per, hivyo upande mmoja ukiwa 4g lazma mwingine uwe 2g and vice versa. Haiwezi kusoma 4g line zote kwa wakati mmoja!